Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

Ananifanyiaje kazi bila makubaliani? Aulize kwanza
Hujawahi kwenda kwenye sherehe, mpiga picha akakupiga picha bila kukuuliza sala kubageni na wewe. Kisha baadae akakuonyesha ili ukivutika nayo uilipie. Je kuna tatizo katika hilo??!! Na katika kazi ya hao madogo si lazima ulipe, hata usipplipa sio kesi. Na hata ukisema asiifanye pia kwake wala sio kesi.
 
Ofcourse kuna tatizo, unanipigaje picha bila ruhusa? What if nipo na mchepuko?
 
Tatizo lipo, nikitaka picha namwambia la sivyo picha huwa naziacha. Anajuaje hali ya mfuko wangu kwa wakati huo?
Na yeye hana ustaarabu. Imagine nivamie nyumba yako nifanye usafi halafu nilazimishe unilipe pesa.
 
una halalisha biashara HARAM ya kuoshsa magari kwenye makutano? Majambazi nao wakianza stail hiyo na kuwapiga risasi huku sisi tukidhsan ni muosha magar mtasemaje?
acha usha mba gari osha kituo cha mafuta, nyumbani ama sehemu rasmi/GOSHENI.
 
Nilitaka kuamini storry yako Ila nilipoona CROWN Nimesita kukuamini kwa kuwa Mzungu Kama Mzungu uliyemuongelea ni vigumu kuwa na hiyo Gari. Kwanza ni Saloon/Sedan, Mzungu hutumia SUV/WAGON.
Correct mi mwenyewe hapa pamenishangaza kidogo...

Twende kwenye mada husika huyo mzungu hayupo kwenye mazingira yake mfano hata wewe uende kijijini mtu anaweza akakufanyia kazi ndogo ukampa kiasi kikubwa cha pesa na watu hapo kijijini wakashangaa ujira uliotoa kwa kazi aliyofanya kwahiyo unakuta huyo mzungu hicho kiasi cha pesa ni kidogo sana kwake na kingine unaweza kuta hakua na Pesa ndogo ndogo km Buku Buku mbili akaona atoe tu hiyo
 
Yaani ni usheitwani kabisa, dogo anaosha kioo chako unamlipa mia 2 then unapitia supermarket kubeba mikuku ya elfu 50 kwa hela za ufisadi wakale watoto nyumbani na wewe mwenyewe.
Mwisho wa siku unakufa kwa b.p
 
Ila mtu mweusi,nafikiri nafsi yake imeharibiwa sana,amepelekwa utumwani kwa miaka 100,baada ya utumwa,ukaja ukoloni,kipindi chote hicho lazima internal syche iharibiwe kabisa,na hisia kwamba mtu mweupe ni superior being,zaidi ya mtu mweusi ni ushahidi tosha kwamba mtu mweusi
Alishaharibiwa kisaikolojia,itachukua miaka mingi kurekebisha hii kitu,
"Abused people will always be abusive themselve"wapalestina wanateswa sana na Israel,sasa unaweza ukafikiri mamlaka za kipalestina zinawatendea wapalestina vizuri,lakini ni kinyume,mateso wanayopata wapalestina wakawaida kutoka kwa viongozi wao ni mabaya kama wanayopata kutoka kwa Israel
 
Hongera sana mkuu kwa moyo wa upendo
 
Nyie ndio wale mnawaowaita wazungu mabeberu. Acha chuki za kupuuzi. Unasema wazungu walifanya babu zako watumwa?!! Babu zako gani???!!! Hujui hata Spain ambako pia kuna wazungu nao pia waliwahi kutawaliwa??!!! Mbona na wewe unawatumikisha watu kwa kigezo cha house girl na house boy hapo nyumbani kwako, je huo sio kufanya wenzio watumwa???!! Uwezo wako wa kufikiri na kuelewa mambo ni mdogo sana. Ni kama uwezo wa binti yangu tu hapa nyumbani. Yaani mtu kukupatia huduma bila makubaliano ya awali kwako unaona ni tatizo???!!! Mbona unapoenda kwa Mwajuma, anakuhudumia bila makubaliano then baada ya huduma unatoa pesa nyingi tu. Hilo kwako huoni shida. Unachukia wazungu na bado unatumia lugha yao kutafuta nafasi ya kutukuzwa. Unachukia watu ambao wanakupa internet, hata jinzi unayovaa ni kutoka kwao. Simu unayotumia ni yao, barabara unayotembeza gari yako imejengwa kwa msaada wao. Madawa unayotumia hospitali ni kwa msaada wao. Acha umasikini wa mawazo na ulimbukeni wa fikra.
 
Tatizo lipo, nikitaka picha namwambia la sivyo picha huwa naziacha. Anajuaje hali ya mfuko wangu kwa wakati huo?
Na yeye hana ustaarabu. Imagine nivamie nyumba yako nifanye usafi halafu nilazimishe unilipe pesa.
Hata ikiziacha bado kwake sio tatizo. Kulipia huduma au kutolipia yote hayo yanabaki chini ya maamuzi yako. Iko hivyo hata kwa hao vijana wa barabarani.
 
Salute ya dogo imetokana na 10,000 aliyopewa, angepewa 200 sidhani kama ungeishuhudia hiyo salute.
Kuna wakati pesa inaweza kutafsiri thamanibya kile unachofanya. Waafrika tunapenda sana mseleleko, mtu akufanyie kazi kubwa then umlipe kidogo. Kwa dogo ni wazi aliona Mzungu amethamini kazi yake.
 
Hata ikiziacha bado kwake sio tatizo. Kulipia huduma au kutolipia yote hayo yanabaki chini ya maamuzi yako. Iko hivyo hata kwa hao vijana wa barabarani.
Kama ni maamuzi kulipa hoja yako ni nini? Huyo dogo alichofurahia ni kupewa hela na mzungu na zaidi ya yote hiyo elfu kumi ambayo hajawahi pewa kwa mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…