Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Ronaldo alikuwa mtu mbadReal Madrid walichowafanyia Atletico Madrid kwenye UEFA champions league final ilikuwa Ni zaidi ya kufuru aisee sijawahi ona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ronaldo alikuwa mtu mbadReal Madrid walichowafanyia Atletico Madrid kwenye UEFA champions league final ilikuwa Ni zaidi ya kufuru aisee sijawahi ona.
Baada ya Ramos kusawazisha bao msako waliofanyiwa Atletico haukuwa wa kitoto 😂 Ilibidi majamaa waachie lango Mara zingine 3Ronaldo alikuwa mtu mbad
Ni mchambuzi wa sokaAsamoah Gyan yuko wapi?
WC 2010. Alituliza bana
Kuna hii team msimu wa 2022/23 ilikataa kileleni zaidi ya siku 100 ila ikaja kulamba mchanga kizembe tu 😂😂
Hapa nadhani Barca walibebwa kidizaini 😂Aiseeee Come back ya Barca against PSG japo ilikaa kimchongoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Goli 6 sio mchezooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa nadhani Barca walibebwa kidizaini [emoji23]
Pole nilimchukia zenadine zidane hadi LeoTangu hapo bifu yangu na ufaransa ilipokolea
Pole mkuuPale nilipo tolewa kwa kadi nyekundu fainali.
Hii siku sitaisahau nilikua naumwa homa enzi hizo Niko Ilongero sec school hahhhahh.. kuna PCB mmoja alikua anashangilia Sana alikua ni nyumbu...Timu zote zina point 86, huku City akiwa na tofauti ya Mabao 63 Man United akiwa na GD ya 55.
City akikipiga na QPR, Man United akigongana na Sunderland.
United alimaliza kwa ushindi wa goli moja, bao la Waza hivyo kufanya kuwa na point 89. City kang'ang'aniwa na QPR, mpaka dakika ya 90, City 1-2 QPR.
Kumbuka hii mechi ni muhimu kwa timu zote mbili. City anapaswa kushinda ili achukue ubingwa na QPR ashinde ili asishuke Daraja.
Sisi Mashabiki wa Manchester United, tupo tunashangalia kombe letu. Mechi imeshaisha tayari.
Zikaongezwa dakika 5 kufidia dakika zilizopotea. Asalaleeeh, dakika ya 92, Dzeko anasawazisha ubao. Sasa ni 2-2.
Bado matumaini kwetu ni makubwa mno. Droo hiyo isingesaidia. Ubingwa ni wetu sisi.
Dakika ya 93, La haula!. Aguero anafunga goli na kufanya kuwa 3-2.
Nilihuzunika mno. Hakika nilipata huzuni iliyo kuu. Mpaka na leo sitosahau. City anatawazwa kuwa bingwa kwa mara ya kwanza.
Hata hivyo QPR aliponea kushuka baada ya Bolton kutoka sare.
Mungu naomba hili jambo lifutike kwenye kumbukumbu zangu.
AahaaaaaaBaada ya Ramos kusawazisha bao msako waliofanyiwa Atletico haukuwa wa kitoto 😂 Ilibidi majamaa waachie lango Mara zingine 3
Huyo dinho amewahi kuwafunga chelsea goal in uefa mpaka Jim beglin aliishia kusemaMechi ya madrid na barcelona santiago benabeu....aise dinho alipiga mpira hatari siku hiyo balaa tupu mpaka mashabiki wa madrid wakampigia makofi. Jamaa alikuwa nyoko.
Fa cup semi finl arsenal vs man utd ryan giggs anawachambua mabeki wa arsenal hatari mno.
Mnchester vs real madrid hatari redondo anapiga backheel matata anampita sijui alikuwa henningburg u huku delima anapiga magoli tuu. Beckhama nae akakiwasha.
Trezequet anafunga golden goal dhidi ya toldo fina ya uero 2000. Hatari.
Aisee mpira bwana bonge la burudani.
Aaahaaaaamastory ya mtaani ni kuwa wakati wanakwenda mapumziko, huku wakiongoza bao 5 nadhani, kocha Joachim Low akawaambia wachezaji wake, tusiwadhalilishe tena Brazil, hivyo tujitahidi kumiliki mpira ila tusitamani tena kufunga.
Kumbe wakati wanaambiwa hivyo wachezaji wa reserve wao hawakuwepo pale kwenye chumba cha kubadilishia nguo. Walikuwa uwanjani wakipasha. Na mmoja wa wachezaji wa reserve alikuwepo Andre Schurrle.
Kocha akamuingiza Andre Schurrle kipindi cha pili, bila kujua maelekezo ya kocha akapiga goli zake mbili za haraka haraka🤣🤣
Timu zote zina point 86, huku City akiwa na tofauti ya Mabao 63 Man United akiwa na GD ya 55.
City akikipiga na QPR, Man United akigongana na Sunderland.
United alimaliza kwa ushindi wa goli moja, bao la Waza hivyo kufanya kuwa na point 89. City kang'ang'aniwa na QPR, mpaka dakika ya 90, City 1-2 QPR.
Kumbuka hii mechi ni muhimu kwa timu zote mbili. City anapaswa kushinda ili achukue ubingwa na QPR ashinde ili asishuke Daraja.
Sisi Mashabiki wa Manchester United, tupo tunashangalia kombe letu. Mechi imeshaisha tayari.
Zikaongezwa dakika 5 kufidia dakika zilizopotea. Asalaleeeh, dakika ya 92, Dzeko anasawazisha ubao. Sasa ni 2-2.
Bado matumaini kwetu ni makubwa mno. Droo hiyo isingesaidia. Ubingwa ni wetu sisi.
Dakika ya 93, La haula!. Aguero anafunga goli na kufanya kuwa 3-2.
Nilihuzunika mno. Hakika nilipata huzuni iliyo kuu. Mpaka na leo sitosahau. City anatawazwa kuwa bingwa kwa mara ya kwanza.
Hata hivyo QPR aliponea kushuka baada ya Bolton kutoka sare.
Mungu naomba hili jambo lifutike kwenye kumbukumbu zangu.
🤣🤣🤣pole mkuuAaahaaaaa
Ule mwaka wabrazili walikuwa na uzi mkali kishenziiiii
Nakumbuka mshahara ulupotoka fasta nikaenda Bukoba Mjini kuutungua
Baada ya kutungulia Saba na wajarumani ukawa mzito kuuvaaa,nikawa namwachia wife auvae