Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Wal kiswasi hakkii
 
"amedhurumiwa dhahabu zake na polisi"... hapa tuwe makini kidogo, dhahabu zilifikaje kwenye mikono ya polisi ilihali kuna masoko ya dhahabu na taratibu zake kama leseni ( brokers licence) na ulipaji wa kodi nk.... hivi ni huyu tu anayefanya biashara ya dhahabu Tanzania?.... migodi ya dhahabu tunaambiwa iko chunya, chunya pale na Mbeya kuna masoko ya serikali, ilifikaje Dar es salaam hiyo dhahabu? mbona hakudhurumiwa na polisi Chunya, Mbeya, Iringa, Moro ila imetokea Dar es salaam?...

sitetei polisi wala huyu jamaa, najaribu kuwa na fikra huru kuliko kurusha lawama...
 
Dhuluma, dhuluma dhuluma kila mahali. Rais dhuluma kwenye miamala/tozo, Mwigulu dhuluma kwenye tozo/miamala, Majaji/mahakimu dhuluma kwenye hukumu, dhuluma kupokea maagizo toka juu, Ndungulile dhuluma kwenye vifurushi, polisi dhuluma kwenye madini, wananchi. Tume ya uchaguzi dhuluma kwenye kura, DED dhuluma kwenye mabati, tenda, kura, viwanja vy wananchi, serikali za mitaa/vitongoji dhuluma kwenye rushwa za usafi etc etc kila mahali dhulma, majibu ndiyo hayo na yanakuja mengi siku za usoni
 
Sema gaidi Hamza siyo bwana hamza tafadhali
 
 
We hata kuchanganua mambo uwezi
Marehemu kazulumiwa mzigo wake na polisi katika mpishano huo wa kauli polisi pia hawakujua kama jamaa ana bastola alivyoona wamemzingua akatoa kwaju akawawasha bila wao kutarajia jambo hilo
Wala kujiandaa kupambana ni kama jambo la gafla kwa hao askari hawakuamini walichokiona
Imagine upo kwenye harakati zako raia wakuharibie siku kiasi hicho kilichotokea ni kuvurugika akili baada ya hilo tukio na madhara yake ndiyo hayo



Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Aisee, ingekuwa ni mtuwa ACT au CUF, mbutananga, chama kingefutwa
 
Haki ikipotea taifa huangamia. Mama Samia acha kuupiga uswahili mwingi, huna nchi au nchi imekushinda. Wewe ni Amiri Jeshi Mkuu usiyekuwa na Jeshi la polisi. Hili Jeshi chini ya Sirro ni la vibaka.
 
Bado naamini huyu Hamza alidhulumiwa, twawajuwa polisi wetu na tabia zao, kubambikiana kesi, kunyima watu haki zao, kutesa, kujiona juu ya sheria, kama kweli uchunguzi utafanyika kwa makini natumaini tutajuwa ukweli...
 
Iko duniani kote, nashkuru Mungu sasaivi watu watakua wanapata na wanajua nn maana ya ugaidi, usifikiri wale wote wanakwenda magereza ya guantanamo na magerereza mengine kuwa ni magaidi kuna story ndefu behind mpaka mtu anaitwa jina baya la ugaidi wakati sio gaidi
 
Sasa ni dhahiri , story inaanza kufulumbuka.
Kumbe kuna polisi walimnyang'anya huyu kijana Hamza dhahabu yake aliyokuwa akienda kuuza Masaki.

Kwamba huyu Hamza alikuwa anawalenga polisi tu, inaelezeaa ukweli kuwa alikuwa na kisasi juu ya polisi.
Haya Kamanda Siro jitathmini sasa.
 
Lete taarifa kamili acha kuparaza
 
Nafkri huishi hii nchi au kama unaishi basi unakuja na kuondoka, maana kinachofanyika hii nchi watu wanaoyofanyiwa ni zaidi ya unyama, kuna watu wamepitia mengi sana kwa mali zao kuchukuliwa na wana kila kitu, kuna jamaa kataifishiwa gunia zake za sukari mamia ya tani alaf jamaa anakila documents yaani nyaraka zote anasema huku analalamika kwa uchungu kuwa sijawahi kuvunja sheria yyte, IVI WW UNAIJUA HII NCHI KWELI
 
Acheni kudhulumu watu na kuwataka wafanyeje mnavyotaka ninyi hata kuwachagulia uelekeo wa kuchukua.

Unacheza na beat sasa,sio muda mrefu utasem alidhurumiwa uchaguzi[emoji16][emoji16]
 
Kwani Mboe ni gaidi kweli kwa akili zako kama wanavyosema??
Hivi wale mashekhe waliokaa ndani ya gereza miaka 9 walikutwa na kesi ya ugauidi???

Ndio ujue kuwa hawa askari wanafanya mambo ya ajabu sana na dhulma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…