Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Kwani Mboe ni gaidi kweli kwa akili zako kama wanavyosema??
Hivi wale mashekhe waliokaa ndani ya gereza miaka 9 walikutwa na kesi ya ugauidi???

Ndio ujue kuwa hawa askari wanafanya mambo ya ajabu sana na dhulma

Gaidi ana rangi gani??
 

Hujui kwamba unaweza kudhulumiwa magendo yako. Ukisikia mfumo wa utoaji haki umeoza, maana yake hiyo ni rushwa iliyo kithiri, LABDA jamaa alikuwa na magendo polisi wakataka cha juu sana lakini kisheria polisi wangetakiwa kumkamata na kumfikisha sehemu husika.
 

True! Kweli kabisa kile ni kitendo cha kigaidi lakini kuna reason behind inayo pelekea mtu kufanya kitendo hicho.
 

Hii ilikuwa wazi kabisa maana jamaa alikuwa anawataka polisi tu.
 
Yaani mtu mmoja afuate polisi wengi akapambane nao?Yaani wewe ni mmoja halafu ukatafute polisi wengi wa kupambana nao?Wewe unaona hii inamake sense?Hapo si unakuwa unatafuta kifo cha haraka sana kabla hata ya kusababisha madhara uliyokusudia?
Balls enough [emoji16]
 
We nae huyu si gaidi wala nini haya ni matokeo ya kutokutenda haki na kudhurumu mali za watu wanyonge kawakomeshaje na bado RIP Hamza
 
True! Kweli kabisa kile ni kitendo cha kigaidi lakini kuna reason behind inayo pelekea mtu kufanya kitendo hicho.
Hata si kitendo cha ugaidi, sometimes ukishadhulumiwa na hauna pa kwenda sometimes akili inakuoeleka kufanya kisasi

Hawa askari au majeshi mkuu kero zao zisikie tu
Hem fikiria mtu anatoka na ndege huko anakuja kuripua nyumba yako ndani mkiwa na family yote inateketezwa alaf ukabakia wa pekeako ktk familia ile akili itakuaje??
Na ukilipiza kisasa wanakuita gaidi[emoji23]
 
Endeleeni kuwatetea magaidi siku kikinuka wala hawakujui ....walivyorusha bomu kwenye mkutano wa chadema kule arusha si mnakumbuka viongozi wa chadema walisema nini?
 
Nadhani jiongeze kidogo yeye ni mfanyabiashara yawezekana kasafirisha kuja Dar kwenye faida kubwa zaidi na ndio kakumbana na kadhia hiyo... Pia haimaanishi polisi waliokufa ndio walio mdhulumu ila kachukulia polisi wote ni walewale na kuwauwa ni kutoa ujumbe kwa haki haipo na umeona jinsi hili swala limegusa jeshi lote la polisi
 
Haki ikipotea taifa huangamia. Mama Samia acha kuupiga uswahili mwingi, huna nchi au nchi imekushinda. Wewe ni Amiri Jeshi Mkuu usiyekuwa na Jeshi la polisi. Hili Jeshi chini ya Sirro ni la vibaka.
Nakuunga mkono 100% ni vibaka na bado wananchi tushachoka wala rushwa wakubwa na ngoja wakomeshwe hiyo ndiyo picha imeanza mchezo unafuata
 
We nae huyu si gaidi wala nini haya ni matokeo ya kutokutenda haki na kudhurumu mali za watu wanyonge kawakomeshaje na bado RIP Hamza
Kuna mijitu humu inaishi kwao ikishakaa kwenye makochi ya buku 2 ikijijambia ovyo haijawahi kupata changamoto zzte za life, sasa mtu kama huyo ataaminije haya mambo?? Muambie kuna watu washadhukumiwa tones za Sukari na Ngano nchi hiihii
 
Acheni kudhulumu watu, dhulma inazidisha chuki, endeleeni kuchapisha mabox ya kura fake na kuwakamata viongozi wa upinzani mutakuja kuona madhara ya dhulma huko mbeleni, huu ni mwanzo tu
 
Mengine mimi hata siyajui, tushukuru tu Mungu kuwa amevaa hizo sare za chama hiki, ingekuwa the other way hali ingekuwa mbaya sana na maiti zingeokotwa kwenye viroba Coco.

KARMA inatabia ya kufunua hadi adress za wabaya na inajulikana kwanini wanakuwa huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…