Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

[emoji16][emoji16][emoji16] Yule tumemnunua kwa fedha nyingi sana baada ya kuona mnatuletea madharau tu kila siku.
Mmemnunua kwa gharama lakini bado ajatukera kisasawa kama alivyokua anawakera wakati akiwa kwetu.bado hajafunguka sijui anaamuogopa mzee tozi mtu mbady!
 
Mie mji mkuu fc.... baadae nikahamia CDA huko sikufua dafu nikawa Reli napo ikawa shida, pamba nao wakaniangusha.

Nikaona niwe mnyama tu.
 
Dah! UTOPOLO [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…