Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Kwenda kituoni anaendaje na pistol mkuu? Alianzisha hapo ili apate silaha za kwenda huko unaposema!!!! Wewe ndo hakimu alafu unashidwa kuconect ilo tukio mkuu? Ilikuwa lazima aanzie hapo uko unaposema ndo alikuwa anakwenda wakamuwahi!!! All in all kachukua sheria mkononi kwaiyo amepata anacho staili.... Lakini kama na wao police walizulumu ndo wajifunze sio kila mtu anazulumiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

wanasema wale aliowaua na kuchukua bunduki ndo alikuwa nao so wlipoanza kumzingua hili wamdhurumu ndo na yeye akajihami kwa kutoa pisto baada ya kuwaua akawa kama kapata wenge ajui afanye nn
 
N
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye ameshiriki hadi kampeni za kumuombea kura JPM mikoa kadhaa mwaka 2020.

Tete
Nyie waongo. Mnabumba bumba hadith. Mlikuwepo wakati anatokea baharini kuwafuata polisi?
Mbona hamna hofu ya Mungu? Hao polisi waliomkamata kumnyang'anya dhahabu zake walikuwa wangapi? Kama alikuwa pembeni na hao polisi alipowaua kwa risasi , kwa ni ni aliendelea kunyang'nya bunduki zao na kuendelea kufyatua risasi watu wengine? Aliowajeruhi wote walikuwa wanamdhurumu?
Alikwenda kusomea nini Misri?
Wakati amerudi, akaanza kuongea habari za Jihad kila wakati, na mara anasema anawachukia watu fulani, alikuwa anafanya sawa ili wamnyang'anye madini awaue?
Huyu alikuwa amegaidishwa kule misri, na akawa neurotic akitamani kutumia elimu yake.
Inahitaji kuwa na akili punguvu, kupongeza matukio yanayoharibu amani ya nchi kama haya.

Kamanda Sirro, simulation ya Mbowe imetosha. . Kazi halisi ipo mezani kwako, sasa onyesha umahiri wako.
 
Kuuza kwenye soko la wapi ni uamuzi wa mwenye dhahabu. Utaratibu uliopo ni kwamba kama unataka kuuza dhahabu kwenye soko ambalo lipo nje ya mkoa ulikochimba dhahabu, unatafuta kibali cha kusafirisha.

Soko la dhahabu la Dar ndiyo lenye bei nzuri zaidi kuliko soko jingine lokote la ndani ya nchi.
 
Takbiriiii
 
Ww ulimuona alipokua anaongea jihadi, ww ulimuona alipokwenda Misri na huko Misri mlikua pamoja ukamuona alichokwenda kukifanya ??

ACHENI DHULMA ITAWAGHARIMU SANA NAKUAMBIA
 
wanasema wale aliowaua na kuchukua bunduki ndo alikuwa nao so wlipoanza kumzingua hili wamdhurumu ndo na yeye akajihami kwa kutoa pisto baada ya kuwaua akawa kama kapata wenge ajui afanye nn

Ww ulimuona alipokua anaongea jihadi, ww ulimuona alipokwenda Misri na huko Misri mlikua pamoja ukamuona alichokwenda kukifanya ??

ACHENI DHULMA ITAWAGHARIMU SANA NAKUAMBIA

Yes, ninajua. Acheni kupiga ramli
 
Hamza Hassan Mohammed ni mwanachama wa CCM kutoka Upanga Magharibi na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM wilaya ya Ilala, ambaye

jamaa kaufikisha ujumbe kwa namna nzuri sana[emoji2223][emoji2223][emoji2223] haki huinua taifa
 
Kama ni kweli kadhulumiwa,kafa kishujaa akipigania Haki,haki!loo inauma sana.
 
Makada wa ccm wameuana
 

Kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza Dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...
 
Kabla ya hilo kutokea ndio Hamza akachomoa chuma akamalizana nao kisha akachukua silaha zao
 

Kuna taratibu zake za kuja kuuza dhahabu kwenye soko la Dar.... mfanya biashara ya dhahabu Tanzania sio yeye peke yake wako mamia kwa maelfu na kila siku wanauza na kununua dhahabu.... polisi waliingiaje kwenye biashara yake.....why polisi na yeye.?
 
kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...
Mkuu na vipi kuhusu wale wahindi walikuwa wanakamatwa na madini kule mwanza walikuwa hawana makaratasi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…