Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Tangazo la gazeti la taifa letu, wimbo ulikuwa unaanza ivi:

Taifa letu Tanzaniaaa, habari za kitaifa, makala za watoto, habari maalum kwa jamii yote, taifa letu tanzaniaa

Tangazo la chai jaba, wimbo wake unaimbwa hivi, hebu tuwasikilize mama lisheee chai yenyewe nzuri, yenye nguvu, na idumu maisha yote, chai jaba, eeeh, kikombe cha urafiki.

Ukimwi na jamii, dada yangu amekwenda amekwenda na ukimwi, kaka yangu amekwenda amekwenda amekwenda na ukimwi huku wanaonyesha makaburi, hiki kipindi nlikuwa nakiogopa.
 
Back
Top Bottom