Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

Ndio maana sio gaidi. Hakuingia mtaani kwa vile yeye ni raia mwema ila polisi walivyombadilikia ndio akatumia bastola yake kuwashambulia na kuchukua silaha zao. Angekuwa na ugaidi kichwani angeua askari wengi vituoni au kwenye gari
Nadhani alikuwa na kijikaratasi chenye ujumbe fulani mifukoni mwake
 
Na waathirika kusema kweli wapo wengi na kama hio ni kweli basi polisi wapo hatarini ,haijalishi wapo wengi kiasi gani,inafikia kujiridhisha ni kulipiza kisasi kwa polisi mvaa sare wa jeshi hilo atahesabika ni polisi,mlipa kisasi akishajiridhisha kabla hajachukua hatua hamu yake ni kwa wale waliomuathiri amuzi la mwisho kama hawajui basi ni kufikisha ujumbe kama wa Hamza.
Nasikia mamaaa ametoa agizo ufanywe uchunguzi ,hivi lile agizo la mapesa ya liopotea kutoka kwa mdhibiti wa maesabu ulikwishatoka?

Raisi Samia nakwambia tena hilo zigo ni zito waachie wenyewe machogo vunja bunge jiuzulu ,utaepukana na mengi lakini hapo ni jaa kuu.
 
Labda Gaidi kuna sheria inayomkataza kufanya biashara ya madini ila kiuhalisia hakuna kitu ambacho Gaidi hawezi kufanya ili kizugishe watu kuwa si mtu hatari kwa amani.
hata mie naona pale French embassy alkua anauza madini...
 
Mitaa ya upanga imeanza kusikika kwamba anayeitwa Gaidi, ni muathirika wa dhuluma za polisi wetu. Polisi wajichunguze pia, badala ya kutisha watu mitaani na kukuza neno 'Ughaidi.'
Ndugu watateswa ili wasiseme hili, lakini linasikika mitaani kwetu!
Hata ukidhulumiwa hutakiwi kwenda mitaani kuua Polisi. Polisi ni nembo muhimu kwa taifa, ukiua polisi - umedharau nembo ya nchi! Wewe ni nani kutudharau sisi Watanzania .Mitaani kuna mambo mengi- wapo jamaa zake watajaribu kutetea unyama alioufanya wa kuuwa watu watano. Sisi Watanzania lazima tusimame na Polisi mpaka hapo uchunguzi utapokamilika.
 
Huo ni upumbavu sababu aliowauwa siyo waliomzulumu, hili ni tukio la kigaidi
Una uhakika...?

Je,hzo machine kazitoa wapi?
Je,hao askari adi wanauliwa na kupokonywa machine walikuwa wapi?wanafanya nn?
 
Angekuwa gaidi angeuwa watu wote barabarani pale. Mitaani inaelezwa kuwa amedhulmiwa madini yake
Hii inanikumbusha kesi ya Abdalah Zombe na vijana wake walipowadhulumu wachimba madini kisha kuwatwanga risasi na kusingizia kuwa walikuwa majambazi. Polisi wetu wajitafakari sana dunia imebadilika.
 
Bwana Hamza amechukua sheria mikononi kwa kuwa misingi ya haki katika nchi kwa sasa imefikia kileleni katika kuoza.Polisi wako busy katika kudhulumu watu,kupora mali za uma na kuitumikia CCM badala ya kuwatumikia wananchi.
 
Yote kwa yote: Tutaimanishwa na polisi kuwa "alikuwa gaidi".
 
Unachopaswa kufanya hapa ni kutoa ushahidi utakaoleta ufumbuzi juu ya madai yako siyo habari za kusikia hapa pumbuni we
 
Em rudia kusoma ulichoandika, vipi kama wale askari wa kile kituo pale ndo walimpiga mkono akaenda kuzungumza nao na baada ya kushindwana akawapora zile silaa akaemdelea kupambana nao. Tatizo lako akili yako imejifunga kwenye vitu ulivyomezeshwa sijui wapi. Uislam ni dini ya amani na zaidi Mungu akuongoze uje siku moja utoe shahada kubwa kama aliyotoa firauni. Hovyo kabisa ulichoandika
 
Nafikiri hawajui kuna jamaa angu magunia ya mchele yaliibiwa ya kwake mwizi kakamatwa kwenda polisi kesi ikageuka jamaa kapiga mwizi, ikawa kesi ya jinai jamaa ikabidi atibu mwizi na mchele ukawa umepotea hvo
 
Stori kwamba huyu jamaa alidhulumiwa ni stupid kabisa.

Kama alizulumiwa, kaua polisi 2 pale mataa, si angerudi tu nyuma kidogo kuna kituo cha polisi Salenda angeenda kuwakuta wengi tu, alikua anafuata nini ubalozi wa ufaransa?...
Inawezekana Polisi walimdhulumu.... jiwe aliwapa kiburi sana polisi
 
Nafikiri hawajui kuna jamaa angu magunia ya mchele yaliibiwa ya kwake mwizi kakamatwa kwenda polisi kesi ikageuka jamaa kapiga mwizi, ikawa kesi ya jinai jamaa ikabidi atibu mwizi na mchele ukawa umepotea hvo
Hata tukisema tuwe na utu polisi wamejitengenezea mazingira ya sisi wnanchi kutokuwaamini kabisa. Mimi nilitapeliwa pikipik ikauzwa nikamkamata alieuziwa baada ya tapeli kukimbia, sijui nini kilitokea nikageuziwa kesi kwamba Mimi na yule tapeli ndo tunataka kumtapeli mnunuzi, kesi ikaenda mahakaman nikashinda lakin Bado pikipik alipewa yule mnunuzi na nikatishwa kweli, Nilipata hasira mpaka nikahisi siko duniani pengine nishakata moto.
Laiti ningekua na moja kama ya hamza yule occid ningemchapa za Kila mahali.
 
Yan mimi nilichojifunza juu ya jamaa angu kweny hii ishu ya mchele kuna wakati mwingine matatizo mengine ni vyema ukayaacha yapite maana pesa iliyotembea mpka jamaa akatoka sababu ya haki yake daa. Sema inatia hasira mno. Unaona haki yako inapotea na hakuna popote ulipovurunda.
 
Acha tu ndugu, me mwwnyewe nmeamua kuacha tu. Ila hawa askari wetu me hua nawaona kama majambazi tu ambao wapo authorized ndo maana Mimi asa ivi hata nivamiwe na majambazi siendi police kulipoti ni kupoteza muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…