Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

Kumbe nawewe ni zero
 
Tulikuwa tumeanza kuwa na akina Kongolo Mobutu wengi sana kwenye Taifa letu.
 
Full support in this
 
Matajiri wapo Wilaya ya Hai tu hapa Tanzania? Mbona Wakuu wengine wa Wilaya hatukuwasikia wakipambana na Matajiri walipe kodi? Kwa nini Sabaya peke yake? Au yeye ndiye Magufuli ajaye?
Alikua kwenye Jimbo la mkuu wa kambi rasmi ya upinzani
 
Kwaio ndo umeshakua mchezo wenu
 
Kwaio mkuu unataka tukusanye Kodi kwa kubembelezana ivi wafanya biashara wa kitanzania unawajua wewe walivyo wabinafsi Kama alikusanya Kodi kwa bunduki na Kodi ikaenda serikalini sisi hatuna shida .maybe hakua na option nyingine iyo ndo ilikua sahihi kwa wakti ule
 
Mungu asingeingilia kati kutuondolea huyu dhalim sijui baada ya muda wake wa kutawala tungekuwa Taifa la namna gani.
 
Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.

TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA

Mungu alisikia dua za waja wake, akaona atumie ustaarabu amuache aondoke kwa kura za wananchi tuu.
Bahati mbaya alimu underestimate jamaa likapora kabisa uchaguzi bila aibu na kuweka hadi wabunge na madiwani alivyotaka.
Akaona basi acha tuu amfyatue
 
Ni mfumo mzima. Nape aliingia mtegoni. Alipojaribu kusimamia haki na sheria mafuriko yakamzoa. Watanzania tulikuwa tumeshikwa pabaya awamu ya tano. Unaimba mapambio ya kusifu huku unagumia kwa maumivu.
 
Tunadanganywa sana. Makosa sabaya ni mengi .mpaka nashangaa huyu mtu .ofsini aikuwa haindie .kazi yake ukuu wa wilaya alifanya saa ngapi.mbona makosa ni mengi kuliko muda. isije ikawa propaganda? Adolf hitler aliwai kusema. "Propaganda inaweza kufanye Jehenamu ikawa ni paradise(peponi) na paradise ikawa ni jehenamu.
 
Hicho ndicho kipimo cha uongozi mbovu wa Magufuli.
 
Dr. John Pombe joseph magufuli ni shujaaa wa afrika huyu. Huwezi kuchafua hapa tanzania tu. Wakati dunia nzima wanamsifu UN Umoja wa mataifa. Kikao chao walimpongeza Dk. John magufuli kuifikisha tanzania uchumi wa kati , ujenzi wa viwanda ,na project za kimkakati ujenzi miundombinu. UN imetaja kama Rais kusini mwa jangwa la sahara rais aliyepunguza umaskini. Mimi taarifa nimetoa kwa hao wazungu. Mtoa posti wadanganye wajinga na wavivu wakufatilia na kusoma. Dunia nzima wanamkubali John.kasoro wajasiliasia,washirikina na wachawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…