mkongoman leo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2026
- 294
- 345
Hivi Zungu vipi si walisems na yeye kachaguliwa au ilikuwa porojoNdugu, acha kupotosha umma kwa taarifa zisizo sahihi. Mimi binafsi si shabiki wala 'fan' wa Dkt. Tulia Ackson, lakini kwenye ukweli na misingi ya weledi lazima tuseme ukweli uliopo. Dkt. Tulia hakugombea wala kupigwa chini kwenye uchaguzi wa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika Arusha tarehe 9 Oktoba 2026.
Ukweli wa mambo kikatiba na kiutaratibu unathibitisha hilo:
Kukamilisha kipindi cha uongozi kwa mujibu wa sheria na kukabidhi kijiti kwa amani ni utawala bora, siyo kushindwa.
- Ukomo wa Muhula wa Kikatiba: Sheria na Katiba ya IPU inatamka wazi kuwa Rais anahudumu muhula mmoja tu usiobadilika wa miaka mitatu. Dkt. Tulia alichaguliwa Oktoba 2023 kule Luanda, Angola na alikuwa anakamilisha muda wake wa kikatiba. Kisheria, jina lake halikuruhusiwa na wala lisingeweza kuwepo kwenye karatasi ya kura.
- Usimamizi wa Mchakato: Akiwa Rais anayeondoka madarakani, Dkt. Tulia ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa mkutano huo na kusimamia zoezi zima la uchaguzi hadi kumtangaza rasmi Spika wa Bunge la Australia, Milton Dick, kuwa mshindi kwa kura 182 (56%). Msimamizi wa uchaguzi hawezi kuwa mgombea aliyeshindwa.
- Wagombea Rasmi: Nafasi hiyo iliwaniwa na viongozi watatu pekee: Milton Dick (Australia), Sahiba Gafarova (Azerbaijan), na Rojo Edwards Silva (Chile). Hakukuwa na Mtanzania yeyote kwenye kinyang'anyiro hicho.
Uchambuzi wa Kiweledi: Kwanini Upotoshaji Kama Huu Unatokea?
Kutokana na mtazamo wa kitaalamu wa mawasiliano ya umma na uchambuzi wa taarifa (Data & Misinformation Analysis), upotoshaji wa namna hii husukumwa na misingi ifuatayo:
- Upungufu wa Ufahamu wa Kitaasisi (Institutional Literacy Deficit): Kuna pengo la uelewa kuhusu mifumo ya kisheria na ukomo wa madaraka (term limits) katika mashirika ya kimataifa. Kutofahamu kuwa kiongozi lazima aondoke kikatiba husababisha baadhi ya watu kutafsiri kila mabadiliko ya uongozi kama 'kushindwa' au 'kuondolewa kwa lazima.'
- Uchochezi wa Mvuto wa Kidijitali (Engagement / Clout Baiting): Mitandao ya kidijitali huchochea usambazaji wa haraka wa maudhui yenye lugha ya dhihaka, ushabiki, na migogoro (sensationalism). Baadhi ya watu hutumia mbinu hii kuvutia usomaji na hisia za umma kwa kutunga hadithi za uongo za kushindwa kwa viongozi.
- Mkingamo wa Utambuzi na Muunganiko Fikirika (Cognitive Bias & Narrative Conflation): Hali hii hutokea pale mtu anapochukua matukio mawili huru yasiyo na uhusiano wa kisheria na kuyachanganya makusudi ili kulazimisha simulizi inayokidhi hisia au mtazamo wake binafsi wa kisiasa, lengo likiwa ni kujenga picha ya kudhoofika kwa kiongozi husika.
Let’s be fair to the woman—we should put her retirement into its proper context:Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Gentleman,Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
mtoa hoja ni muongo kupindukia,Let’s be fair to the woman—we should put her retirement into its proper context:
🔹The IPU Presidency is a single mandate of three years.
🔹The retiring president is not eligible for re-election for three years.
🔹The successor must belong to a different parliament than the outgoing president.
🔹An endeavor is made to ensure regular rotation between different geopolitical groups.
Kajamaa kajinga sna ndio uelewa wa vijana wa chademaNdugu, acha kupotosha umma kwa taarifa zisizo sahihi. Mimi binafsi si shabiki wala 'fan' wa Dkt. Tulia Ackson, lakini kwenye ukweli na misingi ya weledi lazima tuseme ukweli uliopo. Dkt. Tulia hakugombea wala kupigwa chini kwenye uchaguzi wa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) uliofanyika Arusha tarehe 9 Oktoba 2026.
Ukweli wa mambo kikatiba na kiutaratibu unathibitisha hilo:
Kukamilisha kipindi cha uongozi kwa mujibu wa sheria na kukabidhi kijiti kwa amani ni utawala bora, siyo kushindwa.
- Ukomo wa Muhula wa Kikatiba: Sheria na Katiba ya IPU inatamka wazi kuwa Rais anahudumu muhula mmoja tu usiobadilika wa miaka mitatu. Dkt. Tulia alichaguliwa Oktoba 2023 kule Luanda, Angola na alikuwa anakamilisha muda wake wa kikatiba. Kisheria, jina lake halikuruhusiwa na wala lisingeweza kuwepo kwenye karatasi ya kura.
- Usimamizi wa Mchakato: Akiwa Rais anayeondoka madarakani, Dkt. Tulia ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa mkutano huo na kusimamia zoezi zima la uchaguzi hadi kumtangaza rasmi Spika wa Bunge la Australia, Milton Dick, kuwa mshindi kwa kura 182 (56%). Msimamizi wa uchaguzi hawezi kuwa mgombea aliyeshindwa.
- Wagombea Rasmi: Nafasi hiyo iliwaniwa na viongozi watatu pekee: Milton Dick (Australia), Sahiba Gafarova (Azerbaijan), na Rojo Edwards Silva (Chile). Hakukuwa na Mtanzania yeyote kwenye kinyang'anyiro hicho.
Uchambuzi wa Kiweledi: Kwanini Upotoshaji Kama Huu Unatokea?
Kutokana na mtazamo wa kitaalamu wa mawasiliano ya umma na uchambuzi wa taarifa (Data & Misinformation Analysis), upotoshaji wa namna hii husukumwa na misingi ifuatayo:
- Upungufu wa Ufahamu wa Kitaasisi (Institutional Literacy Deficit): Kuna pengo la uelewa kuhusu mifumo ya kisheria na ukomo wa madaraka (term limits) katika mashirika ya kimataifa. Kutofahamu kuwa kiongozi lazima aondoke kikatiba husababisha baadhi ya watu kutafsiri kila mabadiliko ya uongozi kama 'kushindwa' au 'kuondolewa kwa lazima.'
- Uchochezi wa Mvuto wa Kidijitali (Engagement / Clout Baiting): Mitandao ya kidijitali huchochea usambazaji wa haraka wa maudhui yenye lugha ya dhihaka, ushabiki, na migogoro (sensationalism). Baadhi ya watu hutumia mbinu hii kuvutia usomaji na hisia za umma kwa kutunga hadithi za uongo za kushindwa kwa viongozi.
- Mkingamo wa Utambuzi na Muunganiko Fikirika (Cognitive Bias & Narrative Conflation): Hali hii hutokea pale mtu anapochukua matukio mawili huru yasiyo na uhusiano wa kisheria na kuyachanganya makusudi ili kulazimisha simulizi inayokidhi hisia au mtazamo wake binafsi wa kisiasa, lengo likiwa ni kujenga picha ya kudhoofika kwa kiongozi husika.
umeacha lini kufurahia kupotoshwa na porojo kama hizo za mpotoshaji mwenzako?🐒Simpendi yule mama ila siwezi kuunga mkono taarifa za uongo.
cheki na huyu,Igweeeeeeeeeeee 😹
Safi, ni muda sasa bi Rango arudi jimboni kwake kuendeleza saccos zake..!!
Mwoneni huyu msenge! Haoni ht aibu, eti ni mfuasi wa chadema wanaotegemea kuiondoa CCM madarakani, kwa hizi siasa za kishamba?! Ndiyo maana watanzania wamewapuuza. Tulia hakugombea uspika, alipigwa chini kivipi? Ubunge wa IPU muda wake wa miaka mitatu umeisha na hakugombea tena ingawa sijajua ht km inaruhusiwa kugombea awamu nyingine. Sasa kapigwa chini wapi? Km siasa ni hizi za majitaka hawa wapinzani labda wataongoza ahera!Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
We unajulikana ulivyo zobaSiku ya Mwisho kila goti litapigwa
lofa ni lofa tu aise dahSiku ya Mwisho kila goti litapigwa
Zombie lingine hili hapaCCM walidhani ni cha kudumu.
Huyo anajulikana ndiyo walifanya chadema ikimbiwe na wenye akili. Hv kweli uwe chama kimoja na mtu km huyo kwl unajielewa!lofa ni lofa tu aise dah
HayaWe unajulikana ulivyo zoba
Joined August 25, 2026, ndio maanaZombie lingine hili hapa
Alishiriki kwa mbwembwe kuifikisha Tz hapa ilipofika tangu kwa Ile miswaada iliyotengeneza Sheria haramu kwa miswaada ya mwendo Kasi za hati za dhariru Acha kimlambe na akicheza CCM wa tatu kutekwa ni yeye🏃Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
ni fedheha na karaha mno kua chama kimoja na jamaa useless kama huyo for sure.Huyo anajulikana ndiyo walifanya chadema ikimbiwe na wenye akili. Hv kweli uwe chama kimoja na mtu km huyo kwl unajielewa!
Una vituko MzeeBi 2cry atulie tu.
Kwa hiyo aliyepigwa chini ndio katangaza matokeo?Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).