Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

Uzi mzuri Sana nimepitia na kujifunza mengi.... Dunia tunapita ila kuna changamoto nyiiingi sana ambazo wanadamu hukumbana nazo njia pekee ni kumkabidhi Mungu maisha yetu maana watu hawatabiriki..
 
Najaribu kuangalia mazingira unaishi na mama pamoja na anko. Kwani baba alikuwa wapi?
 
Born town.👍👊🤛🤜👏
 
Kwa upande wangu ule uzi wa matukio ya ujambazi aiseeh ni uzi wangu bora hadi hii leo.

Watu waliandika matukio yaliyowakuta unasoma hadi inatisha, duh.

 
Technology siku hizi ndo imefanya KAZI ya ujambazi kukosa KAZI.
Hawateki tena mabus,
Hawavamii majumbani tena.
 
Jamaa etu wa kuitwa ndanzi miaka ya 2000 mwanzoni sana wana waliingia kwenye kiosk chake wakamlamba shaba taya la chini likalegea wakafunga na waya.

Ni hayo tu kwa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…