Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,668
- 3,751
Hahaaa RB ulisikie linanukia uwe mfuko upo tofauti halafu unapiga UE pale Manzese. Unaiona supplementary hii hapaAsee RB, sisi tumekuta inauzwa 900/-
Shuttle pori ilikuwa muhimu sana. Lakini mtaani Msewe ilikuwa bata zaidi baada ya watu kuhamia mtaani mwaka wa pili.
Ila UDSM wanakula vichwa sana ase sitoisahau😂😂
Honours hawangalii sup, muhimu ku-maintain GPA au iwe ikipanda kila mwaka.Hahah ulitisha sana Mkuu.
Itakuwa haukuwahi kupata sup ndio honours.
Mimi bhana sikuwahi pata 3.0 GPA kubwa nlipata 2.7 semester ya kwanza, na nilipata A na B+ moja tu baada ya hapo sikuwahi kuona A wala B+.
3.1, 2.9 then 3.0Honours hawangalii sup, muhimu ku-maintain GPA au iwe ikipanda kila mwaka.
Itakuwa...3.1, 2.9 then 3.0
overall 3.0 with honours
Mbona sion km imepanda may be ku-mantain
Really..why so?Embu unipigishe ngeli kimtindo ase maana inanipiga knock out mno.
ahaa,kule juuDah apumzike kwa amani!
Nikuwa mitaa ya kwa Mzee Lyimo pale (ni eneo dogo lakini vyumba kama 200 hivi) karibu na Golani.
Nlikaa block D miaka yote tulikuwa rukichungulia madem block B au C sikumbuki vizuri walikuwa wajinga kinyama wakifika wanafungua madirisha wanalala uchi kabisa na walijua huwa tunawaangalia walitufanyia makusudiBlock D 2006 tujuane.
Nilikuwa na kadem ka sociology kalikua kanakaa Block A.
Basi ulikuwa mwendo wa kuchedana tu.
Popote ulipo Rose B, mueleze ukweli mumeo Mimi memento ni nani
Sure.Mwaka gan ulikaa msewe, may be tulikua generation Moja...
Aah wewe ulikuwa mkali mz, mimi somo nilikuwa nalikubali ni ile CT mia na ngapi sijui (Computer) na ndio nilifaulu hiyo na kozi nyingine mojawapo. Baada ya hapo ikawa ni makarai, D na E za kutosha.Mkuu ulikua unasoma course gani mpaka uka-disco....
Mkuu mi sikua nasoma course ngumu, nilikua nasoma education so nadhan sikua poa tu kishule... Advance nilipga one ya hgl na chuo nikawa nasoma English language but still Cl nilipata B plain Ile kwa kukaza sana, lecture naelewa ikija Pepa chari
Hahah nilisahau hili chimbo ase umenikumbusha Manzese😀Hahaaa RB ulisikie linanukia uwe mfuko upo tofauti halafu unapiga UE pale Manzese. Unaiona supplementary hii hapa
Nimekumbuka mbali mnooo
Nimekupata vema Mkuu.Honours hawangalii sup, muhimu ku-maintain GPA au iwe ikipanda kila mwaka.
Pengine ni mazingira yetu.Really..why so?
Mitaa ile palikuwa pa kibabe sana lakini maisha yalikuwa cheap na changanyikeni sana mtaani, nikuwa napenda sana kitu hicho.ahaa,kule juu
Boom likichelea, pass ndefu ikakolea hata wewe ungeandikaHivi yale matusi kule vyooni main camp ni nani alikuwa anaandika?
Honours hawapewi wote, pengine wana kigezo cha ziada. Sup haihusiki kabisa.Nimekupata vema Mkuu.
Though kwa kesi ya mwamba umeona mwaka wa kwanza 3.1, wa pili 2.9 na wa mwisho 3.0 hapo honours wameichukua vp?
Ama sivyo itakuwa huwekwa kwa watu wote.
Watu wote niliokutana nao wana honours.Honours hawapewi wote, pengine wana kigezo cha ziada. Sup haihusiki kabisa.
Basi ni vipanga.Watu wote niliokutana nao wana honours.
Cl tulifundishwa na jamaa anaitwa ndoloi kama sijakosea alikuwa anaulambia[emoji1787] kadegje aliwahi kutuambia pale yombo kwenye ue kwamba ana shuttle 2 za kukamata . Fikiria hapo bado hamjafanya huo mtihani wa Communication skills