mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Rudi nyuma kwenye sakata kina zombe arusha"amedhurumiwa dhahabu zake na polisi"... hapa tuwe makini kidogo, dhahabu zilifikaje kwenye mikono ya polisi ilihali kuna masoko ya dhahabu na taratibu zake kama leseni ( brokers licence) na ulipaji wa kodi nk..
Wakati ule utaratibu wa kuuza madini na masoko ya madini haukuwa Kama Sasa.Rudi nyuma kwenye sakata kina zombe arusha
Majibu ya hovyo kwa swali la maana. Majibu Kama haya msitegemee yameletwa na mtu wa hovyo ndani ya chama. Hapana hayo ndiyo mawazo ya wale mnaowaita vigogo ndani ya Serikali. Kusema kweli bado tuna safari ndefu. Tafuta ufumbuzi wa kutatua tatizo kwa mustakhari wa taifaAcha kumuhusisha huyo bwana wako (mungu wako) na unafiki wako. Kama ulisikia vizur maneno ya mshambuliaji, basi utapata jibu ni nani aliekuwa nyuma ya lile shambulizi. Inasikitisha kuona kijana kakubali kuuza utu wake, na uhai wake sababu ya laki 6 tu zilizozungumzwa mahakamani. RIP Chacha Wangwe.
Mbona unakuwa mjinga?Acha kumuhusisha huyo bwana wako (mungu wako) na unafiki wako. Kama ulisikia vizur maneno ya mshambuliaji, basi utapata jibu ni nani aliekuwa nyuma ya lile shambulizi. Inasikitisha kuona kijana kakubali kuuza utu wake, na uhai wake sababu ya laki 6 tu zilizozungumzwa mahakamani. RIP Chacha Wangwe.
Kama unauelewa na biashara hata kidogo usingehoji hayo uliyoyahoji kwa sababu lengo la biashara ni upate faida na ili upate faida basi utafanya biashara yako sehemu ambayo itakupa hiyo faida katika mazingira ambayo yatakupa faida."amedhurumiwa dhahabu zake na polisi"... hapa tuwe makini kidogo, dhahabu zilifikaje kwenye mikono ya polisi ilihali kuna masoko ya dhahabu na taratibu zake kama leseni ( brokers licence) na ulipaji wa kodi nk.... hivi ni huyu tu anayefanya biashara ya dhahabu Tanzania?.... migodi ya dhahabu tunaambiwa iko chunya, chunya pale na Mbeya kuna masoko ya serikali, ilifikaje Dar es salaam hiyo dhahabu? mbona hakudhurumiwa na polisi Chunya, Mbeya, Iringa, Moro ila imetokea Dar es salaam?...
sitetei polisi wala huyu jamaa, najaribu kuwa na fikra huru kuliko kurusha lawama...
Yaani mtu mmoja afuate polisi wengi akapambane nao?Yaani wewe ni mmoja halafu ukatafute polisi wengi wa kupambana nao?Wewe unaona hii inamake sense?Hapo si unakuwa unatafuta kifo cha haraka sana kabla hata ya kusababisha madhara uliyokusudia?
me binafsi nswe mnafiki hata cjaumia na hilo swala la kuuwawa polisi .Mitaa ya upanga imeanza kusikika kwamba anayeitwa Gaidi, ni muathirika wa dhuluma za polisi wetu. Polisi wajichunguze pia, badala ya kutisha watu mitaani na kukuza neno 'Ughaidi.'
Ndugu watateswa ili wasiseme hili, lakini linasikika mitaani kwetu!
Ungekuwa ww ni mmoja wa watoto wa Chacha Wangwe sijui kama ungekuja na majibu ya aina hii. RIP Chacha Wangwe.Majibu ya hovyo kwa swali la maana. Majibu Kama haya msitegemee yameletwa na mtu wa hovyo ndani ya chama. Hapana hayo ndiyo mawazo ya wale mnaowaita vigogo ndani ya Serikali. Kusema kweli bado tuna safari ndefu. Tafuta ufumbuzi wa kutatua tatizo kwa mustakhari wa taifa
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wanaodhulumiwa ni wale ambao huwa hawana kibali cha kusafirisha pekee?Kwa hiyo wanaodhulumiwa ni wale ambao dhahabu yao haina kibali?Kama alipata kibali cha kusafirishia kuja kuuza Dar, polisi na kudhulumiana kunaingiaje....kama dhahabu yako iko kisheria na una makaratasi yote mnaanzaje kudhulumiana ( niko kwenye hii biashara najua kuna kitu hakiko sawa hapo)...
Kwa nini hakuingia mtaani kuwasaka ili badala ya wawili wawe 200yule sio mjinga akung'ute polisi tu wakati raia walikuwa kibao
Nimeumia Sana, nimesikitika Sana kuuwawa mtu mmoja Kati ya wannne waliokufa Mungu aipe nguvu familia ya huyo jamaa, wengine watatu😃😃😃😃😃me binafsi nswe mnafiki hata cjaumia na hilo swala la kuuwawa polisi .
polis! ya sasa imezidi
kuna mtu jirani yangu alibambikiwa kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria walimpandikizia risasi alafu akalipa 5million ili yaishe
HahahaKwa nini hakuingia mtaani kuwasaka ili badala ya wawili wawe 200