Tukumbuke kisa hiki cha msanii Noorah na Fiesta

hivi hata unaelewa unachokiandika mkuu?
 
huu ndio ukweli nilioandika tangu jana na jamaa anabisha hadi leo

sandra alikuwa hataki kupelekwa kwao sababu kwao walikuwa wanajua yupo shule kenya kumbe yeye katoroka kaja kula bata bongo..

bora na nyie mnaoujua ukweli mnisaidie maana jamaa kakomaa tangu jana

wewe umesaidia sana maana umeandika hadi ni show gani alikuwa ametoka kufanya
 
Nimeanzisha Uzi huu mmejaa kujifanya mnamjua Sandra sijui....

Alikuwa anasoma Kenya Mara ya kwanza umeandika. ...

Mara Uganda sijui.....

HaMtaki kusema ilikuwa show ya nini,wap na kwanini. ...

Mmeanza kumdharirisha alikuwa kalewa. ...katolosha mwanafunzi....

Namambo mengine ili Malik aendelee kuumia
 
Nachojua jamaa alikuwa kazin.Nakazi Yake ilikuwa kutumbuiza Jukwaa la fiesta...
Mambo mengine usipotoshe umma...
Sasa ebu eleza,alipata ajali akiwa kazini au alishatoka kazini ?
kama alipata ajali akiwa jukwaani kweli libidi clouds wamlipe lakini kama alipata ajali akiwa nje ya jukwaa na nje ya show hapo hapati kitu
 
Mbona unabisha sana ?

Ukileta mada kubali positive na negative comments
 
Negative zinataka zifunike kombe mwanaharamu apite

Mkuu labda wewe ndo uko sahihi, tukuombe basi utoe ufafanuzi jinsi ajali ilivyotokea ili tuweze kuiunganisha na Fiesta, maana umeandika general ndo maana umewapa watu nafasi ya kujazia mambo yao.
 
Ah ah Babu tale bana anajibu kama vile yupo instagram tatizo kubwa la wasafi mwenye akili na mastermind amebaki kusaga tu the don ..mliobaki mnajua fitna na vijembe tu ukasahau hii ni forum ya great thinker kama huamini jiulize kwanini sheria mbaya zote bungeni zinafumuliwa humu..kajipange
Negative zinataka zifunike kombe mwanaharamu apite
 
Inamaana Unapingana na Muhusika...
Chanzo changu ni Muhusika wewe umehadithiwa...
MBONA hutaki kusema ilikuwa show ya nini?
Ilifanyika wap?
Msipende kuwa mawakala wa Shetani.....
Mkuu muhusika kakuhadithia alipata ajali katika mazingira gani??nini kilikuwa chanzo cha ajali??Alipata ajali akiwa na nani???naomba nijibu hayo maswali
 
jamaa alishindwa hata kuelewa kuwa alikuwa anasemwa yeye akahisi anasifiwa
 
Mkuu labda wewe ndo uko sahihi, tukuombe basi utoe ufafanuzi jinsi ajali ilivyotokea ili tuweze kuiunganisha na Fiesta, maana umeandika general ndo maana umewapa watu nafasi ya kujazia mambo yao.

noorah alipata ajali mbuyuni pale njia ya oysterbay akiwa na rav 4 sasa jiulize fiesta imeingiaje
 
Sasa ebu eleza,alipata ajali akiwa kazini au alishatoka kazini ?
kama alipata ajali akiwa jukwaani kweli libidi clouds wamlipe lakini kama alipata ajali akiwa nje ya jukwaa na nje ya show hapo hapati kitu
ajali alipatia mbuyuni akiwa na private car alafu oanisha na maneno ya mleta mada ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Huyo jamaa babu tale bila shaka atakuwa ni wa kabila la waha tu,maana siyo kwa ubishi huo.
Ndg zangu wa kabila la waha naomba mnisamehe
 
noorah alipata ajali mbuyuni pale njia ya oysterbay akiwa na rav 4 sasa jiulize fiesta imeingiaje

Ndiyo maana tunamwomba jamaa aelezee tukio lilivyotokea, kwa sababu hata kama Fiesta ingekuwa wasanii wana bima bado utatakiwa kutoa maelezo ya tukio ili kuweza kufanya linkage ya ajali na bima husika.
 
Mpuuzi ashaleta Wasafi huku.....
Nakwafukra zenu mtaendelea kutumika ila mwisho mtamwagwa.....
Oneni aibu kutumika kufumba ukweli uliowazi ....
SIKU yakiwasibu sijui nini mtajibu
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…