johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa ya mapolice huku wao wenyewe ni wazulumaji wa haki za raia usitegemee jipya Hamza katufundisha jambo muhimu alichoshwa na rushwa na dhuluma za hawa mapolisi wasio na nidhamu. Mbona wajeda wetu huwa Wana nidhamu sana, ila jeshi letu la police ni uovu na kuonea tu raia, sasa wameshaanza kuzalisha kina Hamza wengi.Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Kwa jinsi tunavyokuelewa . Kwani utakubali ?!Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Bwashee swala la ugaidi ni kubwa kuliko vyama vya siasa!Kwa jinsi tunavyokuelewa . Kwani utakubali ?!
Polisi wanaotuhumiwa haitegemewi wajihukumu katika jamii.Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Kumbe kuna watu JF hawako na brain eeh...Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Yaani mtuhumiwa ajichunguze na alete majibu ya kweli?Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Unaibiwa na polisi, halafu kesi unaipeleka polisi!Tusubiri taarifa rasmi ya polisi.
Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
Kila bmtu atasema alikuwepo au alipitaNilikuwa kwenye tukio mkuu pale Stanbic Bank mkuu hivyo tukio nimeliona live siyo wewe wa kuambiwa na video clip ambazo hazionyeshi sehemu zote!
Jeshi la Polisi lilishatuparaganisha kwa kuitumikia CCM badala ya kutumikia wananchi kabla sisi stori za mtaani hazijatuparaganisha.Hizo story za mitaani hazitujengi kama taifa bali zinatuparaganisha!
MAREHMU NI EXPERT WA KUTUMIA SILAHA AISEEHamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.
Tetesi zilizopo ni kwamba Bwana Hamza amelipiza kisasi baada ya kudhulumiwa madini yake na Polisi kwani ni mfanyabiashara wa madini.
Tukio la leo linahitaji tume huru ya uchunguzi.Jeshi la polisi linalijua tukio hili nje ndani na halitaweza kujichunguza.
Inasemekana kuwa taarifa zilizotolewa na family member ni kuwa tukio limesababishwa na kisasi. Dhuluma ndiyo sababu ya kisasi.
Bwana Hamza amechukua sheria mikononi kwa kuwa misingi ya haki katika nchi kwa sasa imefikia kileleni katika kuoza.Polisi wako busy katika kudhulumu watu,kupora mali za uma na kuitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.
Nategemea kuona matukio mengi ya watu kuchukua Sheria mikononi yakiongezeka kwa kuwa mamlaka za haki zimegeuka kuwa mamlaka za kukandamiza haki.
R.I.P HAMZA. Dhahabu zako wamechukua na Uhai wako Pia.
View attachment 1908628View attachment 1908629View attachment 1908630View attachment 1908631View attachment 1908632
View attachment 1908644
Kwani hapo salenda aliua mbuzi au ni polisi piaStori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.
Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?
Kama alikua anataka polisi walikuwepo pale stanbic bank, nyuma kidogo ubalozi wa urusi wamejaa, nyuma yake kidogo salenda polisi post, ubalozini alikua anafuata nini?
Ni watu kutaka ku twist hii habari ila ukweli ni kwamba huyu jamaa ni gaidi, ni mfia dini na sasa hivi yuko na mabikra 72 wanamzunguma wanamshika shida anawapiga mashine non stop kama dini inavyosema.
Kabisa, vyombo vya dolla visipojirekebisha na kutoa haki basi wajiandae na hizi revenge!Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.