Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

Mkuu hela sio kila kitu maishani, ila hela huleta kila kitu. Kwa kifupi demu anakuonea aibu sababu huna kitu ilihal wenzie wamekuja na waume zao wa kiume (hope umenielewa).

Piga chini kei katafute hela kwanza ukizipata rudi kitaa oa new version na huyo demu abaki wa kuwa unachapa na kumnanga.


#Hasira zaidi ya mkizi#
 
Pili misibani tunaenda siku za kuzika, na ukifika unakamatia maiki unakuwa special mc wa kuongoza mazishi, ila wanamaliza kuweka maua wanatakiwa kukutafuta na huonekan ushaenda kuendelea na shuguli za kujenga Taifa teule
 
Hakikisha umechukua simu yake.


Hautaamini, hapo atapigwa muda si mrefu

Ndio maana anajiweka mbali nawee.
 
Sisi wengine hatuna haja ya kujikomba Kwa mtu usiponichukulia WA muhimu kwako Mimi wala sijali naangalia familia yangu na watoto wakwe kwangu ni watu wa mbali kabisa mtu ana uzao wake wabebe Mambo Yao nyie ndyo mnapewa viwanja na wakwe alafu mnakimbilia kujenga siku mnagombana na mkeo unafukuzwa kama mbwaa wakwe siyo ndugu zako ata kama umeowa kwao wele ni wapita njia kama wapita njia wengine tu alafu mnama angalia familia yako achana na mbwembwe za wachaga washamba mm ni mchaga pure lea wazee wako watu wa pembeni wasikutishe na mbwbwe za mwezi wa 12
 
MISIBANI HUKO WALIKOKULIA MUME/MKE NI MEETING POINT NZURI SANA KWA MA EX KUKUMBUSHANA YA ZAMANI, KUFANYA MAREJEO YA KILA MTU ALIPO NA KUWAKO KWA MAAZIMIO MAPYA BAADA YA MSIBA
 
inaonekana huyo mwanamke hayupo romantic, yawezekana ni mshamba wa mapenzi au ni mtoto wa single maza au hakufundwa namna ya kuishi na mume au wanafundishana upuuzi na wanawake wenzake, tena ukute na yeye anamiliki vijicent, mbona utajuta kumuoa.
 
Kweli mkuu,hili nimeligundua hivi majuzi,ukweni ukiwa huna hela wanakuita mbanizi,mbinafsi,sikuhizi hueleweki,umepunguza upendo,tofauti nakwenu wanakuelewa kabisa Kua mwanetu sahiz maji yamezidi unga,kiufupi ukweni tenda kadiri ya unavyoweza Tu usitende kuwafirqhisha in such away Kua ukikosa utaeleweka,siku ukikosa utagundua Kua hata kujielezea Napo unaona tabu,
 
Mwaga Pesa hapo msibani.

Umeenda kimasikini.
 
Kafiwa na babu we ulienda kufanya nn...siku 3 bila kuoga msiba wa babu yake wife? Akifiwa na baba ake si ndo utakaa mpaka waanue matanga? Kweli mwanaume usipokuwa mwanaume unaliwa na wanaume.

Kama kulikuwa na ulazima wa kwenda basi angefika usiku wa msiba alafu kesho yake wanazika.

Sio mwanaume unaenda siku tatu kabla huku ukijua hutapika, huna pesa za kuendeshwa shughuli. Hapo unachokitafuta na migogoro isiyo na maana.

Fika siku ya mazishi au siku moja kabla ya mazishi. Ondoka Asubuhi baada ya kuzika.
 
Alichemka
 
Usiache mrejesho kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…