Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

Mungu yupo kwa kweli. Mimi Binafsi nimepitia changamoto Nyingi sana.

Nakumbuka Mwaka 2015 nikiwa Advance (Form Five PCB) Mubaba Sec Shool - KAGERA nilivunjika Mkono wa Upande wa Kulia ambao do mkono ninaotumiya Kuandikia. Nashukuru Nikafanya NECTA 2017 Nikafaulu kwa DIVISION TWO YA 10. Hadi wa Leo naamini kabisa Mungu Yupo.

Nakumbuka mwaka huo huo 2017 nikaenda BULOMBORA JKT Mujibu wa Sheria OPERATION TANZANIA YA VIWANDA, Nimetoka JKT nina tatizo la Mgongo sababu ya AZABU za JKT. Nimekuja Kupona Mgongo Mwaka Jana 2022. Nikaamini Mungu yupo.

Mwaka 2019 Nikiwa Mwaka wa Pili Chuo Cha RUCU katika Course ya Bachelor's of Computer Science nilitapeliwa Hela yangu Zaidi ya Milioni 3 na MKINGA MMOJA ANAITWA MALANGALILA maeneo ya Mlandege Mwangata _ IRINGA MJINI. (Hiyo Milioni 3 ilipatikana nilikuwaga Nafanya Kazi ya kujitolea katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa IRRH, Ada ya Chuo, na 700,000 ya Mama mmoja ivi Nurse nilimukopanga) nilipoteza kila kitu hata mia sikuwa nayo. Chuo ilibaki Kidogo tu Ni DISCO. Usimuamini mtu, na usitake Maisha ya Haraka. Mungu do hutoa muelekeo wa Maisha ya kila mmoja wetu. Mungu do hufungua riziki ya kila mmoja.

Mwaka 2020 Septemba Mungu akasaidia nika hitimu Degree ya Computer Science pale RUCU, Mungu yupo.

Mwaka huo huo 2020 Octoba kipindi cha Uchanguzi wa Rais. Mungu alinisaidia kupata Kazi katika taasisi ya serikali ambayo ni MAMLAKA YA MAJI SAFI IRINGA ( IRUWASA), nimekaa mtaani Wiki Tatu tu hadi wa Leo nipo Kazini. Namushukuru MUNGU. Mungu Yupo, Mungu Yupo.

Namushukuru Mungu kwa sasa nina Mke wangu wa Kibena, nina Mtoto na Biashara Zangu Safi. NILISHASAHAU KAMA NILITAPELIWA MILIONI 3. MUNGU YUPOOOOOOOOO na ATAENDELEA KUWEPO MILELE.
broo apo nafasi ya internship naweza kupata?? kwa idara ya water quality
 
Sasa nawewe unavyo claim Mungu hayupo siulete uthibitisho kuwa hayupo ili claim yako iwe sahihi.
Na quote kauli yako umesema
"ukweli unaendana na kujua, uthibitisho(proofs), evidences, fact na logic"
Sasa Thibitisha madai yako kwamba Mungu hayupo kwa facts na evidence ili madai yako yawe kweli.
N.B usije sema huwezi thibitisho negative maana ili madai yako yawe kweli yanahitaji proof then prove that God is not exist.
Watoto wachanga wasio elewa chochote kile, Kuzaliwa na matatizo ya unjiti, vichwa vikubwa, uchizi na kasoro nyingine nyingi, Ni uthibitisho wa kwamba Mungu muumbaji na Mkamilifu anaye umba binadamu wakamilifu kimwili na kiakili Hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, Watoto wachanga wote duniani wasio na ufahamu wowote ule, Wangezaliwa wakiwa kamili na wakamilifu kimwili na kiakili tangu tumboni mwa mama zao,

Maana Mungu Mkamilifu angewapa ukamilifu wa kimwili na kiakili tangu wawapo tumboni.

Huyo Mungu hayupo.
 
Mungu yupo kwa kweli. Mimi Binafsi nimepitia changamoto Nyingi sana.

Nakumbuka Mwaka 2015 nikiwa Advance (Form Five PCB) Mubaba Sec Shool - KAGERA nilivunjika Mkono wa Upande wa Kulia ambao do mkono ninaotumiya Kuandikia. Nashukuru Nikafanya NECTA 2017 Nikafaulu kwa DIVISION TWO YA 10. Hadi wa Leo naamini kabisa Mungu Yupo.

Nakumbuka mwaka huo huo 2017 nikaenda BULOMBORA JKT Mujibu wa Sheria OPERATION TANZANIA YA VIWANDA, Nimetoka JKT nina tatizo la Mgongo sababu ya AZABU za JKT. Nimekuja Kupona Mgongo Mwaka Jana 2022. Nikaamini Mungu yupo.

Mwaka 2019 Nikiwa Mwaka wa Pili Chuo Cha RUCU katika Course ya Bachelor's of Computer Science nilitapeliwa Hela yangu Zaidi ya Milioni 3 na MKINGA MMOJA ANAITWA MALANGALILA maeneo ya Mlandege Mwangata _ IRINGA MJINI. (Hiyo Milioni 3 ilipatikana nilikuwaga Nafanya Kazi ya kujitolea katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa IRRH, Ada ya Chuo, na 700,000 ya Mama mmoja ivi Nurse nilimukopanga) nilipoteza kila kitu hata mia sikuwa nayo. Chuo ilibaki Kidogo tu Ni DISCO. Usimuamini mtu, na usitake Maisha ya Haraka. Mungu do hutoa muelekeo wa Maisha ya kila mmoja wetu. Mungu do hufungua riziki ya kila mmoja.

Mwaka 2020 Septemba Mungu akasaidia nika hitimu Degree ya Computer Science pale RUCU, Mungu yupo.

Mwaka huo huo 2020 Octoba kipindi cha Uchanguzi wa Rais. Mungu alinisaidia kupata Kazi katika taasisi ya serikali ambayo ni MAMLAKA YA MAJI SAFI IRINGA ( IRUWASA), nimekaa mtaani Wiki Tatu tu hadi wa Leo nipo Kazini. Namushukuru MUNGU. Mungu Yupo, Mungu Yupo.

Namushukuru Mungu kwa sasa nina Mke wangu wa Kibena, nina Mtoto na Biashara Zangu Safi. NILISHASAHAU KAMA NILITAPELIWA MILIONI 3. MUNGU YUPOOOOOOOOO na ATAENDELEA KUWEPO MILELE.
Mungu alikusaidia kupata kazi, Au ni wewe uli hangaika kwa nguvu zako mwenyewe kutafuta hiyo kazi?

Onyesha ni namna gani, Mungu ali kusaidia.
 
Mimi binafsi namshukulu mungu manusula nife baada kulogwa na rafiki yangu nikaja kugundua namshukulu mungu sana
 
FB_IMG_16928579315132244.jpg
 
Mungu yupo kwa kweli. Mimi Binafsi nimepitia changamoto Nyingi sana.

Nakumbuka Mwaka 2015 nikiwa Advance (Form Five PCB) Mubaba Sec Shool - KAGERA nilivunjika Mkono wa Upande wa Kulia ambao do mkono ninaotumiya Kuandikia. Nashukuru Nikafanya NECTA 2017 Nikafaulu kwa DIVISION TWO YA 10. Hadi wa Leo naamini kabisa Mungu Yupo.

Nakumbuka mwaka huo huo 2017 nikaenda BULOMBORA JKT Mujibu wa Sheria OPERATION TANZANIA YA VIWANDA, Nimetoka JKT nina tatizo la Mgongo sababu ya AZABU za JKT. Nimekuja Kupona Mgongo Mwaka Jana 2022. Nikaamini Mungu yupo.

Mwaka 2019 Nikiwa Mwaka wa Pili Chuo Cha RUCU katika Course ya Bachelor's of Computer Science nilitapeliwa Hela yangu Zaidi ya Milioni 3 na MKINGA MMOJA ANAITWA MALANGALILA maeneo ya Mlandege Mwangata _ IRINGA MJINI. (Hiyo Milioni 3 ilipatikana nilikuwaga Nafanya Kazi ya kujitolea katika Hospitali ya Rufaa ya Iringa IRRH, Ada ya Chuo, na 700,000 ya Mama mmoja ivi Nurse nilimukopanga) nilipoteza kila kitu hata mia sikuwa nayo. Chuo ilibaki Kidogo tu Ni DISCO. Usimuamini mtu, na usitake Maisha ya Haraka. Mungu do hutoa muelekeo wa Maisha ya kila mmoja wetu. Mungu do hufungua riziki ya kila mmoja.

Mwaka 2020 Septemba Mungu akasaidia nika hitimu Degree ya Computer Science pale RUCU, Mungu yupo.

Mwaka huo huo 2020 Octoba kipindi cha Uchanguzi wa Rais. Mungu alinisaidia kupata Kazi katika taasisi ya serikali ambayo ni MAMLAKA YA MAJI SAFI IRINGA ( IRUWASA), nimekaa mtaani Wiki Tatu tu hadi wa Leo nipo Kazini. Namushukuru MUNGU. Mungu Yupo, Mungu Yupo.

Namushukuru Mungu kwa sasa nina Mke wangu wa Kibena, nina Mtoto na Biashara Zangu Safi. NILISHASAHAU KAMA NILITAPELIWA MILIONI 3. MUNGU YUPOOOOOOOOO na ATAENDELEA KUWEPO MILELE.
Vipi kwa watu ambao hawana kazi, Na kila siku husali na kumuomba huyo Mungu wapate kazi,

Mungu huyo pia ndiye anaye fanya wasipate kazi?

Kama Mungu ana saidia watu kupata kazi, Kwa nini watu wengi wamesali, wanasali na kuomba wapate kazi na Hawapati?

Onyesha uhusiano wa mtu kumwomba Mungu na kupata kazi, ili tujue kwamba ambao hawapati kazi hawa muombi Mungu.
 
Kupata material things si kigezo cha kufanya kuamini kwamba Mungu yupo ,mtazamo wangu ni kuchomoka kwenye tukio/hali/ari ambalo/ambayo unajua si kwa uwezo wako bali malaika wa Mungu walikuokoa.

===========================================
I went from Hot Wheels to big wheels, Hyundais to Bentleys
And five course meals, no more Popeye's and Blimpy's
From alright to handsome, from one room to mansions
From hangin' on the block to throwin' parties in the Hampton's
From broke as a joke to rich as a ***
I bought a plane and a boat and six other whips
No Marta, from dice on the curb to stackin' up chips
But harder from birds on my nerves to chicks on my ***
============================================

I woke up out dat coma, 2000 and 1
Bout the same time Dre dropped 2000 and 1
Three years later the album is done
Aftermath presents: Nigga Witta Attitude Volume 1

It's kinda hard to imagine,like Kanye West
Comin back from a fatal accident, to beat makin' and rappin'

===============================================

In the same hospital where Biggie Smalls died
The doctor said I had blood clots
But I ain't Jamaican, man
Story on MTV and I ain't trying to make a band
I swear, this right here, history in the making,
================================================
 
Mungu yupo......nilipoteza watu wote muhimu nikiwa Bado nawahitaji nililazimika kujitegemea kwa chakula, malazi, mavazi n.k nikiwa bado sijafikisha miaka 15..Lakini kwa uwezo wa Allah leo ni mtu mzima Nina familia na kimaisha najiweza hakika Mungu yupo
 
Una juaje ni uwezo wa Mungu na sio nguvu,bidii na juhudi zako?

Mungu ana husikaje hapo?

Kama ulikuwa bado unawahitaji watu wako wote wa muhimu lakini uka wapoteza,

Ina maana Mungu alikuwa hajui kwamba unawahitaji watu wako wa muhimu awazuie wasipotee?

Lakini watu wako wote wa muhimu walipotea, Huoni kwamba huyo Mungu hayupo?
 
Kama unaamini katika dini kila kilicho nyuma yako ni mipango ya Mungu....wazazi walikufa nikiwa mdgo sana badae walezi nao wakafariki so nikajikuta naacha shule na kuanza kupambana na maisha. Wapo walipitia njia km yangu na wameishia kuwa wezi, Wala unga machokoraa na ulevi kupindukia Lakini kwa upande wangu nilisimama ktk imani. Lazima nimshukuru Mungu kwa hatua niiliyo nayo
 
Yani Mungu yupo tena ni halisi mpaka Leo nasema Mungu yupo,Ni mwaka 2014,ajira ya jumla ya ualimu ilipo toka mimi nilikuwa nimeomba mbeya na nilijaza mkoa huo tu japo tulitakiwa tujaze mikoa mitatu,baadae zilitoka ajira nikapangwa Geita,nafsi yangu iliinama sana na moyo uliniuma sana,nikiwa katika hali hiyo ya kujiuliza Mungu itakuwaje!rais Kikwete akasema mumewapangia watoto wa masikini vijijin wa vigogo mjini akapangua na yalipo pangwa tena nikapangiwa mbeya jiji kwakweli niliimba nyimbo zote(KYALA JHO NGILI ENDELAGHA)
 
Mkuu huoni kwamba tabia zako nzuri na njema ndizo zilizo kusaidia na si imani.

Imani haihusiki.

Maana kuna watu wana imani ya dini, lakini wana tabia mbaya sana na matendo maovu nyuma ya pazia.
 
Yani Mungu yupo tena ni halisi mpaka Leo nasema Mungu yupo,Ni mwaka 2014,ajira ya jumla ya ualimu ilipo toka mimi nilikuwa nimeomba mbeya na nilijaza mkoa huo tu japo tulitakiwa tujaze mikoa mitatu,baadae zilitoka ajira nikapangwa Geita,nafsi yangu iliinama sana na moyo uliniuma sana,nikiwa katika hali hiyo ya kujiuliza Mungu itakuwaje!rais Kikwete akasema mumewapangia watoto wa masikini vijijin wa vigogo mjini akapangua na yalipo pangwa tena nikapangiwa mbeya jiji kwakweli niliimba nyimbo zote(KYALA JHO NGILI ENDELAGHA)
Ulijuaje kuwa Mungu ndiye alipangua?

Unataka kusema kuwa Mambo yakienda kama utakavyo wewe kwenye jambo lolote inakuthibitishia Mungu yupo?

Vipi kuhusu hao vigogo walivyopanguliwa kutoka mjini na kupelekwa vijijini,
wao watasemaje hapo kama walikuwa wanataman vituo vyao vya kazi viwe mijini?
 
Tatizo lenu kila kitu mnajifanya mnakijua
Na mmefanikiwa wote
Sio kweli .
Nini kimekufikisha kuhitimisha hivyo?

Wapi tumesema tunajua kila kitu!?

Wapi tunasema tumefanikiwa wote?

This is a straw man argument.
 
Nilishushwa kwenye gari (Prado) kisa nlikataa kukaa siti ya nyuma nikaenda kupanda basi kufika chalinze napata taarifa ile gari (Prado) imepatwa na ajali na wote waliokuwa ndani ya ile gari wamefariki..

Daah asee tangu hapo niliona uwepo wa Mungu kabisa na hakuna wakukuepusha/kukuletea majanga isipokuwa Mungu pekeake.
_20230829_165332.JPG

Kama kweli Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote angekuwepo, wala hata tusingalisikia hyo ajali.

Ajali hiyo isingaliwezekana kutokea.

Kutokea kwa ajali ile ya Prado ilipaswa kuwa uthibitisho wako wewe kutambua kuwa huyo Mungu hayupo?

Waza kidhahania hapa:

Imagine kwamba ungalikuwa mhanga wa ajali ile na ukafariki

halafu waza kwamba kuna mtu alikutana na scenario kama hii yako uliyoihadithia hapa JF, kwamba kuna mtu yeye alipona katika ajali ile ya Prado na anasema kuwa aliamini kuwa Mungu yupo na anaupendo wote kwasababu yeye kapona ilihali wewe umekufa vibaya na ukaacha watoto wanaokutegemea wewe kwenye kila kitu.

Umeona jinsi ulivyo mbinafsi?
 
Sasa nawewe unavyo claim Mungu hayupo siulete uthibitisho kuwa hayupo ili claim yako iwe sahihi.
Na quote kauli yako umesema
"ukweli unaendana na kujua, uthibitisho(proofs), evidences, fact na logic"
Sasa Thibitisha madai yako kwamba Mungu hayupo kwa facts na evidence ili madai yako yawe kweli.
N.B usije sema huwezi thibitisho negative maana ili madai yako yawe kweli yanahitaji proof then prove that God is not exist.
Utawezaje kuthibitisha kisichokuwepo?

Unaweza kuthibitisha uwepo wa Athuman ambaye ni mwanaume bishoo halafu hapo hapo ni mwanamke mrembo sana?

Hali iliyokamilifu zaidi ni kutokuwepo (nothingness)
Kadri unavyotoka kwenye kutokuwepo ndivyo hivyo hivyo unaanza kutoka kwenye hali ya ukamilifu.

Vitu vyote uvionavyo wewe vimekuwepo kwasababu vimekosa ukamilifu tu.

Hivyo bhasi kama kweli Mungu huyo ambae anasemwa kuwa ni kitovu cha ukamilifu angekuwepo, bhasi kusingekuwa na chochote, kusingekuwa na dunia, kusingekuwa na nafasi (space), kusingekuwa na hewa kusingekuwa na sayari, nyota hata ulimwengu kwaujumla usingewezekana kuwepo.

Hivyo bhasi kwakuwa ulimwengu upo, sayari, nyota, viumbe wapo na vinginevyo vinavyoonekana na visivyoonekana, huo ni uthibitisho kuwa Mungu huyo ambae ni mkamilifu hayupo, na hawezekani kuwepo.
 
Back
Top Bottom