Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

Ndugu, acha kupotosha umma kwa taarifa zisizo sahihi. Mimi binafsi si shabiki wala 'fan' wa Dkt. Tulia Ackson, lakini kwenye ukweli na misingi ya weledi lazima tuseme ukweli uliopo. Dkt. Tulia hakugombea wala kupigwa chini kwenye uchaguzi wa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika Arusha tarehe 9 Oktoba 2026.
Ukweli wa mambo kikatiba na kiutaratibu unathibitisha hilo:
  1. Ukomo wa Muhula wa Kikatiba: Sheria na Katiba ya IPU inatamka wazi kuwa Rais anahudumu muhula mmoja tu usiobadilika wa miaka mitatu. Dkt. Tulia alichaguliwa Oktoba 2023 kule Luanda, Angola na alikuwa anakamilisha muda wake wa kikatiba. Kisheria, jina lake halikuruhusiwa na wala lisingeweza kuwepo kwenye karatasi ya kura.
  2. Usimamizi wa Mchakato: Akiwa Rais anayeondoka madarakani, Dkt. Tulia ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa mkutano huo na kusimamia zoezi zima la uchaguzi hadi kumtangaza rasmi Spika wa Bunge la Australia, Milton Dick, kuwa mshindi kwa kura 182 (56%). Msimamizi wa uchaguzi hawezi kuwa mgombea aliyeshindwa.
  3. Wagombea Rasmi: Nafasi hiyo iliwaniwa na viongozi watatu pekee: Milton Dick (Australia), Sahiba Gafarova (Azerbaijan), na Rojo Edwards Silva (Chile). Hakukuwa na Mtanzania yeyote kwenye kinyang'anyiro hicho.
Kukamilisha kipindi cha uongozi kwa mujibu wa sheria na kukabidhi kijiti kwa amani ni utawala bora, siyo kushindwa.
Uchambuzi wa Kiweledi: Kwanini Upotoshaji Kama Huu Unatokea?
Kutokana na mtazamo wa kitaalamu wa mawasiliano ya umma na uchambuzi wa taarifa (Data & Misinformation Analysis), upotoshaji wa namna hii husukumwa na misingi ifuatayo:
  • Upungufu wa Ufahamu wa Kitaasisi (Institutional Literacy Deficit): Kuna pengo la uelewa kuhusu mifumo ya kisheria na ukomo wa madaraka (term limits) katika mashirika ya kimataifa. Kutofahamu kuwa kiongozi lazima aondoke kikatiba husababisha baadhi ya watu kutafsiri kila mabadiliko ya uongozi kama 'kushindwa' au 'kuondolewa kwa lazima.'
  • Uchochezi wa Mvuto wa Kidijitali (Engagement / Clout Baiting): Mitandao ya kidijitali huchochea usambazaji wa haraka wa maudhui yenye lugha ya dhihaka, ushabiki, na migogoro (sensationalism). Baadhi ya watu hutumia mbinu hii kuvutia usomaji na hisia za umma kwa kutunga hadithi za uongo za kushindwa kwa viongozi.
  • Mkingamo wa Utambuzi na Muunganiko Fikirika (Cognitive Bias & Narrative Conflation): Hali hii hutokea pale mtu anapochukua matukio mawili huru yasiyo na uhusiano wa kisheria na kuyachanganya makusudi ili kulazimisha simulizi inayokidhi hisia au mtazamo wake binafsi wa kisiasa, lengo likiwa ni kujenga picha ya kudhoofika kwa kiongozi husika.
Hivi Zungu vipi si walisems na yeye kachaguliwa au ilikuwa porojo
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Let’s be fair to the woman—we should put her retirement into its proper context:

🔹The IPU Presidency is a single mandate of three years.

🔹The retiring president is not eligible for re-election for three years.

🔹The successor must belong to a different parliament than the outgoing president.

🔹An endeavor is made to ensure regular rotation between different geopolitical groups.
 
Gentleman,
acha porojo, upotoshaji na kuwapiga kamba wadau wa JF kindezi hivyo.

Ukomo wa Urais wa IPU ni miaka mitatu tu, hakuna Rais wa IPU anaweza kuongoza zaidi ya miaka mitatu kwa mujibu wa sheria na kanuni za IPU. Dr Tulia Akson amemaliza kipindi chake cha urais wa IPU, na hawezi tena kugombea nafasi hiyo.

So,
ni uongo mtupu kwamba Dr.Tulia Akson kapigwa chini IPU, hali ya kua hakua mgombea. Na kwa taarifa yako, Dr Tulia Akson ndie ameongoza mchakato na kampeni ya kupata Rais mpya wa IPU.

So,
gentleman,
usirudie tena kuwadanganya wadau wa heshima wa Jf kwa uongo na porojo useless kama hizo.

Uwe unawadanganya wafuata mkumbo wenzako tu huko huko kwenye chama chenu, sawa gentleman?🐒
 
Let’s be fair to the woman—we should put her retirement into its proper context:

🔹The IPU Presidency is a single mandate of three years.

🔹The retiring president is not eligible for re-election for three years.

🔹The successor must belong to a different parliament than the outgoing president.

🔹An endeavor is made to ensure regular rotation between different geopolitical groups.
mtoa hoja ni muongo kupindukia,
amezoea kuwadanganya wanachama wenzake kwenye chama chake, akadhani anaweza kuwapiga kamba wadau wa heshima sana wa JF, ambao wanajua mambo kuliko zaidi yake 🐒
 
Ndugu, acha kupotosha umma kwa taarifa zisizo sahihi. Mimi binafsi si shabiki wala 'fan' wa Dkt. Tulia Ackson, lakini kwenye ukweli na misingi ya weledi lazima tuseme ukweli uliopo. Dkt. Tulia hakugombea wala kupigwa chini kwenye uchaguzi wa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika Arusha tarehe 9 Oktoba 2026.
Ukweli wa mambo kikatiba na kiutaratibu unathibitisha hilo:
  1. Ukomo wa Muhula wa Kikatiba: Sheria na Katiba ya IPU inatamka wazi kuwa Rais anahudumu muhula mmoja tu usiobadilika wa miaka mitatu. Dkt. Tulia alichaguliwa Oktoba 2023 kule Luanda, Angola na alikuwa anakamilisha muda wake wa kikatiba. Kisheria, jina lake halikuruhusiwa na wala lisingeweza kuwepo kwenye karatasi ya kura.
  2. Usimamizi wa Mchakato: Akiwa Rais anayeondoka madarakani, Dkt. Tulia ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa mkutano huo na kusimamia zoezi zima la uchaguzi hadi kumtangaza rasmi Spika wa Bunge la Australia, Milton Dick, kuwa mshindi kwa kura 182 (56%). Msimamizi wa uchaguzi hawezi kuwa mgombea aliyeshindwa.
  3. Wagombea Rasmi: Nafasi hiyo iliwaniwa na viongozi watatu pekee: Milton Dick (Australia), Sahiba Gafarova (Azerbaijan), na Rojo Edwards Silva (Chile). Hakukuwa na Mtanzania yeyote kwenye kinyang'anyiro hicho.
Kukamilisha kipindi cha uongozi kwa mujibu wa sheria na kukabidhi kijiti kwa amani ni utawala bora, siyo kushindwa.
Uchambuzi wa Kiweledi: Kwanini Upotoshaji Kama Huu Unatokea?
Kutokana na mtazamo wa kitaalamu wa mawasiliano ya umma na uchambuzi wa taarifa (Data & Misinformation Analysis), upotoshaji wa namna hii husukumwa na misingi ifuatayo:
  • Upungufu wa Ufahamu wa Kitaasisi (Institutional Literacy Deficit): Kuna pengo la uelewa kuhusu mifumo ya kisheria na ukomo wa madaraka (term limits) katika mashirika ya kimataifa. Kutofahamu kuwa kiongozi lazima aondoke kikatiba husababisha baadhi ya watu kutafsiri kila mabadiliko ya uongozi kama 'kushindwa' au 'kuondolewa kwa lazima.'
  • Uchochezi wa Mvuto wa Kidijitali (Engagement / Clout Baiting): Mitandao ya kidijitali huchochea usambazaji wa haraka wa maudhui yenye lugha ya dhihaka, ushabiki, na migogoro (sensationalism). Baadhi ya watu hutumia mbinu hii kuvutia usomaji na hisia za umma kwa kutunga hadithi za uongo za kushindwa kwa viongozi.
  • Mkingamo wa Utambuzi na Muunganiko Fikirika (Cognitive Bias & Narrative Conflation): Hali hii hutokea pale mtu anapochukua matukio mawili huru yasiyo na uhusiano wa kisheria na kuyachanganya makusudi ili kulazimisha simulizi inayokidhi hisia au mtazamo wake binafsi wa kisiasa, lengo likiwa ni kujenga picha ya kudhoofika kwa kiongozi husika.
Kajamaa kajinga sna ndio uelewa wa vijana wa chadema

USSR
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Mwoneni huyu msenge! Haoni ht aibu, eti ni mfuasi wa chadema wanaotegemea kuiondoa CCM madarakani, kwa hizi siasa za kishamba?! Ndiyo maana watanzania wamewapuuza. Tulia hakugombea uspika, alipigwa chini kivipi? Ubunge wa IPU muda wake wa miaka mitatu umeisha na hakugombea tena ingawa sijajua ht km inaruhusiwa kugombea awamu nyingine. Sasa kapigwa chini wapi? Km siasa ni hizi za majitaka hawa wapinzani labda wataongoza ahera!
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Alishiriki kwa mbwembwe kuifikisha Tz hapa ilipofika tangu kwa Ile miswaada iliyotengeneza Sheria haramu kwa miswaada ya mwendo Kasi za hati za dhariru Acha kimlambe na akicheza CCM wa tatu kutekwa ni yeye🏃
 
Huyo anajulikana ndiyo walifanya chadema ikimbiwe na wenye akili. Hv kweli uwe chama kimoja na mtu km huyo kwl unajielewa!
ni fedheha na karaha mno kua chama kimoja na jamaa useless kama huyo for sure.

halafu kinachosikitisha zaidi,
ni mtu mzima kabisa aise 🐒
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Kwa hiyo aliyepigwa chini ndio katangaza matokeo?
 
Back
Top Bottom