Tukifanya Hivi, Kina Mwamposa na Manabii kuwa Walipa Kodi Wakubwa

Kwani mimi nikifungua banda la kuuza maji, bia nk sitakiwi kulipa kodi eti kwa vile nimenunua kiwandani? Kwahiyo ulitaka ayatoe wapi hayo maji ili atozwe kodi.
 
Pamoja na hayo sijawahi kusikia kuwa hii kofia au kanzu ukiivaa itakuponya matatizo yako.
 
Kafungue na wewe uuze na utoe kodi kama ni rahisi. Kuwa weka watu na kuwa na furaha ya moyon ni zaid ya kodi
Mkuu kama ni hivyo basi wauzaji wa pombe nao wasilipe kodi maana nazo huwafanya watu kuwa na furaha moyoni
 
Uongo ukitoa sadaka unapewa baraka sio kuwa hupewi chochote
 
Kwani sisi tunaolipa kodi kila mwaka unadhani tunakiwanda cha maji, akate leseni kama sisi sio kutaka utajiri wa kiujanja ujanja.
Kwa hiyo mavuno kanisani yanayoopigwa mnada makanisani siku ya mavunonwakate leseni za biashara makanisa?
 
Kafungue na wewe uuze na utoe kodi kama ni rahisi. Kuwa weka watu na kuwa na furaha ya moyon ni zaid ya kodi
Nilitegemea kabisa nikitane na komenti ya namna hii kutoka kwa mpumbavu kama wewe! Kojoa kalale kenge wewe
 
Kwani ni nini kinauzwa then sandakan ndio ipatikane? Mwamposa yeye anafanya biashara ya kuuza maji na mafuta kanisani. Hii sio sadaka
 
Hiyo itakuwa sio sadaka, sadaka haipangiwi kiwango. Kanisani kuna watu wanatoa mpaka 20 na wengine hata milioni na wote hawapangiwi. Sasa ukisema njoo na afu tano hiyo ni biashara tayari
 
Kuanzia sasa yule anataka kuuza maji asajiliwe na mamlaka ya maji, yule anataka kuuza mafuta asajiliwe na food and drugs authority, na yule anataka kuuza mbegu asajiliwe wizara ya kilimo. Watambulike kama wafanyabiashara, na serikali ijue wanauza ngapi kwa siku na walipe kodi [emoji23]
 
Kwa hiyo mavuno kanisani yanayoopigwa mnada makanisani siku ya mavunonwakate leseni za biashara makanisa?
Wewe ulishasikia hayo makanisa yanayofanya hivyo mchungaji au padre kajenga hotel ya nyota tatu au ana walinzi binafsi hao unaowatetea wanafanya kwa manufaa yao wala sio jamii iliyowazunguka.
 
We jamaa ni nunda sana
 
Wewe ulishasikia hayo makanisa yanayofanya hivyo mchungaji au padre kajenga hotel ya nyota tatu au ana walinzi binafsi hao unaowatetea wanafanya kwa manufaa yao wala sio jamii iliyowazunguka.
Mapadre wana miradi yao binafsi wengi mbona tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…