Uchaguzi 2020 Tulia Ackson afunika Mbeya mjini, Sugu apagawa

Masikini anajiabisha kwa wana mbeya, alianza na kubeba jeneza, sasa kaingia na kucheza bongofleva!
Tulia Akson anaendelea kusaka kura kwa kila hali na mali.
 
Go Tulia. Wanawake tunaweza. Phd holder vs Ordinary level certificate.
Ila kwenye siasa Elimu ya mkoloni ni useless. Kama PhD holder anajidhalilisha namna hiyo kisa ubunge.
Umempamba na mwisho ukamchapa za shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…