Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Sawa..ila sio kwa aproach za kina mdude na kina lisu...ukifanya vile popote dunian lazima maisha yako uyaweke rehan...we ushawai msikia shangaz anatukana mtu..au ai anatoa siri za ndan za watu akiwa nchini..anaefanya hvyo ni kimambi tu tena saban hayuko nchin..kuwa mwanaharak lakin uwe mwerevu kwa dunia ya sasa .bila hivo.utapotezwa tu
 
Kwani katiwa hatiani kwa kosa la kutukana?
 
Japo mdude alipandikizwa madawa na kupewa kesi kiuonevu ila huyu jamaa kama atapona kwa hii kesi basi ikiwezekana chama kimkalishe chini aache

Kuropoka sana na kutukana wazi wazi maana njia aliyokuwa anaitumia kiukweli haivumiliki hasa kwa binadamu aliyesahihi japo alikuwa anaongea ukweli mtupu lakin unapoongea ukweli soma na mazingira ,tamzania sio marekan au ufaransa ambako unampiga kofi rais alafu unafungwa miez 4 pekee bila kuguswa na askari.

Una ushamba fulan na kiherehere cha kuzidi ,hajifunzi kwa wakongwe wanaongea mambo na kupinga kwa akili kubwa sana .

Ni matumaini yangu jamaa atatoka tu huko gerezani ,onyo tu apunguze kuropoka sana Kuna muda hadi anatia kichefu chefu ,na kama atatoka alaf akaja rudia ule uhuni na ushamba mavi wa kuropoka ropoka wakija mtia nguvun ndio itakuwa nitolee hiyo .

Huyu jamaa anaitaj kufungwa governor speed ,pye pye zisiwe nying sana
 
Ukichuma janga unakula na kwenu sisi tunakupost tu mchezo unaisha.
 

Mdude ana miaka mitano mahabusu ? Ivi kwanini huwa kila mnachokiona mnakipokea hivyo hivyo ? yaan mdude kafungwa 2016 ? aisee sawa ni ccm ninyi lakini mfikirie kidogo msipotoshe
 
Ukipitia huu uzi ndio utajua kuna watu wanawake wanapitia maisha magumu sana yan wapo na wanaume hata wakishikwa matako watafurahia tu , yan watu magufuli bado wanamwogopa wakati keshajiozea huko
 
Nyerere angekuwa na mawazo kama yako sijui tungekuwa wapi leo
 
Na mandela aliyefungwa 27 years ungesemaje sasa?? Acha kutosha watu wewe!
 
Uhuru wa mtu waja, giza haliwezi kuzuia nuru.

Ubaya haujawahi kuishinda haki, watu wabaya watahukumiwa kwa mabaya yao.

Wahusika wa ubaya mara tuko nao mtaani!!
 
Kesi Haina uthibitisho usio acha shaka, waliobumba hii kessi wameshindwa kuithibitishia mahakama kuwa mdude ndiye muhusuka wa hizo drugs

So kesho mdude anaenda kuachiwa na kuendelea na life lake kama kawaida.
Hata akitoka kama ana akili atakuwa amejifunza kitu
 
Familia yako ni Watanzania wote na ndiyo sababu Mdude anaombewa na wote kwani anatetea na kuteswa kwa ajili ya wote!
Nitoe sina mwanafamilia aliyekosa adabu kama mdude , Nina familia yangu tofauti kabisa
 
Naungana na wewe,siasa za kutukana watu awaachie CCM maana wao wana kinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…