The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Salatool kusufAnasimulia Abu Bakar
We were with Allah's Messenger (ﷺ) when the sun eclipsed. Allah's Messenger (ﷺ) stood up dragging his cloak till he entered the Mosque. He led us in a two-rak`at prayer till the sun (eclipse) had cleared. Then the Prophet (p.b.u.h) said, "The sun and the moon do not eclipse because of someone's death. So whenever you see these eclipses pray and invoke (Allah) till the eclipse is over."
Sahih Bukhar
Tayari ushapatwa huku fulu gizaCkear view
jioni ipi, ya kesho?Ni nafasi adimu sana kwa wale tunaoamini mambo ya asili. Tumetoka kufanya tambiko zito agano la damu na mtu wa kale. Natoa tahadhari hapa kijijini na huko mjini sasa hivi ukinifanyia ujinga jioni huioni.
matako weweNi nafasi adimu sana kwa wale tunaoamini mambo ya asili. Tumetoka kufanya tambiko zito agano la damu na mtu wa kale. Natoa tahadhari hapa kijijini na huko mjini sasa hivi ukinifanyia ujinga jioni huioni.
Hali hii ndo inathibitisha dunia ni duara mana unaona kabisa mzunguko wa uduara wa dunia kwenye mweziWatag wale woootee wanaoamini dunia ni duara waje watuelezee hii ya leo inatokeaje kwa mujibu wa iman
Ww fala tuuNi nafasi adimu sana kwa wale tunaoamini mambo ya asili. Tumetoka kufanya tambiko zito agano la damu na mtu wa kale. Natoa tahadhari hapa kijijini na huko mjini sasa hivi ukinifanyia ujinga jioni huioni.
Acha bangi, jua linaonekana wapInakuwaje jua ☀️ lionekane saahizi katika anga yetu wataalam karibuni
"JUU YA KILAMJUZI KUNA MJUZI ZAIDI"
Jua umeliona wapi wewe?Inakuwaje jua ☀️ lionekane saahizi katika anga yetu wataalam karibuni
"JUU YA KILAMJUZI KUNA MJUZI ZAIDI"
Hata mimi nilisoma mahali tangu August kama September mwezi utapatwaIla hii ishu nishawahi soma siku za nyuma kuwa September kutakuwa na hili tukio,ujumbe huu wa walimu kama umerefresh my mind
Hapa huwezi kuwaona kamwe 😂Wazee wa flat earth hapa hutawaona
View attachment 3467406
Habari
Leo kuanzia mida ya jioni jua linapozama hadi saa 6 usiku tutashuhudia tukio la kupatwa kwa mwezi
Ni vizuri kuwaonesha watoto wetu wawe wanapata uzoefu wa matukio haya
Itawasaidia hata wanapokuwa wakifundishwa kujua ni kitu gani wanafundishwa
Walimu wametutumia nikaona sio vibaya kushare nanyi, watoto wajifunze kitu
NI hayo tu!
===
Taarifa ya mamlaka ya hali ya hewa Tanzania
View attachment 3467409