Tukio la kupotea kwa watu wengi hapa duniani kwa wakati mmoja limekaribia sana kutokea

Mkuu kwa kifupi ni kwamba, kutokana na maelezo yako, wewe kama uliumbwa kwenda motoni, utaenda motoni! No amount of prayers will save you. Mungu yeye alishachagua watu wake kabla hata hajawaumba, na wewe kama sio mmoja wao, imekula kwako.
Hapana, sijaandika hilo. Mungu anakuona unavyofanya maamuzi sasa hivi na anakuona leo utakavyofanya maamuzi miaka 10 ijayo. Sasa ni uamuzi wako mwenyewe, aidha utafute uongozi wake ili ufanye maamuzi sahihi au ufanye unavyojisikia wewe na kuvuna matokeo yake.
 
Lakini kumbuka Mungu habadilishi mawazo..
 
Hakuna kitu chochote kipya kilichotokea siku za karibuni ambacho hakijawahi kutokea huko nyuma
Vipo vingi sana, AI, 3D printing na internet kwa ujumla inaenda kufanikisha aina nyingi sana za unabii ambao ulionekana hautaweza kutimia kipindi unatolewa.

Mfano wale manabii wawili watakaokuja halafu wauawe na biblia inasema miili yao itaachwa hapo huku dunia nzima ikiiangalia. Huu unaweza kutimia kwa TV na internet.

Mfumo wa kununua na kuuza utakaosababisha yeyote asiyekuwa na chapa/chip ya mpinga kristo kushindwa kupata mahitaji leo hii tunakaribia sana level hiyo kwa payment cards na online transactions..

Nk
 
Soma post namba 10
Mathayo 24:36

Naujua huo mstari...

Mathayo 24
36 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.

Lakini mwandishi wa mada namna alivyoandika ni kama kaona dalili kadha wa kadha, hivyo kaamua kutusanua lakini katusanua nusu nusu. Hivyo nikawowa kumuuliza nilivyouliza
 
We only have 24 years left to reach that 100. So that event will take place any time soon.. Get ready y'all!!!
 
Sidhani kama umeelewa nilichoandika
 
Hakuna anayefahamu siku wala saa lakini Yesu Kristo alitaja dalili zitakazokuwepo. Unaweza kuzisoma kwenye mathayo sura ya 24 kwenye biblia takatifu.

Kwa hiyo uzi wako umelenga tu kutukumbusha dalili hizi?

Mathayo 24
24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
 
Kama Ilivyoandikwa Kwa Vitabu Namna Universe Ilivyoanza Ya Big Bang.
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Mkuu hebu acha uoga..
 
Lakini kumbuka Mungu habadilishi mawazo..
Mkuu mahali unapokosea ni kuamini kwamba Mungu amekupangia hatima ya maisha. Hii sio sahihi. Wewe ndio unaamua hatma yako iweje.

Ukitaka kufuata maelekezo ya Mungu basi utafika alipokuandalia na ukikataa pia utafika pale alipoandaa kwa wale wanaokataa maelekezo yake.
 
Siku wala saa haijulikani lakini tuliambiwa dalili zake na ndo tuko nazo Siku hizi.. Ndio maana tukaambiwa tukeshe (meaning to be alerted or on alert that the event will happen when we least expect it to...)
 
Vipo vingi sana, AI, 3D printing na internet kwa ujumla inaenda kufanikisha aina nyingi sana za unabii ambao ulionekana hautaweza kutimia kipindi unatolewa.

Mfano wale manabii wawili watakaokuja halafu wauawe na biblia inasema miili yao itaachwa hapo huku dunia nzima ikiiangalia. Huu unaweza kutimia kwa TV na internet.

Mfumo wa kununua na kuuza utakaosababisha yeyote asiyekuwa na chapa/chip ya mpinga kristo kushindwa kupata mahitaji leo hii tunakaribia sana level hiyo kwa payment cards na online transactions

Nk
 
Aisee, hivi shida ni sukari na umeme tu mpaka mnachanganyikiwa kiasi hiki!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…