PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,288
- 17,333
Wewe kwa nukuu zako hao s majambaz ni vibaka mkuu unawajua majambazi mkuu au unawasikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tandika temeke nimekabwa sana miaka ya 2009 mpaka wakasema mwacheni huyu wa jana
daaaaah noma sana.... wale jamaa walikamatwa ila kesi yao haijawahi sikika nahisi kuna adhabu ya nyuma ya pazia ilitendeka [emoji23]Ule ulikuwaga mchongo braza na waliohusika sina hakika kama wapo uraiani
Adrenaline...pactUmeona eeh, kuna energy flani inakuja automatically wakati wa Hatari unashangaa umefanya vitu ambavo kwa kawaida ungehisi ni Impossible kufanya ili kujiokoa
Kati ya waliokamatwa mmoja wao ni mzee wao na wanangu fulan hividaaaaah noma sana.... wale jamaa walikamatwa ila kesi yao haijawahi sikika nahisi kuna adhabu ya nyuma ya pazia ilitendeka [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha nimcheka hapo eti ingieni tuwaonyeshe kazi mnadhan tunakaa kiboyaboya tuKuna mdogo wangu pamoja na rafiki yake wallikua anakaa kwenye nyumba ya bro ilikua nyumba mpya. Usiku wa manane jamaa wa mapanga shaa wakaanza kuvunja mlango. Basi madogo kushtuka usingizini wakaanza kupiga kelele kuita majirani wakidhani majamaa yatakimbia. Cha ajabu majamaa hayaongei chochote yanaendelea tu kuvunja kimya kimya tena bila story. Madogo kuona makelele hayasaidii wakabadili style wakaanza kuchimba biti na kutukana matusi ya nguoni...'waseng nyie ingieni tuwaonyeshe kazi, mnadhan sisi tunakaa kiboya humu..ingieni tuwafumue ubongo'. Wale majamaa wala wao hawaongei wanaendelea tu kuvunja bila story na mtu. Madogo mle ndani wakaona hawa jamaa mbona hawatishiki...ikabidi waanze kupiga maombi na kukemea pepo kwa sauti kuu na wakinena kwa lugha. Basi yale majamaa yakafanikiwa kuvunja yakaingia...yakawanasa vibao afu yakasepa na vitu kidogo na simu maana nyumba haikuwa na kitu na madogo walikua wanaenda tu kulala..
Huko SA kuna utu wowote uliobaki?Naona hapa wengi wamekutana na vibaka tu Ila sio majambazi.Leo nimekutana na majambazi hapa Johannesburg South Africa kwa mara ya kwanza katika maisha yangu.
Nimetoka Eastgate mall mida ya saa moja hivi nikaona ubahili kukodi Uber nikatembea kwenda home . Nimevuka mataa kuna gari (salon) imesimama baada ya taa nyekundu kuwaka ,mara kuna salon nyingine ikaja ikaizuia gari ya kwanza halafu watu watatu wakashuka na bunduki AK-47 kama sikosei.
Nilipigwa na butwaa halafu jamaa akaenda mlango wa nyuma wa upande wa abiria ,ile anafika tu kapigwa risasi akaanguka ,wale wawili waliobaki wakaanza kumimina risasi nyingi.Jamaa akajibu mwingine tena akaanguka chini.Muda huo nimekimbia kidogo halafu nimelala chini,najiburuza kama Rambo vile, jamaa wa tatu aliyekua amebaki akaenda kujificha nyuma ya gari huku wakiendelea kurushiana risasi na jamaa wa kwenye gari
Nimejiburuta umbali mrefu kweli nikainuka huku nikipiga mbio nyingi sana kwenda home.Risasi zisikie tu kwenye movie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sauzi Kuna wizi Sana wa magari, ngoja nitakuwekea link ya videoNaona hapa wengi wamekutana na vibaka tu Ila sio majambazi.Leo nimekutana na majambazi hapa Johannesburg South Africa kwa mara ya kwanza katika maisha yangu.
Nimetoka Eastgate mall mida ya saa moja hivi nikaona ubahili kukodi Uber nikatembea kwenda home . Nimevuka mataa kuna gari (salon) imesimama baada ya taa nyekundu kuwaka ,mara kuna salon nyingine ikaja ikaizuia gari ya kwanza halafu watu watatu wakashuka na bunduki AK-47 kama sikosei.
Nilipigwa na butwaa halafu jamaa akaenda mlango wa nyuma wa upande wa abiria ,ile anafika tu kapigwa risasi akaanguka ,wale wawili waliobaki wakaanza kumimina risasi nyingi.Jamaa akajibu mwingine tena akaanguka chini.Muda huo nimekimbia kidogo halafu nimelala chini,najiburuza kama Rambo vile, jamaa wa tatu aliyekua amebaki akaenda kujificha nyuma ya gari huku wakiendelea kurushiana risasi na jamaa wa kwenye gari
Nimejiburuta umbali mrefu kweli nikainuka huku nikipiga mbio nyingi sana kwenda home.Risasi zisikie tu kwenye movie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama wale jamaa walitaka kuiba gari,kiongozi wao alienda siti ya nyuma akakutana na moto.Labda walitaka kuiba hela au hitmen etc .
Labda jamaa ako anaconnection na hao watu, Kwanini ajiamini hivyo..Mwaka fulani nimetoka mbeya na Mr saa saba za usiku, Kufika maeneo fulani karibu na morogoro kuna kona fulani hivi ya kishkaji, sijui Mr alikua na nini kichwani hakuangalia mita kadhaa mbele, mi nimelala zangu nakula usingizi kwa raha zangu, gafla nikahisi kama gari imepaki gafla, nikasikia ananiambia amka amka! Kufungua macho naona malori mawili yamepaki pembeni ya njia mbele ya malori kuna gari dogo nayo imepaki halafu kuna bongee la gogo katikati ya barabarani Mr akanambia kuna tukio la utekaji hapa either linaendelea ama kimeisha muda si mrefu,Salaleee usingizi ulinitoka wote, nikakwambia Mr turudi tulikotoka akanambia No, kwenye matukio kama Haya huwa haturudi nyuma. Nilipaniki nusu nimnase kibao nikamwambia sa tusirudi nyuma tubaki hapa watushike na sisi? Akasema anavoona yeye lile tukio limeshaisha na wenye magari haya either wamepaniki wamekimbilia vichakani ama watekaji wamewachukua wameondoka nao... nililoa jasho hadi pichu, mi kwa akili yangu nilikua nafikiri wamewakusanya wenye magari wako nao mahala wanatuangalia na watajitokeza sio muda kutuchua na sisi Ndio maana nilikua namsisitiza Mr turudi tulikotoka ye anamsisitiza hakuna kurudi . Akanambia ye anashuka ajaribu kutoa gogo tupate pakupenya, hivo mi nishike wheel ikitokea wakajitokeza wakamkamata mi nirudishe gari reverse vyovyote vile bora nipate ajali ila wasinikamate nikiwa mzima anasisitiza maana wanaweza kunibaka. Haya mabishano yote yalifanyika kwa dakika kadhaa... mwisho kishingo upande nikamkubalia ashuke. Akashuka nikakamata usukani, nikafunga belt nikajiandaa huku natetemeka hakuna mfano. Ile ameshuka tu akakamata gogo naona ni zitooo hata haliwezi akatokea kijana porini amepigwa vibaya sana kumbe alikua mmoja wa madereva waliotekwa, kidogo wengine wakajitokeza wakawa wanaelezana kilichotokea, mwisho wakakubaliana watembee kwa kuongozana hadi wakutane na Barrie ya mapolisi watoe taarifa. Wale madereva na makonda wao walikuwa wamepigwa sana wanavuja tu damu, nakumbuka mmoja sikio la kulia lilikua limelegea kama linataka kudondoka na kwa wakati huo niliona kama hasens chochote zaidi ya kuona tu midamu inamvuja. Basi ndo hivo tukaondoka kwa kuongozana tulifika Barrie ya polisi karibu kabisa na moro tukawaacha sie tukasepa zetu, tumbo liliniuma siku hiyo sitasahau sijui ni sababu ya uoga.
we ni jilani yangu,bila kusahau ile ya mabatini,mangi alichezwa na machele,Dah nimekumbuka mbali sana teh teh teh teh teh,.. Kwa wale wa kazi wa mwanza kama mnakumbuka, kuna kipindi flani majambazi walikua wanavamia mida ya Jioni Jioni, tena walikua wanafunga center nzima wanaingia duka Kwa duka,
Siku Hiyo niko maeneo ya nyambiti Hapo napata uji Kwa Maza mmoja maarufu sana Hapo, ilipigwa chuma juu Daah Sikumbuki vizuri, hila nilijikuta home Na kikombe cha uji,..
Hila wanadai wale majambazi walikua wanalipa kisasi, maana walikua wanaingia dukani hawachukui Chochote hila wanachanganya mafuta ya kula na ya taa,...unga wa mihogo wanachanganya Na sembe..
Sio kwamba wale walikuwa washafanya yao sasa wakawa wanarudi, na pengine maza nae labda aliibiwa humo humo na vibaka wengine.Duh sasa walipata faida gn kuiba simu ya elfu 70? Hivi yule Mama angekubali ile laki 1 inamaana wangemuachia au wangempora? [emoji51]
Sema yule maza atakuwa alijilaum kukosa vyote simu na hela, bora ht angechukua hela ya kaka jambazi akapata simu ingine.Ooh nishaelewa [emoji23] ila wana vituko wanafanya Mishe zao then wanajikausha na kupanda Daladala, si haba hawakumjeruhi mtu humo kwenye basi.
Tandika walikua na hii tabia sana[emoji23] mtu unashikwa bega unaambiwa dada zile simpo utanipa sh ngapiAisee duniani watu wanapitia mengi sana poleni binafsi sijawai kukutwa na wezi except niliwahi pigwa sijui ngumi or kofi la uso baranarani lililonisababisha nikae chini huku naona nyota maskio naskia miluzi akili iliporudi nilikua nimeibiwa simu sitasahau maumivu ya uso maana mkono wa kibaka ulijichora surani siku mbili
Sema yule maza atakuwa alijilaum kukosa vyote simu na hela, bora ht angechukua hela ya kaka jambazi akapata simu ingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwenyekiti naona umepata member mwenzio kwenye visanga!!..Nakumbuka nyuzi zako za vipigo ulivyochezea kwenye harakati zako!..Mimi nacheka hapo ati umekutana nao chochoro ukaona upite katikati yao.
Ulikua unawaza nini? Wakuogope au?