Tukutane hapa ambao ndoa zao zimekufa ila tumebaki kulea tu watoto

Duh!.. uliingia kwenye mahusiano na mke wa mtu nini ?
 
Ahsante Sana kwa muongozo wako mkuu
 
FEAR WOMEN
 
LONG DISTANCE HAIJAWAHI KUIACHA NDOA SALAMA
 
You nailed
You nailed it.....
 
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.

Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.

Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Pengine ulikosea kuoa, tupo kwenye ndoa na maisha ni ya furaha, changamoto zipo lakini tunakaa tunaelewana tunatatua changamoto

Kama upo kwenye ndoa halafu imebaki kulea watoti tu basi kuna shida kubwa mahali
 
Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Ndoa zinachangia sana wanaume kufa mapema! Hii hali ya kufa na tai shingoni inatuletea kupanda kwa sukari, presha n.k!

Mbaya zaidi wanawake ni walewale na tabia ni zilezile! Huo mchepuko ukiuweka ndani, utamkumbuka uliyemuacha awali!

Huyo ni chaguo lako!!!!!!!
 
Daah jamaa kabla ya kuingia kwenye ndoa kuna assignment uliiruka au uliifanya kwa emotions. Unaonekana ulitumia nguvu sana kuforce upendo kabla ukadhani mbeleni mambo yatabadilika anyway don't regret life is full of mistakes na wahanga wakubwa wa mahusiano ni wanaume Wapole au waliojitunza sana kwenye makuzi wanakua easily trapped na wanawake vichomi wanaotamani sherehe ya ndoa wala sio mambo ya ndoani.
 
Honestly Taasisi ya ndoa Kama imefika mwisho wengi tumebaki kulea watoto tu katika ndoa zetu.

Maneno tunayotamkiana ni zaidi ya Vita.

Guyz things are not easy. Kukaa alone ni Bora Sana kwa zama hizi.
Kama huna imani ,utatamani kuishi unavyowaza ila kama unaamini uwepo wa Mungu familia ni sehemu ya baraka na mafanikio yako katika yote uyafanyayo🤔.
 
Hili suala nashangaa sasa mke na mume kufanya kazi mikoa tofauti... ukija kweny uhalisia hakuna ndoa hapa na kama wanatak ndoa basi mke amfuate mumewe.

Wanawake wa sasa hawawezi kuacha kazi kisa mume.
 
Aaahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…