Nyie wapumbavu ndio waliwao.Siku ya Mwisho kila goti litapigwa
😁😁😁😁Nyie wapumbavu ndio waliwao.
Nani kakuambieni kiti cha IPU ni cha kudumu milelele.
Apigwa chini uspika wa IPU Inafanana kama wewe ni kidemu flani hakijui hata kanuni za kutumikia urais wa IPU wewe endelea na story za kina zuchu na wemq sepetuMambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Kama aligombea akubali kushindwaNyie wapumbavu ndio waliwao.
Nani kakuambieni kiti cha IPU ni cha kudumu milelele.
CCM walidhani ni cha kudumu.Nyie wapumbavu ndio waliwao.
Nani kakuambieni kiti cha IPU ni cha kudumu milelele.
Miti inatelezaSiku ya Mwisho kila goti litapigwa
HahahCCM walidhani ni cha kudumu.
Atajua mwenyeweAligombea?
Bi 2cry atulie tu.Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Huyo jamaa anapotosha kiongozi, kabla hujaingia mkenge jaribu kujiridhisha kwanza kama anasema ukweli. Sote tunawachukia CCM lakini kuna wakati tuandike ukweli na ndiyo maana wengi hulishwa matango pori na watu wa system sababu ni rahisi sana kulishwaSiku ya Mwisho kila goti litapigwa
Ndugu, acha kupotosha umma kwa taarifa zisizo sahihi. Mimi binafsi si shabiki wala 'fan' wa Dkt. Tulia Ackson, lakini kwenye ukweli na misingi ya weledi lazima tuseme ukweli uliopo. Dkt. Tulia hakugombea wala kupigwa chini kwenye uchaguzi wa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika Arusha tarehe 9 Oktoba 2026.Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
La maana kazi yake aliifanya vizuri. Anaongea vizuri lugha ya malkia tena kwa madaha. Wakenya mnaosema hatujui kiingereza, Tulia kawajibu.Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Shangwe ni shangwe tuHuyo jamaa anapotosha kiongozi, kabla hujaingia mkenge jaribu kujiridhisha kwanza kama anasema ukweli. Sote tunawachukia CCM lakini kuna wakati tuandike ukweli na ndiyo maana wengi hulishwa matango pori na watu wa system sababu ni rahisi sana kulishwa