Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Kwenye hii post nitakutukana hata kama nikipigwa ban, poa. Dk. Tulia Ackson The Outgoing President of IPU did not contest for the second term. Weka hiyo kichwani.
Kama ulikuwa unalijua hilo kwamba hakugombea halafu unasema kapigwa chini, basi wewe ni msenge, unafirwa na babaako na Kaka zako na wajomba zako na majirani zako kiasi kwamba umepoteza hata uwezo wa kufikiri!

Nasubiri kupigwa ban la maisha kama Lissu anavyosubiri kunyongwa hadi kufa!
 
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!

Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Nilidhani Zungu ameula ! 🤣
 
Tulia amemaliza kipindi chake cha miaka 3; Hivyo kwa Utaratibu wa IPU anatakiwa mtu mwingine achukue nafasi. Walio gombea walikuwa watatu; tu Milton Dick kutoka Australia, Prof. Dkt. Sahiba Gafarova kutoka Azerbaijan na Rojo Edwards kutoka Chile. Sasa Tulia ametoka wapi hapo?
NATAMANI TUBADILISHE MITAALA WA ELIMU UWE SAYANSI ILI TUEPUKANE NA HABARI ZA AJABU AJABU KAMA HIZI
 
Mods wa humu JF mko serious kweli? Yaani mtu anatoa post ya uongo kama hii na bado mnaiacha tu. Au mnataka tuendelee kutukana ndio mfurahi? Poa!
 
Wapumbavu km huyu wanatakiwa wapunguzwe duniani km siyo kuwamaliza, hawana faida kwa Taifa na kwa wazazi wao! Ni mpumbavu anayeombea wenzake mabaya wakati yeye hata udiwani hawezi kupata.
We mbwa ukweli ni kwamba Tulia Ackson hakugombea uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka jana, pili huo urais wa IPU amemaliza muda wake na hajagombea tena! Sasa unachokishabikia km mwehu ni nini? Hv huoni hata haya? Km ni siasa ni za kishamba, za majitaka hazitakufikisha popote we kenge!
 
N:B: Urais wa mabunge ni 1 term

Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Acha uchochezi. Kwani aligombea?
 
Back
Top Bottom