Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

Tuanzie hapo hapo kwa huyo permanent secretary, nitajie aliyekaa muda mrefu kwa nafasi hiyo na akaja na kitu ambacho tunaweza kusema, "yes pale kuna mtu alikalia kiti hicho" nje ya kutangazwa mikoa mipya. Nitajie walau issues 5 tu with a specific person.

Hilo moja, la pili ni hili, either mtu anafanya kazi kwa hofu au kwa sifa, mwishoni mwa siku mimi kama mwananchi naangalia matokeo, namna gani umefanya sio issue kwangu, "MATOKEO" So hilo la hofu or sifa kwangu sioni kama ni tatizo
 
Uzi umekuzidi sana akili huu.Sio saizi yako, we endelea na mambo ya Simba ya Yanga.
 
Nyumbu wa Chadomo Huwa mnajijaza upepo sana sijui Kwa nini 😁😁

Ndio maana mnapuuzwa na Nchi inazidi kusonga.

Hao uliowataja wanakuja hapa Tanzania siku sio nyingi kupata miongozo au hujui?
 
Hi nayo huaga ni style ya watu kukwepa uwajibikaji, jibu maswali ili niendelee na U Simba na Yanga
Swali lako lina akisi upeo wako wa kufikiri. Nitajipotezea muda kukujibu.

Ni vizuri nikuache uendelee kuwa na upeo huo huo mdogo maana sio wote wanaojaliwa kuwa na akili
 
Nyumbu wa Chadomo Huwa mnajijaza upepo sana sijui Kwa nini 😁😁

Ndio maana mnapuuzwa na Nchi inazidi kusonga.

Hao uliowataja wanakuja hapa Tanzania siku sio nyingi kupata miongozo au hujui?
Unadhani nchi zinazoanguka huwa hazisongi mbele?
 
Mfano wa Zilizokuwa zinasonga zikaanguka ni upi? Ili tujuie huo kuelewa wako.
Unahitaji mfano gani zaidi ya hiyo Congo iliyoelezewa hapo kwenye sehemu ya uzi?

Au hujui kuanguka kwa Congo kumetokana na njia hii hii mnayoenda nayo CCM leo hii?
 
Swali lako lina akisi upeo wako wa kufikiri. Nitajipotezea muda kukujibu.

Ni vizuri nikuache uendelee kuwa na upeo huo huo mdogo maana sio wote wanaojaliwa kuwa na akili
Bro; jibu swali. Nitajie huyo unaesema think tank alikaa muda mrefu na akaja na kitu cha maana cha kukumbukwa to-date, acha kukwepa mjadara kwa point dhaifu eti upeo. Hili ni jukwaa la majadiriano, umeanzisha uzi kubali kujibu maswali yetu tusio kua na upeo mkubwa. Biashara ya nyie kusoma na kudukua mambo ya Ulaya (kama ulivotolea mfano wa Uingereza) usilete huku, hata sisi tunayajua hayo ya Ulaya. My point is, umetolea mfano wa Uingereza and may be na sisi tuli adopt but tuli adopt mfumo na sio utendaji. Uingereza bunge several times limemuondoa mtawala madarakani, mifano ipo mingi, bunge kama hilo hilo hata hapa tumeli copy but je, bunge letu lina meno kama la Uingereza?
Turudi kwenye maada, lete mfano bro. Nina umri wa mtu mzima so kumbukumbu za nchi yangu ninazo za kutosha since enzi za Mwalimu nipo duniani
 
Wewe hata mumeo akishindwa kusimamisha akupande utamlaumu Magufuli
Jadili hoja.
Huu ujinga wa makada kupewa nafasi nyeti za utendaji kwa sababu ya uchawa na kusifu watawala ulikomaa kipindi cha magufuli.
Magufuli kaasisi mambo mengi sana ya hovyo
 
Mabeyo ndo alikuwa wa ovyo kabisa wakati wa jpm
Alikuwa anafanya siasa za ccm waziwazi kabisa.
 
Karagwe majority ni wanyambo
Wanyarwanda walihamia kama wakimbizi miaka ya 1950's walipochinjana kwa mara ya kwanza...
Halafu acheni kusema watusi,Rwanda kuna watusi na wahutu lakini wote wanaongea lugha moja...kinyarwanda
 
Kuna hii staili ya ccm ya bora liende inaigharimu sana nchi. Rushwa, uzembe na kutowajibika imekuwa staili mpya ya utawala ya ccm ...na wananchi kama walishakata tamaa wamebaki kuangalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…