EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Afu ndio miezi yake hii. Juzijuzi hapa Nilipata na mafua kidogo tu yale ya kuchirizika ila ndani ya siku mbili yakaisha yenyewe tuu. Sijaona dalili zingine zaidi. Labda sababu nilichanjaga.Sikuwahi Kujua kuna mafua Makali kiasi hiki
Kama kweli huu ugonjwa wakutengenezwa na Mwanadamu basi Alaaniwe
Mimi na group O na siuguagi ovyo ovyo yaan mafua ni BALAA wiki 3 Mimi pia plus kuharisha Kama Bata yaan nilikua kifua kinauma, mafua naishiwa nguvu, loss appetite's
Mpaka nikaogipa Ila now alhamdudilah naendelea vyema mafua Yana ishilia ishilia.
Mafua na kuharisha tena? 😹😹Mimi wiki ya 3 na mafua makali Sanaa na tangu jumamosi nimekua naharisha Kama Bata mpaka naogopa
Kwa Sasa mafua yamepungua na kuhara kumepungua Ila Kuna mafua makali Sanaa Sanaa ni BALAA Sanaa nakubaliana na wewe
Pembeni yangu hapa Kuna watu nimekaa nao wanakohoa Sanaa
Aisee 🤔Mimi wiki ya 3 na mafua makali Sanaa na tangu jumamosi nimekua naharisha Kama Bata mpaka naogopa
Kwa Sasa mafua yamepungua na kuhara kumepungua Ila Kuna mafua makali Sanaa Sanaa ni BALAA Sanaa nakubaliana na wewe
Pembeni yangu hapa Kuna watu nimekaa nao wanakohoa Sanaa
Siku utakapofikiwa na hiki kimbuga nawe utakuja kutoa ushuhuda hapa😃😃ila watu wa Dar bwanaa yaani mafua unayaandikia uzi kabisaa😂😂😂😂
Inavyowasha naanzajeUko Vizuri, ila usipake uko chini kwa bibi.
Ni corola limited sec wave version 4..be care!Hiyo sasa itakuwa ni corola na sio corona