Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Na renta umepiga kabisa au bado? Ila kama renta umepiga basi usijali kamanda hapo siku uchumi ukiwa vizuri utakamilisha maana utakuwa unafikiria jambo moja la kueezeka ambalo ndo gumu kwa upande wangu kuliko yote kwani zamani walikuwa wananunua mabati kidogo kidogo wanaweka ndani lakini zama hizi unatakiwa kununua yote hasa haya ya rangi.
Kwahiyo komaa kutafuta ela za kukamilisha mahitaji ya msingi ya familia kujenga kupo tu yaani ukikamilisha mambo madogo madogo ya familia ipo siku utaona kuna hela mkononi inabaki ndo hapo unaanza kufikiria kurudi kwenye ujenzi