Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Ni wale / yule tu ndiyo hakufahamu umuhimu, alitaka kutuma malaika kuziba midomo ya mitandao ikiwemo kesi kibao dhidi ya JF.
 
Wewe Jamaa ni Mnafiki halafu unajua kweli kweli Kumsanifu Mtu na akakuamini. Nimecheka sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Uzi umeunganishwa, nilicomment wakati haujaunganishwa ilikuwa OP ni Pascal
 
Duh! Kumbe vigogo wakubwa huwa wanapitia habari humu, kuna neno moja nililitumia kuandika humu nimelisikia kwa kigogo mmoja bungeni naye akilitumia katika kuchangia mchango wake bungeni. Kama wazito wapo humu wanatusoma basi uandishi wetu uwe wa maana na wenye tija kwa taifa
Hilo ni neno lipi ulilowahi kuliandika?
 
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi.

Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama waandishi hawajanyimwa taarifa.

 
Hakika JF inazidi kupaa!

Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Woow
 
Hakika JF inazidi kupaa!

Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Kama ajali vile, nilikuwa kwa kioo; kwa jinsi alivyosema ni kana kwamba JF na Mwananchi wanaongoza kwa habari za uzushi
 
Kumbe hadi viongozi wakuu wananisomaaa,
Bas JF idumu milele. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Naona kila mtu anajinasibu kuwa aliona reactin/response ya mama wakati anapokea ripoti ya CAG. Wanasema mama hajafurahishwa na ufujaji wa fedha za umma kwa hiyo ngoma ipelekwe bungeni ijadiliwe wahusika wale kibano. Kwa hiyo bunge sasa litakuwa linatumbua lenyewe wabadhirifu tofauti na tulivyozoea kuona kwenye awamu ile ya wakati ule wa utumbuaji papo kwa papo. Hii mbona itakuwa inachukua muda mrefu kwa mbadhirifu kuwajibishwa fasta? Any way hii ni style ya mama hataki lawama, mzigo ukabebwe na bunge kutumbua
 
Mimi dhumuni kubwa kwangu kununua bando nikusoma Huku tangu kabila sijawa member miye ndiyo sehemu ya starehe yangu na nakuwa na uhakika kulingana na comments za wadau I'm proudly to be members
 
Back
Top Bottom