Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

Makonda na Mnyeti ndiyo hatari zaidi
 
DC kaiba simu na pesa 35,000 kwa kutumia silaha.

Armed robbery ndiyo hutumika kutuliza vibaka uswahilini, ukiwa ingia toka O'bay au Mabatini haziishi wanakupa hiyo utulie kwanza.
7baya ni lofa anaiba hadi tecno kwa bunduki. Kibaka kabisa huyu
 
Niliwaza kama wewe. Nadhani hii ni kiki ya kisiasa tu.

Tungoje tuone.
 
Ni kama unasema kundi la mama ni waongo sio? Jichunge na maoni ya hivi! au unadhani mzalendo namba moja yuu hai.
 
JPM alifanya Sana Mambo ya kihuni kwenye uteuzi, aliongoza kwenye utumishi wa umma vibaka na wahuniwahuni wengi Sana serikalini.Mambo yaliyofanywa na sabaya ni zaidi ya uhuni...

Often times he behaved like an idiot
 
Ingekua ni mpango asingemdindia Mkuu wa Gereza in fact zingevujishwa stori za anapata tabu sana.

Kumdindia means yupo kwenye denial haamini kinachotokea.
Mimi sitaamini mpaka yatimie asee. CCM sio kabisa, hawafai kuwa duniani.
 

Ya kupigwa risasi kina Lissu, kupotea kina Ben, kuuwawa kina mawazo, watu wa kwenye viroba, nk uliwahi kuyasikia?

Au ndiko unakoita kuwa mkali na kutetea wengi?
 
Kazi ya kukusanya kodi si ya RC. Kama kuna aliwakamata na kuwapeleka kwenye vyombo husika kwa kukwepa kodi basi upo sahihi kama alikusanya pesa kwa kisingizio kuwa anachukua kodi haupo sahihi. Ushahidi utamhukumu.
 
Yule mzee alikuwa jambazi pia,ndiyo maana akaingiza genge lake la majambazi kwenye utawala wake
Kweli..ndo alikuwa anateka matajiri kina Mo anawadhulumu pesa. Walimsomea dua mbaya wale..imemuondoa. ilibidi afe tu, watu wengi sana walimsomea dua mbaya, kuanzia ndugu ya waliouawa,waliofukuzwa kazi eti vyeti feki, waliotekwa, waliodhulumiwa uchaguzi.. ilibidi afe. Na amekufa!
 
Sio rahisi..unamchukulia poa sana Mama Samia. Sabaya alivyokuja Dar kuongea na clouds alitaka aende ikulu akaongee na mama..kilichomkuta ni mikausho mikali na akaambiwa mama hataki kuongea na wewe
 
Biblia inasema utavuna ulichopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…