Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Ah ah hii inankumbusha tukio la vibaka kumdandia jamaa yetu mmoja hivi,walikua 4 washamtaitisha vizuri tu,full loba mbao cha ajabu jamaa kadinda (kasmamisha) mwanzo mwsho anawaambia endeleeni tu ila kesho usiku naanza na mmoja mmoja.
Wakaona iswe tabu wakamuacha salama na vitu vyake vyote

Sent using Brain
 
Ilikuwa mwaka 2015 tuko na washkaji tunapiga mitungi ndani ya Pub moja ndogo hivi Jijini Dar es Salaam.Tungi ilikuwa imekolea haswa na watoto wakali pembeni bas ilikuwa hakuna mwenye muda.

Mida ya kama saa tano hivi kama mnavyojua mambo ya tungi nikawa nimetoka kushusha mafuta kidogo,ile narudi sasa nikakumbana na sauti ya ukali"oyaah kaa chini ms**nge" wajomba walikuwa wameshavamia.Raia wote walikuwa wako chini pale ndani huku anapita mmoja moja mbele anasaula kila alichonacho.

Kwa kuwa nilikuwa tungi sikuweza kung'amua kwa haraka kuwa lilikuwa ni tukio la Kijambazi,nikamjibu "mkalishe chini bibi yako ms**nge wewe"
Jamaa bila kusita alinivamia kwa speed ya supersonic na kunitandika na kitako cha bunduki kichwani paaah huku akiniacha nikianguka chini na kuvuja damu.Nimekuja kushtuka nipo hospital wanafanya harakati ili niweze kushwona.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechekaaaaaaa!
 
Polisi wetu wakifyatua lazima mtu afe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ninja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mlinzi akawa jambazi ghafura[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini matukio ya kuvamiwa bar ni mengi? Na Kwa nini Bar na sio mgahawani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…