Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

Ajali za barabarani zinaepukika kwa asilimia 98%,Wala sipo kucomment utani hapa,hebu tujikumbishe mabasi yale ya zamani ya TRC maarufu kama rerue,madereva wake waliwekewa ukomo wa speed ya kuyaendwsha mabasi hayo ilikuwa ni km80/kwa saa,na ukifuatilia mabasi hayo hayakusababisha ajali.
Pendekezo langu hapa,inabidi tubadili mfumo wa maisha vyombo vyote vya usafiri visafiri kwa speed ya km60/kwa saa,tukianza miaka miwili ya kwanza tutapata shida sana sababu hatukuzoea,baada ya mda huo wa miaka miwili tutaanza kuzoea,hii pia itabadilisha mifumo mingi ya maisha sababu mtu anaesafiri kwenda Arusha atatumia siku tatu njiani lakini ajali zitakuwa hazipo.
 
Hayo yote yapo......Kimsingi udereva ni taaluma,,,,sasa watu wamevamia,,,,,mtu anaendesha gari toka nyumbani kwenda ofisini na kurudi nyumbani...tayari anajiona yeye ni dereva,,,,,,,anakurupuka ati anataka kwenda Moshi kuonyesha gari lake,,,,,,anafika pale Korogwe anapata msosi anashiba......anaendelea na safari....shibe inawalevya ndani ya gari watu wanaanza kusinzia.....na dereva nae anasinzia......sasa hapo tufanyaje???
 
CHANZO KIKUU.....NI MAKOSA YA KIBINADAMU.......
 
AISEEE
Ati barabara nini????
Wewe enzi ya shimo kuanzia kibao cha PEPSI Dodoma kuelekea Mikoa ya Magharibi ulikuwepo?......au wakati wa kupiga shimo kwenda Mtwara.........na njia ya Moshi kabla ya KAPICO??? hii nchi unaijua tulikotoa wewe....au kuanzia TUnduma kuitafuta Sumbawanga........lami unaikuta Laela unadhani ushafika ......kumbe bado kuna shimo za kutosha.......
TAFADHALI KAA KIMYA.....HESHIMU NCHI YANGU TAFAADHAL
 
Ulishawahi kumiliki chombo chochote cha moto (ukiondoa sufuria na jiko)
 
Chanzo cha ajali zote ni umaskini wa nchi na wàtu wake.
1. Nchi maskini barabara nyembamba na tena zina mashimo mashimo
2. Umaskini wa kipato - madereva na wamiliki wanataka kufanya safari 4 wakati ki uhakisia ni safari 2 kwa sehemu husika.
3. Umaskini aka njaa ya askari wa usalama barabarani - ukimpa 10,000 ushamaliza soo unakimbiza utakavyo.
4. Umaskini wa kifikra, mtu anaona barabara si rafiki anatakiwa aende 60kmh yeye anapiga 120kmh.

Ajali haziwezi kuisha.
 
Namna ajali zinavyotokea na namna serikali inavyoshughulika unaweza dhani serikali inanufaika na hizi ajali.
 
Solution ni moja tu, barabara za mkoani zitanuliwe alafu ziwe double road, zitengwe katikati ili pale gari unapoovertake nyingine kusiwe na uwezekano wa kukutana na inayokuja.. wala inapoacha njia isiweze kukutana na inayokuja .

Ajali nyingi husababishwa na
1. Overtake za kizembe
2.Gari kuacha njia na kugongana na nyingine
3.Kufeli break
 
Nafikiri .umeongea point kumbe ubwabwa,, umejiuliza mambo yafuatayo?????

1. Kwanini ajali nyingi zipo nchi zinazoendelea???

2.Je umejiuliza mfumo wa utoaje lesen kwa nchi zinazoendelea kama zinakidhi matakwa ya kimataifa??

3. Je umejiuliza kama leseni zetu unaweza kutumia nchi zilizoendelea na kwanini???

4.Mamlaka zinazohusika utoaji lessen zinatoa kutokana na ujuzi aliosomea kweli au inaangaliwa faranca??? Na je wasimamizi barabarani wanasimamia kweli sheria au kuna mifumo inafanyika kuhusu ukusanyaji fedha kwa madereva huku nchi zinazoendelea???

4.Umewahi ongea na madereva wa malori wanaotembea kutoka nchi moja hadi nyingine jinsi wanavyotembea na fedha kama benk ndogo kwa wasimamizi barabarani???

SOLUTION ZA AJARI

1. Upanuzi wa miundombinu hasa barabara

2.Faini ifutwe ili kuondoa rushwa barabarani, njia pekee gari mbovu kuindoa barabarani. Unafikiri faini kwa magari mabovu inasaidia nn wakati ubovu bado unaendelea.

3.Wasimamizi wa barabara iwe chini ya wizara ya usafishaji ambao watalaamu wao ndio wanaosomea moja kwa moja chuo.

4. Udereva ufundishwe na chuo cha usafishaji badala ya veta , na mitihani ya vitendo ifanyike kwa pamoja kama ilivyokuwa wizara ya elimu mitihani yao.

4.kuhusu suala la rushwa nimeliongelea kwa kutoa faini lkn pia ikigundulika gali bovu na lipo barabaran wafuatiliwe wasimamizi wote waliopo barabarani njia iliyopita hiyo gari.
 
Serikali iboreshe miundombinu ya barabara
Apart of that lakini kutokua na uzoefu wa kutosha wa kuendesha na muda wa kuanzq safari wengi ni wale wapo ofisin 24/7anaendeshwa au qnajiendesha short route zenye mafoleni leo unakalia gari long route high way umahir zero umebeba familia jamani tum9unguzieni mungu mizigo lengn hv hawa ndugu zetu hawawez kufika moshing kwa mabasi ya abiria wakapumzisha gari
 
Hiii sikuona kama ulishaindika kongole nimepita kwa mawazo yako I solute u sina la kuongezq
 
Umekula?
 
Umeongelea adhabu kubwa kubwq, lakini unajua hizi ajali nyingi zinatokea kwenye barqbara zipi? Mbona barabara ya dodoma arusha hazitokei hizo ajali? Barabatra hii ya dom arusha ni pana kiasi hata gari 3 zinapishana, na haina mashimo, licha ya uzembe wa baadhi ya madereva barabara zeru kwa kiasi kikubwa zinachangia ajali"
 
Watu 100? Acha uongo
Hujaangalia taarifa ya habari? jana pekee 20 wamekufa Tanga na Tarakea. Kuna private na special hire zinachina kimya kimya bila kuripotiwa. Acha majeruhi wanaofia mahospital. Hali ni mbaya mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…