Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Meshack Maganga RIPKuna baadhi ya wabunge wa zamani (wengine washatangulia mbele ya haki) ambao kusikia au kutamka majina yao kulileta burudani ya aina yake miaka hiyo. Majina machache niliyoweza kukumbuka ni:
Kuwayawaya S. Kuwayawaya
Tuntemeke Sanga
Njelu Kasaka
Stephen Salum Nandonde
Semindu Pawa
Lepilal ole Moloimet
Benito Malangalila
Frederick Nteminyanda Fumbuka
Felix Tadeo Mwanambilimbi
Said Ngwanangwalu
Chrisant Majiyatanga Mzindakaya
Omar Kwaangw
Phares Kashemeza Kabuye RIP
Jenerali Twaha Ulimwengu
Sebastian Rukiza Kinyondo RIP
Enzi hizo bunge linafanyikia pale Karimjee Hall, wabunge karibu wote wanavaa kaunda suti, halafu kwenye kurasa za magazeti ya siku inayofuata, kuna picha za wabunge wakiwa wamekaa kwenye yale mabenchi nje ya ule ukumbi.
Those are good gone days, we can't bring them back.