Tukutane hapa ambao ndoa zao zimekufa ila tumebaki kulea tu watoto

Hakuna kazi ngumu kama kukaa na mtu,ila kuwa na mke au mume mmegandana 24/7 is even worse.Imagine mtu mnakaa hadi mnafanana,mmezoeana kiasi ambacho he/she is not special anymore.
Mnalala pamoja mnaamka pamoja,usiku mnapumuliana,Asubuhi ni kero harufu za midomo,wakati mchepuko nje mnapokutana full time ananukia,Unadhani nani anapenda kuchagua keroo?
 
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.

Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.

Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
1 Wakorintho 7:1-2 "Na sasa kuhusu mambo mliyoniandikia. Ni vizuri mtu asioe. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe".Mtume Paul aliliona hili miaka mingi sana iliopita....
 
Asipoandika mtandaoni, kifua kitajaa hasira ndio utasikia "amemuua mtoto wa watu"
 
Kuna mwanangu wale waliokuzwa seminary ila ndio wakachemka,alioa kama miaka mitano iliyopita, mwana kipindi tupo chuo alikuwa ni mtu wa ibada na uzuri alikuwa kichwa darasani.

Sasa juzi kati tukawa tunapiga story, akawa ananiambia husijaribu kuoa mke kisa tu anahela au kazi nzuri, nikamuuliza sababu ni nini?

Mwana akawa anabaki anasonya huku, akisindikiza na "wee acha tu mwanangu ".Hakutaka kuniambia ila anayo yapitia na mke wake nahisi ni magumu sana na ukizingatia wanafanya kazi mikoa tofauti.
 
Mama shikamoo , naomba unisamehe mimi , vipi una binti hapo kwako? Nitajitahidi kuwa kama ulivyosema [emoji3]

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Zingatia uwepo wa baba maishani mwa wanao ni muhimu kuliko tunavyofikiria. Pamoja na vuguvugu la ugomvi/mivutano na mwenza wako, fanya kila uwezalo kutopuuza jukumu hilo.
Kumbuka pia baba anaweza kufa mapema kwa pressure kutokana na gubu la mama, hivyo still watoto wakakosa paternal care
 
Umeongea kiume sana
 
Sasa kama unanyanduliwa chumba cha pili na mpangaji mwenzangu hlo nikabiliane nalo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…