Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
MUNGU ametuokoa sn na hili balaaAna kwa hakika Mungu anawapenda Watanzania wenye mioyo misafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MUNGU ametuokoa sn na hili balaaAna kwa hakika Mungu anawapenda Watanzania wenye mioyo misafi
Kumbe nawewe ni zeroCCM haiwezi kumtupa Ole Sabaya, alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe harudi bungeni. Amelitekeleza vyema jukumu lake.
Usishangae kuwa sasa hivi Ole Sabaya ana cell yake na chakula anakula cha nyumbani. Wewe ulisikia wapi mahabusu anamvimbia mkuu wa gereza.
Jiandaeni kumlipa Sabaya gharama za usumbufu kupitia kodi yenu.
Alimpaje madaraka undercover alifikishwa mahakamani 2017 kwa kesi ya forgeryLile lijamaa lisingekufa basi nchi ilikuwa inaenda pabaya, mpaka majambazi yanapewa madaraka makubwa
Full support in thisKuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Alikua kwenye Jimbo la mkuu wa kambi rasmi ya upinzaniMatajiri wapo Wilaya ya Hai tu hapa Tanzania? Mbona Wakuu wengine wa Wilaya hatukuwasikia wakipambana na Matajiri walipe kodi? Kwa nini Sabaya peke yake? Au yeye ndiye Magufuli ajaye?
Kwaio ndo umeshakua mchezo wenuPia naomba tupaze sauti kwa pamoja ili aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda aweze kushitakiwa kwa makosa aliyoyatenda akiwa mkuu wa mkoa. Ushahidi upo wa kujitosheleza kabisa. Mfano mzuri ni lile tukio la uvamizi na unyang'anyi wa kutumia silaha(Armed Robbery) katika sehemu ya kazi ya radio ya Mawingu.
Matukio mengine anayohusishwa nayo ni ni pamoja na suala la utekaji wa raia wa Tanzania mfano Roma, Mo.
Tupaze sauti kwa pamoja ili haki itendeke.
Kwaio mkuu unataka tukusanye Kodi kwa kubembelezana ivi wafanya biashara wa kitanzania unawajua wewe walivyo wabinafsi Kama alikusanya Kodi kwa bunduki na Kodi ikaenda serikalini sisi hatuna shida .maybe hakua na option nyingine iyo ndo ilikua sahihi kwa wakti uleKwa akili yako unataka tuamini Hai ndo wilaya yenye matajiri kuliko wilaya zote nchini! Na kwamba matajiri wa Hai wanafanya biashara haramu zisizoweza kukamatwa na vyombo halali vya ulinzi na usalama mpaka DC aingilie kati na kuingia front mwenyewe.
1.Kwamba Momba yenye mpaka wa Tunduma ambako tulisikia wafanyabiashara wanakimbilia upande wa pili DC wake hakuwa na akili nzuri za kizalendo kama Sabaya akachukua SMG na kuvamia maduka yao ili kuchukua kodi? Ni sheria ipi inayomruhusu DC kukusanya kodi kwa mtutu wa Bunduki?
2.Kwamba Tarime yenye Mpaka wa Silari hakuna matajiri ambao wangeweza kutekwa na DC wa huko ili kuwatia adabu walipe kodi?
3.Kwamba wilaya zote nchini zilikuwa na ma DC wasiojua wajibu wao isipokuwa Hai?
Mapenzi ya kitoto raha sana, mnapendana kitotototo, mwenzio akichukuliwa na wazazi wake akaoge wewe unabaki unalia umeonewa!!
Mungu asingeingilia kati kutuondolea huyu dhalim sijui baada ya muda wake wa kutawala tungekuwa Taifa la namna gani.Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.
Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?
Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?
Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?
Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.
Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.
TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.
Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?
Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?
Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?
Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.
Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.
TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Mungu alisikia dua za waja wake, akaona atumie ustaarabu amuache aondoke kwa kura za wananchi tuu.Kweli..ndo alikuwa anateka matajiri kina Mo anawadhulumu pesa. Walimsomea dua mbaya wale..imemuondoa. ilibidi afe tu, watu wengi sana walimsomea dua mbaya, kuanzia ndugu ya waliouawa,waliofukuzwa kazi eti vyeti feki, waliotekwa, waliodhulumiwa uchaguzi.. ilibidi afe. Na amekufa!
unaukumbuka mchoro wa Mambosasa jinsi Mo alivyopatikanaSwadakta ! Nani alimteka MO ?
Ni mfumo mzima. Nape aliingia mtegoni. Alipojaribu kusimamia haki na sheria mafuriko yakamzoa. Watanzania tulikuwa tumeshikwa pabaya awamu ya tano. Unaimba mapambio ya kusifu huku unagumia kwa maumivu.Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.
Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.
Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?
Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?
Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?
Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.
Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.
TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Hicho ndicho kipimo cha uongozi mbovu wa Magufuli.Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.