Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Aligombea?
 
Shangwe ni shangwe tu
Kiongozi wangu, wewe ni mmoja wa watu makini sana hapa kwenye jamvi, ndio maana siyo vibaya ukikubali tu kwamba huyo jamaa alikuingiza king na uongo wake.
Ukweli wa kiweledi ni kwamba Dkt. Tulia Ackson hajapigwa chini, bali amemaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka mitatu (2023–2026) ambao kwa sheria za IPU hauna nyongeza. Uchaguzi wa leo Arusha ulikuwa ni wa kukabidhi kijiti kwa Rais mpya Milton Dick baada ya Tulia kumaliza muda wake kwa heshima.
Kama tunawapinga machawa wa CCM kuacha propaganda, iweje na sisi tuchekelee propaganda nyepesi ambazo ni rahisi kuzikanusha? Shangwe isiyo na maana ni sawa na kutumia madawa ukidhani yatatoa matatizo yako; inakupa faraja ya dakika chache lakini haibadili ukweli. Ili tulinde heshima na uhalali wa hoja zetu dhidi ya mfumo, lazima tusimame kwenye ukweli na weledi wakati wote.
 
Usiwe na chuki kiasi hicho ndugu yangu, muhula wa uongozi umemalizika na alipaswa wagombee wa nchi nyingine ndivyo utaratibu wao ulivyo....mnachukui mtu Hadi pasipo sababu za msingi😀😀
 
Mnafki na mchawi huyo... Apigwe chini tu
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Ila si alishinda uchaguzi uliopita mkuu,uoni kua hii ni demokrasia
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Spika wa Baraza la Wawakilishi la Australia, Milton Dick, ameshinda uchaguzi wa urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika Oktoba 9, 2026, jijini Arusha, Tanzania. [1]

Wagombea wa Urais wa IPU 2026
Wagombea watatu walichuana katika uchaguzi huo wakati wa Mkutano wa 153 wa IPU: [1]
    • Milton Dick (Australia): Spika wa Baraza la Wawakilishi la Australia. Alishinda kwa kupata asilimia 56 ya kura (kura 182), akisisitiza sauti za mataifa madogo, ushirikiano, na mazungumzo ya kibunge. [1, 2, 3]
    • Prof. Sahiba Gafarova (Azerbaijan): Spika wa Bunge la Azerbaijan. Alipata kura 124, akipigania uwakilishi wa haki katika uongozi wa taasisi hiyo. [1, 2]
    • Rojo Edwards Silva (Chile): Seneta wa Bunge la Chile. Alipata kura 6, akitanguliza ajenda za amani na demokrasia. [1, 2]
    DAAH YAANI MAKAMANDA SIJUI ELIMU MNASOMA HIPI. Tulia aligombea? Ujui kua uongozi ni term moja tu.
 
Shangwe ni shangwe tu
DAAH NA WEWE KAMANDA UMEKAMATWA HIVI HIVI DAAAH

Kupigwa chini maana yake umegombea ukakataliwa.

Kwani Tulia aligombea tena?
 
Hakuna nisichokijua ila kila anayemsengenya Tulia namuunga mkono
 
Kina namna flani watu wachadema (yaani nyumbu), hususani waliopo humu JF, wanachanganyokiwa.......hawako sawa kabisa kichwani. Hali inaonekana kuzidi siku baada ya siku.

Ama kweli siasa ni sayansi.....na hapa Tz, kwa haya mambo wanavyofanya manyumbu, sina shaka ccm ndo sayansi yenyewe!
 
Kamanda umeingizwa chaka bhana..unajuaje kila kitu kamanda.Okay, barikiwa sana ila kama Tulia ana makosa msamehe tu
Alipinga Utekaji kujadiliwa bungeni bila aibu wala huruma, umesahau nini?
 
Back
Top Bottom