Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.

Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
 
Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.

Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Taarifa ya mapolice huku wao wenyewe ni wazulumaji wa haki za raia usitegemee jipya Hamza katufundisha jambo muhimu alichoshwa na rushwa na dhuluma za hawa mapolisi wasio na nidhamu. Mbona wajeda wetu huwa Wana nidhamu sana, ila jeshi letu la police ni uovu na kuonea tu raia, sasa wameshaanza kuzalisha kina Hamza wengi.
Hili jeshi linahitaji big reformation bila hivo kina Hamza waanze tu kuwanyoosha raia tumechoshwa na tabia zao chafu
 
Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.

Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Yaani mtuhumiwa ajichunguze na alete majibu ya kweli?
Hivi mtu inakuwaje anaenda kushambulia Polisi tu?
 
Nasikia baada ya kuipekua Maiti ya Hamza wakamkuta na na Kitabu cha Ilani ya ccm
 
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Jeshi la Polisi lilishatuparaganisha kwa kuitumikia CCM badala ya kutumikia wananchi kabla sisi stori za mtaani hazijatuparaganisha.

Jeshi la polisi haliaminiki na halina moral authority ya kuchunguza uhalifu tena kwa sababu limekiuka miiko yake ya kazi ya kutumikia wananchi na sasa linakitumikia chama.

Shame to you unaeliamini jeshi ambalo lenyewe halijiamini tena.
Your browser is not able to display this video.
 
MAREHMU NI EXPERT WA KUTUMIA SILAHA AISEE
 
Kwani hapo salenda aliua mbuzi au ni polisi pia
 
Kuna hali ya hatari sana ipo Tanzania ila viongozi hawaoni!!!
Ili mradi watoto wa viongozi wanapewa teuz kama udc,ubunge,udas nk hawaoni ukosefu mkubwa wa ajira ambao ni hatari kwa usalama wa nchi!!!
JuZi wizara ya Afrika mashariki walitoa nafasi 49!! Wakaomba watu 20,000!!! Hii ni hatari kubwa sana!!!
Kuna madai mapya kutoka kenya na somali na mizambuque kuwa watanzania wengi vijana ndio wanajihisisha na ugaid!!!
 
Kabisa, vyombo vya dolla visipojirekebisha na kutoa haki basi wajiandae na hizi revenge!
Hamza ni kama ameshaonyesha njia na vijana wengi walijifunza ile show ya Hamza. Aidha waiumize vichwa ile precise shooting ya Hamza versus rondom shooting za unskilled police. In short ni kwamba vijana wengi walishapatiwa mafunzo ya kijeshi JKT plus UVCCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…