Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Kwenye hii post nitakutukana hata kama nikipigwa ban, poa. Dk. Tulia Ackson The Outgoing President of IPU did not contest for the second term. Weka hiyo kichwani.Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Nilidhani Zungu ameula ! 🤣Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Tulia amemaliza kipindi chake cha miaka 3; Hivyo kwa Utaratibu wa IPU anatakiwa mtu mwingine achukue nafasi. Walio gombea walikuwa watatu; tu Milton Dick kutoka Australia, Prof. Dkt. Sahiba Gafarova kutoka Azerbaijan na Rojo Edwards kutoka Chile. Sasa Tulia ametoka wapi hapo?Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson kapigwa chini tena kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!
Siku hizi upepo ukigeuka unakubeba mzima mzima. Pole sana Tulia, na karibu kazini Rais mpya Milton Dick!
Na Mimi Nilidhani na yeye yumo kwenye kinyang’anyiro kumbe ni porojo tu za mitandaoni !Hivi Zungu vipi si walisems na yeye kachaguliwa au ilikuwa porojo
HayaKatika maisha , hiyo inaitwa narrow mindedness au parorchial.
Hata adui yako waweza kujifunza kitu.
Hata wewe hujui utaratibu wa ukomo wa kiti hicho kama mleta mada!Siku ya Mwisho kila goti litapigwa
Zungu alichaguliwa kuwa Rais wa Mkutano huo tuHivi Zungu vipi si walisems na yeye kachaguliwa au ilikuwa porojo
Wafata mkumbo haocheki na huyu,
sijui hata kama anajua anachoshangilia
wako empty mno vichwani aiseWafata mkumbo hao
Wafuasi wa chadema ni viumbe vya ajabu hp duniani. Sijui ni wehu? Au mazuzu? Watakufa kwa sononaWafata mkumbo hao
Acha uchochezi. Kwani aligombea?N:B: Urais wa mabunge ni 1 term
Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton Dick kutoka Australia kuwagaragaza wapinzani wake na kunyakua 56% ya kura zote!