Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Iko hivi...
1. Kuusema moyo huzalisha majuto sanaa
Kama unajua kuwa atabinjuliwa tu YA NINI KUOA?

2. Nafsi iliyoumizwa hutafuta njia ya kulipiza kisasi.
Ngoja siku arudishe ubaya wotee uliomfanyia.

#YNWA
Si lazima abinuliwe ila kama ni wa kubinuliwa atabinuliwa tu.

Wewe kama umejijengea hiyo mentality kwamba kila mwanamke wa kwenye ndoa lazima atoke basi atatoka tu.

Sina hiyo mentality mkuu
 
Sema nn ujue, inategemeana sana na ninyi wenyewe.
Ila mm nilioa (bila kutarajia) mapema saanaa nikiwa at just 25 years...na tuko poa tu mungu anatusimamia vyema
Tatizo ni hii DHAMBI YA USALITI.

Hii haisameheki.

Inaumaa sanaaa.

#YNWA
 
Soon atawatenga halafu yakimkuta atawarudia.

#YNWA
 
Wewe sababu system ilikuhitaji (Bila Kutarajia).

Timbwili ni kwa wanao tarajia na kupanga kuoa.
Sema nn ujue, inategemeana sana na ninyi wenyewe.
Ila mm nilioa (bila kutarajia) mapema saanaa nikiwa at just 25 years...na tuko poa tu mungu anatusimamia vyema
 
Si lazima abinuliwe ila kama ni wa kubinuliwa atabinuliwa tu.

Wewe kama umejijengea hiyo mentality kwamba kila mwanamke wa kwenye ndoa lazima atoke basi atatoka tu.

Sina hiyo mentality mkuu
Na wanaobinjuliwa huku mtaani ni wake wa kina nani?

#YNWA
 
Sasa na hapo bado hajaoa rasmi hizo ndio sababu tunawahi kufa!
 
8. Usioe sababu jamaa/ndugu zako wameoa.
 
Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…