bg_dg_dy
JF-Expert Member
- Feb 27, 2009
- 606
- 493
Kuna taarifa amefariki dunia leoMama Ruhumbika, H/mistress Pamba sec.... Mwanza
Shikamoo mama, hadi unaogopa kukutanisha nae macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna taarifa amefariki dunia leoMama Ruhumbika, H/mistress Pamba sec.... Mwanza
Shikamoo mama, hadi unaogopa kukutanisha nae macho.
Kuna ndugu yangu alisoma hiyo shule na yeye walimla kichwa kisa mapenzi. .Gunda alikuwa na mtoto wa kike mkali kinyama ila wenge.MR.MADOSHI (R.I.P) MHONGOLO SEC KAHAMA
Huyu teacher alinifukuzisha shule maana nilishindwa vumilia ukali wake
hiyo siku akakuta namimi nishamchoka liwalo na liwe,kweli tukavaana uso kwa face
sababu tu eti nmevaa sweta nimelikunja,Kanidaka akanipa Kofiii,nikainama chini sikio linalia swiiiiiiii
ile nimeinama akaongezea mijeledi ya mgongo kama mvua, nikaona usinitanie we FAZAAA
niliiinuka na kitofali sijui nilikichomoa kwenye bustani,Nilimtwika kitofa cha tumbo,ananifata bado
nikaokota kingina rusha akapangua,Mara huyu HAPA akanidaka Nikaona isiwe kesi nikamrukia shingo
nikawa nabembea nae nipo kwa mgongoni,ah ile mechi kama sio kuja kuingiliwa na Walinzi ingeisha Bila Bila
siku hiyo hiyo Nilisikia kengele imegongwa nikafukuzwa shule saaa 1 usiku,Naenda wapiii sasa usiku huo,Nikagoma
ondoka,Ah wee saa ngapi asije na difenda ya polisi nikabebwa nikaenda malizia usiku wangu Central asubuhi nikasafirishwa kwetu
ndio mwisho wakusoma ile shule,nilimchukia yule tcha sema ndo hvyo sikua na uwezo nilimuapia viapo vingi sana
Nilipokuja sikia SIR GOD kamnyakua Ajabu et roho ikaniuma nikaona kama Mungu kamuokoa na adhabu niliyompangia...
Dingiiii apumzike tu ila alinigombanisha sana na mshua wangu kwa chumvi alizoongeza.
Hapo mwenge alikuwepo Mwl Usangira aka Chekanaye huyu jamaa alikuwa balaa na nusu.Mwl Donge Mwenge high school singida yule mpuuzi alikuwa sheeder
Huyo Kaishozi nilimkuta Nkuhungu Sec kipindi nafanya Research.Mr. Mkumbata pale City High School
Mr. Kaishozi pale Dom sec
Hakuna ukweli hapa, sidhani kama umefanya Research juu ya hili.Kitu nilicho kigundua ma teacher wakali kupitiliza walikuwa na matizo haya.
1. Uelewa wao wa masomo ya kufindisha ulikuwa mdogo hivyo ku apply intimidation method kufunika kaujinga kake.
2. Walitokea familia katili walitembezewa mboko utotoni kiasi hawakuweza kujitetea sasa wamekuwa hawana namna ya kulipiza kisasi kwa watesi wao na wana substute kwa kuwatandika na kuwa wakali kwa watoto wa shule.
3. Umalaya wa walimu wana wachalaza mboko hovyox2 ili siku akitaka kupita na kitoto cha kike kiwe kioga na kukubali kwa hofu ya mboko.
4. Ugumu wa maisha au tuseme kuwa na msongo wa mawazo.
Nilichaguliwaga CBG ila sikwenda huko. Nikaenda Galanos.Kuna stori kwamba ilikuwa bora usahau ada kuliko usahau jembe unapoenda kujiunga Kantalamba Secondary. Ni kweli?
Zamani ilikuwa kawaida kwani tulipokuwa likizo au tukikutana tuisheni tulikuwa tunajadili walimu wetu mkuu.Kwai mtoa mada aliwajuaje walimu wa shule ambazo hajasoma?
Kuna Dudu TosamagangaNimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Mikwara tupo. Nipo form Six mwaka 2001 nilitoroka kwenye majani mapana. Jamaa akaniona usiku huo na kuniambia wewe ni mwanafunzi. Nikamkatalia. Hahaaaa kesho asubuhi kaja Assemble mi sikwenda akanikosa. Akaanza nitafuta madarasani namkwepa. Baada ya wiki akanikuta Assembly pale. Akaniita mbele nikamkatalia. Akaapa kama sio mimi aliyenikuta Majani Mapana usiku alafu namkatalia siku akinikuta tena atanivunja. Nikacheka. Hahaaaa akanipeleka kwa Headmaster kuwa nimemdharau na kumkataa kuwa sio mimi alinikuta majani mapana wakati ana uhakika kuwa ni mimi.Galanos msocha alikuwa michosho sana
Hii ni shule ipo Morogoro au?Mwl KIFAURONGO Tunguli sec shkamoo we mzee maana kidogo unizibue mtaro Kwa zile bokora
Kaka kaka...1962????????Sir Lightfoot Stonebridge Henry
Tabora Boys mwaka 1962
Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...Psychological manipulation!
kweli zote amendika pumba hakuna research hapa.Hakuna ukweli hapa, sidhani kama umefanya Research juu ya hili.
umtumie kipande cha mkate x1 MojaMama Ruhumbika, H/mistress Pamba sec.... Mwanza
Shikamoo mama, hadi unaogopa kukutanisha nae macho.
Looh inatakiwa isomeke father father, dingi dingi, mshua mshua .Kaka teeena wakati keshastafu utumishi wa uma.Kaka kaka...1962????????
Mm namuita kaka..kwa sbb huo umri anaosema humu ni wa uongo...Looh inatakiwa isomeke father father, dingi dingi, mshua mshua .Kaka teeena wakati keshastafu utumishi wa uma.
Weee😢😢😢Kuna taarifa amefariki dunia leo
Ngoja kwanza utuweke sawa shule zote hizo ulizotaja ulisoma?Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.