Tukiwaambia Hizo Simu Zenu za 1-5m ni Mitajji Mnatuita Motivational Speakers!

Rubbish talk
 
Umetumia njia ndefu sana kupata hiyo pesa

Odds 3 tu zilikua zinakupa hiyo pesa ndani ya masaa mawili.

Oyaa alafu nina masikitiko makubwa sana kwa ile swap iliyofanyika kati ya cavs na LA clippers. James harden na Darlius Garland wamebadilishana.
Garland alikua anafit sana pale cavs
 
Nilishangaa kwanini wamem trade Garland. Sikuelewa kabisa.
 
Nimekuuliza mkuu unaagiza na kuuza nini ili watu wajifunze katika uzi wako. Au uliamua tu kuponda watu na simu zao indirectly?
Kuna vitu vingi vya kununua. Karibu vitu vyote unavyoviona Kariakoo vinatoka china. Ni moja kati ya hivyo.
 
Platform gani unatumia kuagiza mkuu
Naagiza direct from manufacturer/supplier. Huyu alinifuata whatsapp. Wengi huwa wanakuja whatsapp wanajinadi. Namba wanaipata mtandaoni ambako nimetangaza biashara yangu. Nikamjaribu nikaona ni mwaminifu basi naendelea nae.
Mara nyingi ukiwa na tangazo la biashara mtandaoni supplier wa hizo bidhaa ndio wanaokufuata.
 
Huenda hujamuelewa mtoa madax na hii mada huenda hata sio kwa ajili yako.

Ameongea kitu kizuri kwa wanaojitafuta.
 
Asante kwa maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…