Tukubali tukatae, mtu kuwa na Tattoo ni kielelezo cha malezi mabovu

Dada kiatu chako kigumu kukivaa 😁😁🤭🤭

Sasa hapo hasira zipo kwa mchepuko na kwa mume wa mchepuko.

Unaonaje ukichora tattoo huenda mumeo ndo kilichomvutia na ndo kinachomkenulisha mume wake.
Pole km na ww una tatoo..

Kajaribu kuifuta... Mnaonekana cyo
 
Mimi binafsi siwezi kujichora ila siwezi hukumu mtu aliyejichora tattoos Kila mtu afanye linalo mpendeza machoni mwake na kumfurahisha ndani ya nafsi yake kama tu alita athiri wengine kimwili, na kiakili
Mim pia haitotokea kuja kujichora. nijambo lakipumbavu sna mtu kuhukumiwa kwakujichora tattoos, Niubaguzi wakipuuzi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Pole km na ww una tatoo..

Kajaribu kuifuta... Mnaonekana cyo
Sina tattoo sababu tu ni muoga wa maumivu.

Ila napenda kuangalia tattoo mbali mbali its a work of art.

And what people decide to do on their bodies has nothing to do with me. So I cannot be judgemental.

A tat does not make you a whore, or barbaric.
 
Nina swali kwako

Kwa nn watu hawachori tattoo kwa kuogopa kupoteza kazi kama uliyosema.
 
I donr know...ila nimelelewa vizuri ru sema i have tattoo kwa mapenzi yangu hata wazazi wangu hawahusiki
 
Siwezi kuchora tatoo kwasababu mimi ni blood donor [emoji119][emoji119]. Pia namshangaa sana mtu anaechora tatoo kwasababu huwa naamini wana matatizo ya afya ya akili au wanatabia ambazo zinaukakasi.

Wewe ndiyo mwenye matatizo ya akir
 
wale wamakonde kule msumbjii watajuwa watu hovyo kabisa
 
wale wamakonde kule msumbjii watakuwa watu hovyo kabisa
 
Siku niliyotaka kujichora Tattoo,
Nilienda mpaka kwa mchoraji, alikuwa na mtu anamchora, ilibidi nisubiri amalizwe ili zamu yangu ifike. Na ilipofika zamu yangu nikiwa tayari kuanza kuchorwa umeme ulikatika, Nilisubiri sana na haukurudi na ndio ilikuwa mwisho wa maamuzi yangu ya kujichora tattoo.
 
Naomba kujua tattoo ukiichora haiwezi futika?
Kwakweli kati na vitu nisivyopenda hii makitu.

Kuna kaka mmoja ana tatoo mkononi sasa nawaza aliichora enzi za ujana, sasa ana ofisi na wafanya kazi yeye ndo boss, sasa ili uheshimike lazima wewe uwe mfano.

Mimi nilijiuliza kwa nini anavaa mikono mirefu tu ndo siku moja nikamuona kavalia tishet ndo nikaiona. Alistuka sana nikaona akivuta ile tisheti kuifunika tatoo ile.

Sasa najiuliza kwa nini apate shida? Si aifute tu? Sijapata nafasi ya kumuuliza ila nikipata nafasi siku nyingine nitamuuliza maana dah kwa nafasi yake nafasi yake ni aibu kuwa na ule mchoro mkononi.

Vip wakuu hii kitu haifutiki?
 
Kwani hazifutiki? Si angefuta ndo akaja kwako?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee pole mkuu, hivi una mchoraje binadamu mwenzako mwilini, huko sikuchafua nafsi yako bure na kuchafua mwili?
Ila huyo dada hana akili
 
Watu wengi? Wangapi?

Watu wengi? Wangapi?

Punguza kuongea kitu usichokijua, unaongea kwa mihemko tu.

Mapepo unayajua? Au sababu umekutana na vichaa wavuta bangi uko mtaani Basi unadhani Kila mchora tattoo yupo hivyo?
Huu mtazamo wangu na watu ninaowafahamu, so heshimu nilichoandika mwisho wa siku kila mtu na mtazamo wake so usikasirike life ni fupi in Mario's voice
 
28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana.
Mambo ya Walawi 19:28
 
Mapepo mbona hata wanaume wanayo Mimi nasemea wachora tattoo wengine wameharibikiwa mfano kina wema, gigy money wote wale sio wazima, ngoja siku wafute hizo tattoo watarudi kwenye utimamu wao, pia wengine huwa na matatizo na hushauriwa kufuta hizo tattoo, pia usisahau maskini wengi hudondoshwa na mapepo church jiulize ni kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…