Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.

Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.

Lakini kabla ya yote nimeona kwanza nilete pendekezo hili hapa jukwaani ili tuone jinsi ambavyo linaweza kufaa au kutofaa.

Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kwamba ajali za barabarani huwa hazitokei kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya uzembe, kutokufuata sheria, na ukosefu wa tahadhari. Vyombo vya usafiri kama magari, mabasi, bodaboda, bajaji, na malori vinaweza kufananishwa na zana hatari kama visu, mapanga, au bunduki. Vyote vinahitaji uangalifu mkubwa ili visisababishe madhara.

Ili kumaliza ajali hizi, naomba kupendekeza mfumo huu madhubuti wa uwajibikaji unaolenga kuhakikisha kila mmiliki wa chombo cha usafiri anawajibika kwa matendo yake, huku akifuata sheria za usalama kwa umakini wa hali ya juu.

1. Uwajibikaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri
Mmiliki wa chombo cha usafiri alipaswa kubeba jukumu moja kwa moja kwa ajali yoyote inayosababishwa na chombo chake.

Aina za Uwajibikaji
1). Kwa mtu aliye gongwa na chombo
Mwathirika angelipwa fidia kulingana na viwango vilivyoainishwa (vifo, ulemavu wa kudumu, au majeraha).
Mmiliki wa chombo angelipa faini ya TZS milioni 50 kwa kusababisha ajali hiyo.

2). Kwa vyombo vilivyogongana
Kila mmiliki wa chombo angelipa fidia kwa abiria wake.
Kila mmiliki angelipa faini ya TZS milioni 50 kwa kushiriki katika ajali hiyo.

3). Kwa chombo kilichogonga kingine kikiwa kimesimama
Mmiliki wa chombo kilichogonga angelipa fidia kwa abiria wake na kwa mwathirika wa chombo kilichokuwa kimesimama.
Pia atalipa faini ya TZS milioni 50 kwa uzembe wake.

4). Kwa chombo kilichogonga kingine kwa nyuma kikiwa kwenye mwendo
Mmiliki wa chombo kilichogonga angelipa fidia kwa abiria wake na waathirika wa chombo kingine kilichoharibika.
Faini ya TZS milioni 50 ingelipwa na mwenye chombo kilichogonga.

2. Viwango vya Fidia kwa Waathirika wa Ajali

Ninapendekeza viwango vifuatavyo vya fidia

1). Kwa Vifo: Familia ya aliyefariki ingepokea fidia ya TZS milioni 250 hadi 500.

2). Kwa Ulemavu wa Kudumu: Mwathirika angepokea fidia ya TZS milioni 150 hadi 200, kulingana na athari za ulemavu wake kwa maisha ya baadaye.

3). Kwa Majeraha ya Kawaida: Mwathirika angepokea fidia ya TZS milioni 50 hadi 100, kutegemea gharama za matibabu na muda wa kupona.

3. Faini ya Kupata Ajali

Kwa kuwa ajali husababisha madhara makubwa kwa jamii na miundombinu:

Faini ya Lazima: Kila anayepata ajali angelipa TZS milioni 50, bila kujali hali ya ajali (iwe imeua au la, chombo kimeharibika au la).

4. Mfumo wa Bima ya Lazima

Ili kuhakikisha fidia na faini zinalipwa ipasavyo:

1). Kila mmiliki wa chombo angetakiwa kuwa na bima ya dhima kubwa inayoweza kufidia madhara makubwa ya kifedha.

2). Wamiliki wasio na bima inayokidhi viwango wangetozwa faini kubwa au magari yao kufungiwa.

5. Hatua za Nyongeza za Kuzuia Ajali

Ili mfumo huu ufanye kazi kwa ufanisi, hatua zifuatazo zingepaswa kuzingatiwa:

1). Ukaguzi wa Magari: Serikali ingefanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa vyombo vyote vya usafiri kuhakikisha vinakidhi viwango vya usalama.

2). Elimu ya Usalama Barabarani: Madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri wangeelimishwa kuhusu umuhimu wa kufuata sheria za usalama barabarani.

3). Adhabu Kali kwa Wakiukaji: Madereva na wamiliki wanaopatikana na hatia ya uzembe wanhepatiwa adhabu kali kama kufungiwa leseni au kifungo cha muda.

6. Faida za Mfumo Huu

1). Kuongeza Nidhamu na Uwajibikaji:
Wamiliki wa vyombo vya usafiri wangehakikisha vyombo vyao ni salama, na madereva wangekuwa makini zaidi barabarani.

2). Kupunguza Ajali kwa 100%: Kwa gharama kubwa ya fidia na faini, ajali zingepungua kwa kiwango kikubwa.

3). Kuimarisha Usalama wa Jamii: Barabara zingekuwa salama kwa kila mtumiaji wa barabara.

Kwa kutumia mfumo huu, tungepelekea kuondoka kwa uzembe barabarani, huku tukihakikisha kila anayehusika anawajibika kwa matendo yake. Tungeanza kutekeleza mfumo huu, hakika ajali za barabarani zingekuwa historia ndani ya muda mfupi!
 
Wazo zuri ila punguza bei faini baada million 50 iwe million 10 bus kumbwa mikoani, million 5 daladala Na million 2 bajaji na million 1 ni pikipiki.bodaboda ya wanatutegua miguu Kila simu alafu hawana million 50.sasa watoe Million 1.Asante wazo lako ni suluhu ajali 100% .Ajali sio mipango ni binadamu
 
Watu tunatembeza chuma za mkopo barabarani hizo fine labda zilipwe na Bima
 
Bado adhabu aina ya faini siyo suluhisho.

SULUHISHO NI
CONTROL OF TRAFFIC LANES BY ELECTRONIC SENSORS,
Gari zote zisajiliwe electronically using specific road lane sensing technology, ambapo Kila road user (driver) akiingia kwenye gari yeyote atapaswa kuifix driving licence yake kwenyde slot maalumu ya gari anayoitumia.
Wakati wa kutumia Barabara au lanes zake,signs usage zitaku-cross check, ukifanya makosa, zitaku-bill penalty, ukizidisha certain billing mark, utapunguziwa validity of your licence, na pia kadri unavotumia vizuri ikuongezee very little credit marks.
Na pia iweze kukufutia (block) licence Yako.
Hiyo itawapunguzia majukumu traffic hata masaa au maeneo ambayo hawapo.
Inaonekana ni mfumo wa gharama, lakini hata maisha ya watu kupotea plus mishahara na usalama wa traffic ni gharama sana.
 
Hujazunguka Tanzania nzima au kusafiria Sana ukaona Hali za barabara zetu zilivyo!!.

Barabara Kwa sehemu kubwa hazikidhi vigezo ukilinganisha na Maendeleo ya Sasa katika sekta ya usafirishaji na Uchumi.

Maboresho makubwa yanahitajika barabara ni mbovu, na Zipo chini ya Viwango.
 
Hivi unaamini unaweza kumaliza ajali katika Taifa kweli, USA Canada UK kote huko ajali zipo,pamoja na miundombinu yao ya kisasa na Teknolojia.

Jenga Dual carriageway Dar Mwanza Dar Tunduma Tinde Rusumo Chalinze Moshi Arusha ajali zitapungua sana lakini huwezi kuzimaliza.
 
High way ziwe na njia za magari, njia za baiskeli na boda boda na njia za watembea kwa miguu ambazo haziingiliani, kwamba huwezi kuchepuka kwenda kwenye barabara nyingine mpaka iwe kwenye junction au daraja...

Cc: Mahondaw
 
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.

Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.

Lakini kabla ya yote nimeona kwanza nilete pendekezo hili hapa jukwaani ili tuone jinsi ambavyo linaweza kufaa au kutofaa.

Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kwamba ajali za barabarani huwa hazitokei kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya uzembe, kutokufuata sheria, na ukosefu wa tahadhari. Vyombo vya usafiri kama magari, mabasi, bodaboda, bajaji, na malori vinaweza kufananishwa na zana hatari kama visu, mapanga, au bunduki. Vyote vinahitaji uangalifu mkubwa ili visisababishe madhara.

Ili kumaliza ajali hizi, naomba kupendekeza mfumo huu madhubuti wa uwajibikaji unaolenga kuhakikisha kila mmiliki wa chombo cha usafiri anawajibika kwa matendo yake, huku akifuata sheria za usalama kwa umakini wa hali ya juu.

1. Uwajibikaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri
Mmiliki wa chombo cha usafiri alipaswa kubeba jukumu moja kwa moja kwa ajali yoyote inayosababishwa na chombo chake.

Aina za Uwajibikaji
1). Kwa mtu aliye gongwa na chombo
Mwathirika angelipwa fidia kulingana na viwango vilivyoainishwa (vifo, ulemavu wa kudumu, au majeraha).
Mmiliki wa chombo angelipa faini ya TZS milioni 50 kwa kusababisha ajali hiyo.

2). Kwa vyombo vilivyogongana
Kila mmiliki wa chombo angelipa fidia kwa abiria wake.
Kila mmiliki angelipa faini ya TZS milioni 50 kwa kushiriki katika ajali hiyo.

3). Kwa chombo kilichogonga kingine kikiwa kimesimama
Mmiliki wa chombo kilichogonga angelipa fidia kwa abiria wake na kwa mwathirika wa chombo kilichokuwa kimesimama.
Pia atalipa faini ya TZS milioni 50 kwa uzembe wake.

4). Kwa chombo kilichogonga kingine kwa nyuma kikiwa kwenye mwendo
Mmiliki wa chombo kilichogonga angelipa fidia kwa abiria wake na waathirika wa chombo kingine kilichoharibika.
Faini ya TZS milioni 50 ingelipwa na mwenye chombo kilichogonga.

2. Viwango vya Fidia kwa Waathirika wa Ajali

Ninapendekeza viwango vifuatavyo vya fidia

1). Kwa Vifo: Familia ya aliyefariki ingepokea fidia ya TZS milioni 250 hadi 500.

2). Kwa Ulemavu wa Kudumu: Mwathirika angepokea fidia ya TZS milioni 150 hadi 200, kulingana na athari za ulemavu wake kwa maisha ya baadaye.

3). Kwa Majeraha ya Kawaida: Mwathirika angepokea fidia ya TZS milioni 50 hadi 100, kutegemea gharama za matibabu na muda wa kupona.

3. Faini ya Kupata Ajali

Kwa kuwa ajali husababisha madhara makubwa kwa jamii na miundombinu:

Faini ya Lazima: Kila anayepata ajali angelipa TZS milioni 50, bila kujali hali ya ajali (iwe imeua au la, chombo kimeharibika au la).

4. Mfumo wa Bima ya Lazima

Ili kuhakikisha fidia na faini zinalipwa ipasavyo:

1). Kila mmiliki wa chombo angetakiwa kuwa na bima ya dhima kubwa inayoweza kufidia madhara makubwa ya kifedha.

2). Wamiliki wasio na bima inayokidhi viwango wangetozwa faini kubwa au magari yao kufungiwa.

5. Hatua za Nyongeza za Kuzuia Ajali

Ili mfumo huu ufanye kazi kwa ufanisi, hatua zifuatazo zingepaswa kuzingatiwa:

1). Ukaguzi wa Magari: Serikali ingefanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa vyombo vyote vya usafiri kuhakikisha vinakidhi viwango vya usalama.

2). Elimu ya Usalama Barabarani: Madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri wangeelimishwa kuhusu umuhimu wa kufuata sheria za usalama barabarani.

3). Adhabu Kali kwa Wakiukaji: Madereva na wamiliki wanaopatikana na hatia ya uzembe wanhepatiwa adhabu kali kama kufungiwa leseni au kifungo cha muda.

6. Faida za Mfumo Huu

1). Kuongeza Nidhamu na Uwajibikaji:
Wamiliki wa vyombo vya usafiri wangehakikisha vyombo vyao ni salama, na madereva wangekuwa makini zaidi barabarani.

2). Kupunguza Ajali kwa 100%: Kwa gharama kubwa ya fidia na faini, ajali zingepungua kwa kiwango kikubwa.

3). Kuimarisha Usalama wa Jamii: Barabara zingekuwa salama kwa kila mtumiaji wa barabara.

Kwa kutumia mfumo huu, tungepelekea kuondoka kwa uzembe barabarani, huku tukihakikisha kila anayehusika anawajibika kwa matendo yake. Tungeanza kutekeleza mfumo huu, hakika ajali za barabarani zingekuwa historia ndani ya muda mfupi!
Unajua kazi ya Insurance?
 
Faini ya milion 50 atalipa nani sasa? kadiri unavyokuwa na faini kubwa kwenye nchi masikini ndo unazidi kunogesha rushwa.
Halafu, ajali hadi leo hii ulaya zipo hakuna ncji imewahi kufaulu kuzuia ajali
 
Meneja wa makampuni hongera kwa uchambuzi huu, ila uchambuzi huu ungekuwa mzuri zaidi kama tungebainisha vyanzo vya ajali hapa nchini. Kwani chanzo kikuu cha ajali ni nini?
Tukishakibaini hiki ni rahisi kukishughulikia. Je, ni uchakavu wa miundombinu ya barabara?, je, ni uchakavu wa vyombo vya moto?, je, ni rushwa barabarani?, je, ni ulevi wa baadhi ya madereva wanapoendesha?, je, ni blood thirsty ya baadhi ya watumiaji wa barabara?, je, ni ushirikina? Je, ni bodaboda wasifuata sheria? Au je, ni watumiaji wengine wa barabara ambao si wangaangalifu ndio wanawasababishia madereva mfano wafugaji wanaopitisha mifugo bila tają dharm?
Jambo hili linahitaji utafiti zaidi ili lifahamike vinginevyo linaacha majonzi mazito kwa familia na kupoteza nguvukazi ya taifa.
Wasalaam
 
Jumatano usiku pande za mkata nilikuta ajali mbaya sana ya Fuso na Coaster aisee ile coaster alipona abiria mmoja tu, abiria wote walifia palepale.
Yaani nimefika pale maiti ndio zinatolewa.
Aisee Mungu atulinde jamani.
 
Habari za jioni ndugu na marafiki,
Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani.

Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu.

Lakini kabla ya yote nimeona kwanza nilete pendekezo hili hapa jukwaani ili tuone jinsi ambavyo linaweza kufaa au kutofaa.

Kwanza kabisa naomba kuwasilisha kwamba ajali za barabarani huwa hazitokei kwa bahati mbaya bali ni matokeo ya uzembe, kutokufuata sheria, na ukosefu wa tahadhari. Vyombo vya usafiri kama magari, mabasi, bodaboda, bajaji, na malori vinaweza kufananishwa na zana hatari kama visu, mapanga, au bunduki. Vyote vinahitaji uangalifu mkubwa ili visisababishe madhara.

Ili kumaliza ajali hizi, naomba kupendekeza mfumo huu madhubuti wa uwajibikaji unaolenga kuhakikisha kila mmiliki wa chombo cha usafiri anawajibika kwa matendo yake, huku akifuata sheria za usalama kwa umakini wa hali ya juu.

1. Uwajibikaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri
Mmiliki wa chombo cha usafiri alipaswa kubeba jukumu moja kwa moja kwa ajali yoyote inayosababishwa na chombo chake.

Aina za Uwajibikaji
1). Kwa mtu aliye gongwa na chombo
Mwathirika angelipwa fidia kulingana na viwango vilivyoainishwa (vifo, ulemavu wa kudumu, au majeraha).
Mmiliki wa chombo angelipa faini ya TZS milioni 50 kwa kusababisha ajali hiyo.

2). Kwa vyombo vilivyogongana
Kila mmiliki wa chombo angelipa fidia kwa abiria wake.
Kila mmiliki angelipa faini ya TZS milioni 50 kwa kushiriki katika ajali hiyo.

3). Kwa chombo kilichogonga kingine kikiwa kimesimama
Mmiliki wa chombo kilichogonga angelipa fidia kwa abiria wake na kwa mwathirika wa chombo kilichokuwa kimesimama.
Pia atalipa faini ya TZS milioni 50 kwa uzembe wake.

4). Kwa chombo kilichogonga kingine kwa nyuma kikiwa kwenye mwendo
Mmiliki wa chombo kilichogonga angelipa fidia kwa abiria wake na waathirika wa chombo kingine kilichoharibika.
Faini ya TZS milioni 50 ingelipwa na mwenye chombo kilichogonga.

2. Viwango vya Fidia kwa Waathirika wa Ajali

Ninapendekeza viwango vifuatavyo vya fidia

1). Kwa Vifo: Familia ya aliyefariki ingepokea fidia ya TZS milioni 250 hadi 500.

2). Kwa Ulemavu wa Kudumu: Mwathirika angepokea fidia ya TZS milioni 150 hadi 200, kulingana na athari za ulemavu wake kwa maisha ya baadaye.

3). Kwa Majeraha ya Kawaida: Mwathirika angepokea fidia ya TZS milioni 50 hadi 100, kutegemea gharama za matibabu na muda wa kupona.

3. Faini ya Kupata Ajali

Kwa kuwa ajali husababisha madhara makubwa kwa jamii na miundombinu:

Faini ya Lazima: Kila anayepata ajali angelipa TZS milioni 50, bila kujali hali ya ajali (iwe imeua au la, chombo kimeharibika au la).

4. Mfumo wa Bima ya Lazima

Ili kuhakikisha fidia na faini zinalipwa ipasavyo:

1). Kila mmiliki wa chombo angetakiwa kuwa na bima ya dhima kubwa inayoweza kufidia madhara makubwa ya kifedha.

2). Wamiliki wasio na bima inayokidhi viwango wangetozwa faini kubwa au magari yao kufungiwa.

5. Hatua za Nyongeza za Kuzuia Ajali

Ili mfumo huu ufanye kazi kwa ufanisi, hatua zifuatazo zingepaswa kuzingatiwa:

1). Ukaguzi wa Magari: Serikali ingefanya ukaguzi wa mara kwa mara kwa vyombo vyote vya usafiri kuhakikisha vinakidhi viwango vya usalama.

2). Elimu ya Usalama Barabarani: Madereva na wamiliki wa vyombo vya usafiri wangeelimishwa kuhusu umuhimu wa kufuata sheria za usalama barabarani.

3). Adhabu Kali kwa Wakiukaji: Madereva na wamiliki wanaopatikana na hatia ya uzembe wanhepatiwa adhabu kali kama kufungiwa leseni au kifungo cha muda.

6. Faida za Mfumo Huu

1). Kuongeza Nidhamu na Uwajibikaji:
Wamiliki wa vyombo vya usafiri wangehakikisha vyombo vyao ni salama, na madereva wangekuwa makini zaidi barabarani.

2). Kupunguza Ajali kwa 100%: Kwa gharama kubwa ya fidia na faini, ajali zingepungua kwa kiwango kikubwa.

3). Kuimarisha Usalama wa Jamii: Barabara zingekuwa salama kwa kila mtumiaji wa barabara.

Kwa kutumia mfumo huu, tungepelekea kuondoka kwa uzembe barabarani, huku tukihakikisha kila anayehusika anawajibika kwa matendo yake. Tungeanza kutekeleza mfumo huu, hakika ajali za barabarani zingekuwa historia ndani ya muda mfupi!
Hili pendekezo ni zuri sana na kwa kweli kwa kiasi kikubwa binafsi naamini linaweza kupunguza ajali hasa zinazotokana na uzembe zikabaki za kawaida

Kila ajali ikitokea huwa nawaza kitu kama hiki. Pengine ajali zinakuwa nyingi kwasababu hakuna uwajibikaji wa moja kwa moja kwa wamiliki na madereva.

Abiria akipata ajali kinachofuata ni kupewa pole ya mdomo tu kana kwamba amejisababishia yeye hata pale ambapo jeshi la polisi linasema ajali imesababishwa na uzembe

Ni muhimu pale ajali inapothibitika kuwa imesababishwa na uzembe wahusika wawajibike kwa kufidia abiria.
 
Shida ya hii nchi Kila mtu anajua watu walipiga sana kelele zirudi safari za usiku ona Sasa watu wanachinjwa kama kuku Kila siku

Barabara zetu ni nyembamba sana inapotekea shida kidogo dereva inakuwa ngumu kujitetea na safari za usiku ndio shida zaidi
 
Bado adhabu aina ya faini siyo suluhisho.

SULUHISHO NI
CONTROL OF TRAFFIC LANES BY ELECTRONIC SENSORS,
Gari zote zisajiliwe electronically using specific road lane sensing technology, ambapo Kila road user (driver) akiingia kwenye gari yeyote atapaswa kuifix driving licence yake kwenyde slot maalumu ya gari anayoitumia.
Wakati wa kutumia Barabara au lanes zake,signs usage zitaku-cross check, ukifanya makosa, zitaku-bill penalty, ukizidisha certain billing mark, utapunguziwa validity of your licence, na pia kadri unavotumia vizuri ikuongezee very little credit marks.
Na pia iweze kukufutia (block) licence Yako.
Hiyo itawapunguzia majukumu traffic hata masaa au maeneo ambayo hawapo.
Inaonekana ni mfumo wa gharama, lakini hata maisha ya watu kupotea plus mishahara na usalama wa traffic ni gharama sana.
This is it. Hii kwanza itawafanya traffic kuwa na kazi ya kukagua road offences badala ya wao kuwabill madereva fines kama ilivyo sasa. Itawafany madereva kuwajibika zaidi kuliko hivi sasa ambapo madereva wanajitajidi kuwa na urafiki zaidi traffic police kitu ambacho huvutia rushwa zaidi. Dereva akiwa na leseni feki mfumo utalazilisha gari isiwake au mfumo utoe alert kwa nearest police station.
Huu mfumo nadhani hata Rwanda wanautumia nchi nzima, tunaweza kuustudy kutoka kwa hao majirani zetu tuone una ufanisi kiasi gani nani ghali kiasi gani
 
Back
Top Bottom