Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

πŸ˜‚πŸ˜‚Mm wa kujishtukia ningeshahama na nyumba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ni kinyaa, ni huzuni ni udhalilishaji kumbabikizia mtoto mwanaume, namtizama dogo naumia lkn namcheka namdharau namuona km fala la mwisho ametuvua nguo, ila akili bado haijamsogea muda upo litaibuka nitampa vidongeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nitaalika na ulinzi maana anaweza kunibutua
 
Rejea hapa: Msamehe kama kakiri kosa lake na anaonesha kujutia, Maandiko yanatuasa kusameheana, Msamehe na usahau yote aliyotenda ila narudia tena ILA NAMAANISHA KWAMBA USIJE KAMWE UKARUDIA KUISHI NAE PAMOJA. Baba yangu aliwahi kuniambia kwamba iwapo tu we kufanya hivyo 'UTAKUFA'
 
Aisee sasa uhuru gani tena wanataka hawa? Wakienda makazini wanagegedwa, wakiwa nyumbani wanagegedwa...shida tupu
 
Kabisa Yani Bora udai talaka tu aisee kuliko Kuishi na mateso ya kujishtukia kma umejikojolea πŸ˜‚
 
Kuna jamaa nae nilisikia watoto 2 kati ya wanne sio wake nikiwaona wale watoto roho inaniuma balaa utasema nduguyangu nyie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚watu Wana Siri ndoa Ina miaka 16 mamamtu mkavuπŸ˜‚πŸ™Œ
Kuna wanawake washenzi ila na mwanaume anakuwa poyoyo zaidi ni kama tahira tu asiyetema udenda, mi navojua mwanaume inabidi ukae chonjo shtua mara moja kawapime watoto, na ukisoma wengi humu walipata dalili lkn wakapuuzia
 
Kabisa Yani Bora udai talaka tu aisee kuliko Kuishi na mateso ya kujishtukia kma umejikojolea πŸ˜‚
 
Sasa sisi tutajali mambo mangapi? Huku tuko bizekutafuta maisha tena tuwe bize kuchunga watu wazima? Kosa ni la mbambikiaji.

Kwa nini unibambikie kama hunitaki si uniambie tu?
 
Unafikiri nina neno basi kaka namshukuru Mungu kanijalia uzao na mwanaume wa kunikeep bize,, ila ikitokea dogo kalala usingizi wa milele bila hili kushtukiwa hiyo dogo sitashiriki hata kwa sh 100, bora mtoto uliyemkuta ukajua sio wako kuliko wa kubambikiwa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…