Japo maandiko yanasema watatamani kufa lakini kifo kitakuwa adimu. Kwa kifupi wenye dhambi lazima wapate tabu sana.Itakuwa jambo jema, angalau uhai wa watu utunzwe. Lakini kubwa zaidi ni kuwa tayari kuondoka katika unyakuo.
Dah ! mpaka ifike 2303.Yesu alifufuka siku ya 3 tena masaa yalikua hayajatimia
Miaka buku ni sawa na siku 1 mbinguni
Kabla ya mwaka 3000 haujafika unyakuo utakua tayari
Mungu atupe mwisho mwema!
2 Peter 3:8
Sijakuelewa mkuuBible inafikirisha sana. Ni uzwazwa kuishupalia.
Ni ujingaUnyakuo
SawaIpo siku mtatuelewa tu! Endeleeni na kejeli zenu.
AshkeNazi Jews nimeshasema mara nyingi sio wazungu kutoka Ulaya,ni Khazars from Khazaria,ambayo leo ni Ukraine na parts of other surrounding nations.Kwa baadhi ya watu wanaamini hii Israel ya sasa yaani hawa Ashkenazi Jews hawana uhusiano wowote na wale wa kwenye maandiko ya biblia, kwani hawa ni wazungu kutoka Ulaya ila wale wa kale hawakuwa na asili hiyo kutoka Ulaya magharibi.
Mathanzua
Hakuna unanyakuo,it is a fake doctrine from the devil himself,msipotoshe watu.Ni lazima Watakatifu wapitie mateso ili imani yao ipimwe,Biblia inaonyesha hili wazi.This heresy is designed to slowdown the righteous seeking the Lord Jesus and therefore become lukewarm.Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya watakaopotea watakuwa wakiendesha vyombo vya moto vitakavyopata ajali baada ya wao kupotea ghafla wakati vikiwa kwenye mwendo mkali. Siku hiyo itatisha na itakuwa mwanzo wa mapigo yatakayofuata.
Movies indeed.hizi movie hizi π π π
Khaaaπ€£π€£Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya watakaopotea watakuwa wakiendesha vyombo vya moto vitakavyopata ajali baada ya wao kupotea ghafla wakati vikiwa kwenye mwendo mkali. Siku hiyo itatisha na itakuwa mwanzo wa mapigo yatakayofuata.
da!!!! wengine watafaidi sana!!,,watakuta vijito vikitiririsha TUNGU{watagida pombe blaa!!! bila pesa},na watakutana na wanawake 70 bikra wenye wacho makubwa!!!! da!!! yaani man mmoja atamiliki pisi kali 70 bikra!!!!!!Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya watakaopotea watakuwa wakiendesha vyombo vya moto vitakavyopata ajali baada ya wao kupotea ghafla wakati vikiwa kwenye mwendo mkali. Siku hiyo itatisha na itakuwa mwanzo wa mapigo yatakayofuata.
weee jamaa acha utani mazee!! ahahaaa!!Kwa hiyo itakuwa ni lini?
Hakuna sababu ya kubishana mkuu. Cha muhimu, hakikisha upo tayari muda wowote.Hakuna unanyakuo,it is a fake doctrine from the devil himself,msipotoshe watu.Ni lazima Watakatifu wapitie mateso ili imani yao ipimwe,Biblia inaonyesha hili wazi.This heresy is designed to slowdown the righteous seeking the Lord Jesus and therefore become lukewarm.
Anayedai kuna unyakuo,either he or she is an agent of the Devil or is not a true follower of Jesus Christ. Nakuchallenge unipe andiko lolote linalo onyesha kwamba unyakuo upo,I assure you,there is none.Ni viandiko vilivyopindishwa pindishwa tu ili kujaribu kuonyesha kwamba concept hiyo ni kweli,lakini sio.
Fuata link ifuatayo uone ukweli wa Kibiblia,achana na udanganyifu wa Shetani.
Vitu vingi umeandika sahihi. Mashahidi wawili ni Eliya na Enoch. Kanisa litanyakuliwa kabla ya kuingia kwenye dhiki kuu.Kuna kitu kinaitwa nyakati za mwisho na wakati wa mwisho...
1.Nyakati za mwisho tulizianza baada ya messiah kufa na kufufuka takribani miaka 2000 sasa haya ndio matukio yanayozungumziwa mathayo 24, ila yanaongelewa kama ni kuanza kwa uchungu ( beginning of birth pains)
2. Wakati wa mwisho: hii ni miaka 7 ya mwisho namba 7 ni namba ya ukamilifu wa Mungu, huu wakati ndio upo future ambapo kutakuwa na mpinga kristo ambapo atafanya maagano na waliowengi kwa muda wa miaka 3.5 baada ya miaka hiyo ndio dhiki kuu itaanza baada ya lile chukizo la uharibifu alililizungumza Daniel yaani sanamu kuwekwa katika hekalu la Mungu na watu wote kufosiwa kuabudu hilo sanamu.
So matukio muhimu yataashiria tumeingia kwenye wakati wa mwisho.
1. Kupatikana kwa amani Mashariki: hapa ndipo tunafatilia aidha kiongozi kinara ambaye atapelekea kupatikana kwa amani ya kudumu mashariki ya kati huyu ndio pengine akawa mpinga kristo
2. Baada ya kupatikana kwa amani mashariki ya kati kutakuwa na hamasa ya kujenga hekalu yerusalemu hili hekalu ndipo baadaye kutawekwa sanamu ambalo kila mtu atafosiwa kusujudu.
3. Jitihada za kuunganisha ulimwengu mzima kuwa dola moja na kuwa serikali moja, pengine kuwa na siku moja ya kuabudu.
4. Kuibuka kwa mashahidi wawili aidha ni watu wawili (Musa na Enoka) au Imani mbili ( wakristo na wayahudi) ambao wataionya dunia/ watahubiri kwa nguvu sana kwa muda wa miaka 3.5 ya kwanza watapewa uwezo wa kufanya maajabu makubwa na mpinga kristo hatoweza kuwadhutu kwa kipindi hicho.
5.Mpinga Kristo kuwashinda na kuwaua mashahidi wawili na kuacha miili yao ikitapakaa yerusalem, ulimwengu mzima utafurahi sana..
6. Mpinga Kristo kujitangaza kuwa yeye ni mungu na kuhitaji kuabudiwa. Na kuanzisha chapa ya mnyama.
7. Dhiki kuu ambapo watu wasiowekwa alama ya mnyama watashindwa kuuza au kununua chochote, watauwawa,watasalitiwa na ndugu zao.. kutakuwa na mauaji ambayo hayajawahi tokea tangu ulimwengu uumbwe.
8. Unyakuo
9. Gadhabu kuu- hii ni hasira ya mungu ambayo ni kisasi cha roho za watakatifu wote waliouwawa nyakati tofauti. Ambapo watu waliopokea alama ya mnyama watapigwa mapigo makuu.
10.. Ujio wa yesu mara ya pili, atamshinda mpinga kristo katika vita kuu ya Amagedoni. Mpinga kristo atatupwa Jehanam na shtani kufungwa kwa muda wa miaka 1000.
11. Utawala wa millenia na hukumu kwa watakatifu. Hapa ni wale watakatifu walionyakuliwa watatolewa hukumu na kupewa mataji hawa wataishi na kristo Yerusalemu kwa miaka 1000.
12. Baada ya miaka 1000 shetani atafunguliwa na atawalaghai wanadamu kwenda kuvamia kambi ya watakatifu. Hapa nipo moto utatoka mbinguni na kuwatafuna wote..
13. Hukumu ya mwisho, hii ndio watu wote wa miaka yote watafufuliwa na vitabu vitafunuliwa hawa watahukumiwa kulingana na matendo yako na kama jina lako halipo kwenye kitabu cha uzima basi utatupwa jehanam..
Hii ni tofauti na ile hukumu ya kwanza ya watakaifu ambapo wote waliokolewa kwa neema sababu waliamini katika kristo..
Kijiti gani unakitumia hapo?Jamani, tupunguzeni matumizi ya kijiti