Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Hatumchangii Mbowe pesa, kwa kuwa hana pesa au kwa sababu mawakili wanahitaji pesa, tunachanga ili kuwakera, kama tulivyo wakera zile za ile hukumu ya kuhusu Aquiline!Mmmmm upigaji pesa mwingine huo
Jibu hoja ya mleta mada
USD 400 tu mpaka leo- halafu mnaenda kujazana mahakamani pale kivizia mihogo na mahindi ya kuchoma-KWELIAcha wivu wewe dada.
Sisi ndiyo tumeamua kuwachangia kwa ridhaa yetu.
Umeamua wakati unawahamasisha watu wachangie mzee?Hoja ni kwamba mawakili wanajitolea na sisi tumeamua kujitolea kwa kuwachangia.
Wivu utakupeleka wapi wewe mjane?
Pesa ya kujitolea ni kama sadaka kanisani au msikitini, watu wanatoa kwa hiyari yao na ni Kiherehere kikubwa kwa watu wa nje wasiohusika kuzifuatilia.Mmmmm upigaji pesa mwingine huo
Jibu hoja ya mleta mada
Kwani wamekuambia wanataka kiasi gani,wamejitolea ndiyo maana hamna specific amount,kuchanga si lazima kama hutaki unaweza nyamaza usicomment -ve kuwakatisha Tamaaa wanaochangaWanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Ahsante kwa kunisaidia kupata link... nime donate $100 sikua najua hii kitu.Wanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Damu ya Tundu lissu bado itakulilia hadi nawe ukatike. Sitasahau namna ulivyohamasisha shambulio lile... JIWE keshalipia gharama yake bado wewe!Mmmmm upigaji pesa mwingine huo
Jibu hoja ya mleta mada
Naona ulikuwa kimya siku hizi umerudi tuikumiss sana aaah!! Magu acha tu sisi wengine tunapambana kujitibu na madhila yaleKuhoji ni upambavu nyie mnavyohoji kila siku ni wapumbav? Akili za Bavicha bana.
Duh, safi sana! Wanadhani kuwa wafanyavyo ndio ku discourage watu kuchangia kumbe ndio wanasambaza habari zaidi kwa watu wema.Ahsante kwa kunisaidia kupata link... nime donate $100 sikua najua hii kitu.
Ni nani alikuomba mchango wewe mchawiWanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Kwani inalazimishwa? Kama hutaki tupishe tuwachangie mpambanaji wetuWanaukumbi,