Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Ulimchelewesha sana, vuta chuma kingine
Nipo sasa nimerudiana na mdada wa kinyarwanda, sijui kama anampango wa kuolewa huko kwao sijui ila nipo nae sasa japo tunakutana siku moja moja sana.
Ila napanga siku my ex wife anikute na mrembo wa kitutsi japo kanizidi urefu kidogo, si unajua watutsi walivyo warefu.

Nataka siku anikute nae nimringishe mwezi uliopita nilijaribu ila sikufanikiwa coz maeneo tuliokuwepo kulikuwa na watu wazima na wengine nafaamiana nao so nikaona noma.
 
Wanazingu sana 😅

Ndo maana tunaona bora tutunze tu vibunda vyetu

Jamaa kalipia mahari 3.5m na kamnunulia Harrier bado anamtunza af anaenda kumvulia chupi kashikaji tu karibu na mke anapofanya kazi
Daaa mwanangu we sikia tuu,
Nimeelewa kwa nini watu wanaamua kuwatoboa macho, na kung'oa jino.
Na wengine kuuwa kabisa.
 
Mwanamke akitoka nje ya Ndoa

Ukathibitisha hupaswi msamehe kabisa

Mwanamke ukimdaka na mwanaume hupaswi kabisa kuendelea nae au kuongea naye, we muache hata kama mna watoto muache atajijua mwenyewe
Yaani kila muda ukikumbuka kuna muda ilikuwa ikichomoka anairudishia mwenyewe na mkono.

Ukiwa nae karibu unaweza jikuta unamtwanga na mchi.
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
 
Unatakiwa ukutane na pisi ya namna hii..

au
 
Fafanua vizuri mkuu si yalishaisha sasa mbona kama unatetemeka
 
Masikini ya Mungu unakuta mkeo ulikuwa unamuheshimu mwenyewe, unapiga tu kifo cha Mende, kumbe mwenzio akienda huko nnje vijana wa hovyo wanapiga mpaka popo kanyea mbingu[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…