Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wewe Jamaa ni Mnafiki halafu unajua kweli kweli Kumsanifu Mtu na akakuamini. Nimecheka sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mpwayungu village ndo yupi!!?
Hilo ni neno lipi ulilowahi kuliandika?Duh! Kumbe vigogo wakubwa huwa wanapitia habari humu, kuna neno moja nililitumia kuandika humu nimelisikia kwa kigogo mmoja bungeni naye akilitumia katika kuchangia mchango wake bungeni. Kama wazito wapo humu wanatusoma basi uandishi wetu uwe wa maana na wenye tija kwa taifa
nilitegemea nikuone kwenye huu uzi, na nisingekuona ningeshangaa sana,Wewe Jamaa ni Mnafiki halafu unajua kweli kweli Kumsanifu Mtu na akakuamini. Nimecheka sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama bosi wake anapita humu yeye ni nani asipite,na ule uzi wetu pendwa wa kula tunda kimasihara??
Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi.
Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama waandishi hawajanyimwa taarifa.
WoowHakika JF inazidi kupaa!
Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Kama ajali vile, nilikuwa kwa kioo; kwa jinsi alivyosema ni kana kwamba JF na Mwananchi wanaongoza kwa habari za uzushiHakika JF inazidi kupaa!
Alianza Rais Samia, kwenye kongamano la Chadema, akiitaja JF, na hivi leo nimemsikia mwenyewe Spika wa Bunge, Tulia Ackson, akiitaja JF, kuwa ndiyo kinara wa kutoa habari hapa nchini👏👏
Huyo jamaa atakuwa pacha wa Lucas M.
Utajuaje kama unachokiandika humu kina impact sehemu fulani, fuatilia utagundua ujumbe umefikaHilo ni neno lipi ulilowahi kuliandika?
Hongera sana wakili Paskali kwa kupokea bahasha nene.Pia natoa shukrani zangu kwa JF kutu recognizes baadhi yetu na kutupatia zawadi na bahasha nene ya chochote kitu!.
Thanks
Paskali